Kumcha Mungu ni kufuata Amri zake. Amri imeongeleshwa sana kwenye bibilia ni kuheshimu wazazi ili siku zako ziongezeke. @Freshley Mwamburi Saidia mamako. Usiache baraka.
Wah! If this is true then may God give us wisdom in Jesus name.. Otherwise wakati mwingine Shetani anaweza ona kipawa ndani ya mtu na akaweka mipaka kati yako na wazazi,ili uendelee kufanikiwa huku mzazi anateseka,na wakati mwingine ni Mwanadamu mwenyew Tena majirani ambao hutumiwa kutenganisha familia,,Siamimi Kama kweli ni akili ya ndugu ytu kumwacha mama kukaa Hali Kama hii,ukifuatilia kwa undani haswa kiroho utagundua Kuna kitu kiliwekwa katikati yke na mamake,,Apate Baraka za duniani alafu akose za mbinguni,,Only legends in Christ can understand,, otherwise May God help our brother,Na hii isimwuue moyo,ila iwe ni challenge na lift ya next level in Jesus name
Naomba tu freshley ajitokeze aseme wazi shida iko wapi, inasikitisha sana ujue hakuna kama mama plz mshuhulikie japo kidogo kabla ya kujuta, by the way tunamuombea maisha marefu mama aone vitukukuu.plz mpelekee wajukuu awaone,roho yake ipate tulia.na tunga wimbo kuhusu mama tunajua mashairi yapo pole sana mama.Wacha kushuhulikia akina stela na mama anateseka
Yani kuna sisi hakuna mama kulia kila siku..wewe mamako yuko hai.shukuru sana..walai...kumbuka mamako amekubeba 9 months..kukulia kujinyima mambo mob...Leo hii unafanya mamako na hagaika kwa tamaa za dunia...imeniuma snaa I wish my mom was a life😭😭😭😭
This is a good exposee.. i hope you get a story from Mwamburi himself... and hear what he has to say. Find more about the brothers and sister of Mwamburi,why dont they help. Always get information from both parties.. i really really hope its not a script for a politician to gain popularity in this ward and county at large, because i see it coming. Otherwise. Good job...
It diesnt matter whether this waa politics!! My goodness😭people dont know the joy of having a mother. Shame to her biological children..Hata mama yako akiwa mchawi MPENDE tafadhali. I have cried because she reminded me of my late mom.
Lakini pia tukimlaumu freshly tunafaa kujua kwamba freshley sii millionaire, pia yeye anamajukumu mengi na familia pia alafu mama shida yake sii taabu ila ni mke wa freshley...
Bado haijaniingia akilini mwangu.kwani vitu vya Dunia vinatutenganisha na wapendwa wetu.jamani Mama bado anamrai freshly aende aonyeshwe mpaka kabla haenda safari.hii statement imenigusaa😭😭😭
Every1 is pointing finger to Mwamburi not knowing 4 fingers are pointing you.. we all know these guys hardly make anything from the music, piracy has ruined them. may be wat he get is for him on day these really struggle. these guys kwanza help their siblings ndio wajisaidie --
Mama hana watoto wengine, i really feel bad seeing this old Mama suffering. Does it mean that even freshley's wife never visit her home. Shame to this guy hata nimemchukia pamoja na nyimbo zake
Blessings come from parents. If one wants his/her descendants to be blessed in future ,take care of your parents when they are alive. Tusingoje wafe ndio tulete magari makubwa na hearse za kubeba mwili na kuzikana tiles ndani ya kaburi. If your parent is alive please be responsible .it's 😭😭😭😭😢😢😢
Yani siamini mtu aweza muacha mamake hivyo. Natokwa na machizi haki nishibdwa kulala nkikumbuka hii clip. Mahali penyewe very dry and far away from neighbours. Maskini Mwenyewe Mungu amidishie umri.
Kweli mama n mama!!!In her condition she still insist akuje nimuonyesha mpka wa shamba....long live mama
Asante Mary ..UJUMBE mwema
Kumcha Mungu ni kufuata Amri zake. Amri imeongeleshwa sana kwenye bibilia ni kuheshimu wazazi ili siku zako ziongezeke. @Freshley Mwamburi Saidia mamako. Usiache baraka.
Wa, utaishi vipi na mwanaume na amekuzalisha na hakupeleki Kwa wazazi wake? Mercy Lord🙏.
Ameshikwa kushikwa na mkao
imagine akiwa yeye anajimake kua sawa but freshely alishikwa na ufem
FRESHLEY MWAMBURI UNAANZA KUTUANGUSHA BRO...
Wah! If this is true then may God give us wisdom in Jesus name.. Otherwise wakati mwingine Shetani anaweza ona kipawa ndani ya mtu na akaweka mipaka kati yako na wazazi,ili uendelee kufanikiwa huku mzazi anateseka,na wakati mwingine ni Mwanadamu mwenyew Tena majirani ambao hutumiwa kutenganisha familia,,Siamimi Kama kweli ni akili ya ndugu ytu kumwacha mama kukaa Hali Kama hii,ukifuatilia kwa undani haswa kiroho utagundua Kuna kitu kiliwekwa katikati yke na mamake,,Apate Baraka za duniani alafu akose za mbinguni,,Only legends in Christ can understand,, otherwise May God help our brother,Na hii isimwuue moyo,ila iwe ni challenge na lift ya next level in Jesus name
Ukweli kabisa
@@RangileTv God bless you brother,,sababu hii imetusaidia pia sisi Kama waimbaji
Hili si jambo la kufurahisha hata kidogo.Huyu mama anapitia hali ngumu sana katika maisha yake.Mungu gusa roho ya Freshley Mwamburi amsaidie mamake.
aki
Salaale..... Mungu fungua njia,inauma
Fungueni paybill number tusaidie na chochote kidogo tulicho nacho. Mzazi atabaki kuwa mzazi
True brother
That's the Truth Bro and Also a good idea
Nadhani mama anastahili kulindwa miaka yake imeenda ata akichangiwa pesa atamaliza
This is heartbreaking.
Umaarufu wote huo kwaliwa mayo wele 😥😢😥😭
Hello Sad 🙏 Awe Na Roho ya kupenda Mamake.na kumwangalia vilivyo Jamani 🙏🙏🙏💞💞💞
Naomba tu freshley ajitokeze aseme wazi shida iko wapi, inasikitisha sana ujue hakuna kama mama plz mshuhulikie japo kidogo kabla ya kujuta, by the way tunamuombea maisha marefu mama aone vitukukuu.plz mpelekee wajukuu awaone,roho yake ipate tulia.na tunga wimbo kuhusu mama tunajua mashairi yapo pole sana mama.Wacha kushuhulikia akina stela na mama anateseka
Kupata mke mwema ni jambo nzuri sana, juu angeweza kumhimiza kumsaidia mzazi.
Yani kuna sisi hakuna mama kulia kila siku..wewe mamako yuko hai.shukuru sana..walai...kumbuka mamako amekubeba 9 months..kukulia kujinyima mambo mob...Leo hii unafanya mamako na hagaika kwa tamaa za dunia...imeniuma snaa I wish my mom was a life😭😭😭😭
I feel your pain My Shoshoo Live long as a family members May God 🙏 bless all and Lead your son to come back home..
Mwaluma asante kwa ujumbe wako
@Freshly Mwamburi no matter how bad your mama may have wronged you don't let her suffer
Inasikitisha sana,
Masikitiko makubwa sana!
Dah , Haya maisha jamani...Naomba pia tupe pande zote za stori hii
How can you forget your own mother like this surely??
In the name of celebrity
Imajin
Nimakosa sana
Imagine,makosa sana
Rosella Mbatia many forget how mum fights when situations at home are worse especially when we're young...
This is a good exposee.. i hope you get a story from Mwamburi himself... and hear what he has to say. Find more about the brothers and sister of Mwamburi,why dont they help. Always get information from both parties.. i really really hope its not a script for a politician to gain popularity in this ward and county at large, because i see it coming. Otherwise. Good job...
Yes true. According to mother, Mwamburi is the only son. His brothers died when they were young
It diesnt matter whether this waa politics!! My goodness😭people dont know the joy of having a mother. Shame to her biological children..Hata mama yako akiwa mchawi MPENDE tafadhali. I have cried because she reminded me of my late mom.
This is so heartbreaking from such a wonderful friend of mine but I live it up to the most high, Mambo ya mtu na mamake hutoyaweza 💔💔😭
mama tuma namba zasimu tutatuma chochotee hata elfu kumi tukichanga MUNGU atakusaidia ujenge hata nyumba niko tanzania nihuzuni
Lakini pia tukimlaumu freshly tunafaa kujua kwamba freshley sii millionaire, pia yeye anamajukumu mengi na familia pia alafu mama shida yake sii taabu ila ni mke wa freshley...
Be serious
Pole Mom mwanaume
Kuna shida nyingi sana katika boma zetu.pole sana kwa mamake kwa dhiki anayoipitia
Ai! Mwamburi,mzazi ni Kama gatter's za kupata maji wakati wa mvua.Rekebisha akiwa hai tafadhali
I'm so disappointed ☹️☹️ Ni Hali mbaya Sana pole Kwa huyo mama
I hope the son will go to see his mum as soon as possible....
Bado haijaniingia akilini mwangu.kwani vitu vya Dunia vinatutenganisha na wapendwa wetu.jamani Mama bado anamrai freshly aende aonyeshwe mpaka kabla haenda safari.hii statement imenigusaa😭😭😭
Heartbreaking for this mama to live a squalor life all these long,when his son is a revered musician.
Freshley do something when she's still alive
true
😢😢😢
Mama ni mama, usimwache mama
Only prayers 🙏 can save this worse situation..
Ewe mola wangu..uisadie familia ya uncle fresh...!!?...Kenya...watamu
Habari hizi ni za kutamausha, kusikitisha na kuvunja moyo. Nilikuwa na heshima kubwa sana ya Freshley Mwamburi... Mbona Freshley???
Pole mama
Pole zaidi mama
So sad 😭😥😢😫👎
Freshley shame on you😭😭🥺
Maoni yako ni mazuri
Weee mao ooooo aiii ainauma sana!! Area chief saidieni mama apate pesa ya uzee b4 then paybill tumchangie aki 😢😢
Number ya huyu mama pls
Ungekua umetusaidia na number ya huyu shosho instead re-edit the video please
ukiwa tayari nitakupeleka ujionee mwenyewe
It's so painful He is active in public holiday events but failure in home Affairs or concerns...
Wengi wana mapendekezo ya kufungua paybill kwa jina lake ili wananchi wamjengee nyumba kiasi...mwaona aje mashabiki wetu?
Freemason wamemupa masharti
Waaa🤔🤔🤔😳 can't believe this
Watu wengi wanaendelea kuamini kwa vile wamejionea uweli
Every1 is pointing finger to Mwamburi not knowing 4 fingers are pointing you.. we all know these guys hardly make anything from the music, piracy has ruined them. may be wat he get is for him on day these really struggle. these guys kwanza help their siblings ndio wajisaidie --
Mwamburi kuanzia leo mimi si shabiki wako tena😢😢😢😢
Sad
Thanks for your opinion
Masikitiko
Ukweli mtupu Indriss
Mama hana watoto wengine, i really feel bad seeing this old Mama suffering. Does it mean that even freshley's wife never visit her home. Shame to this guy hata nimemchukia pamoja na nyimbo zake
Hapa ndio husema nimerogwa kumbe umejiroga mwenyewe, mke utampata mwigine lakini mama utapata wapi?
Freshly is not rich,Simple
Alana zitamuandama. Heri atafute heri. 😢😢
where on earth this happens? How can you do this freshley? Why??
Juzi amenikabia akaniambia atakuja karibuni
True bro 💯.
Nice story
Kumbe uyu mzee ana akiri ubwa sana utamuona apa macha akitembea utafikiri n mtu wa maana😢
Really mother or step mother
Her real mother
Really mother and is my Shoshoo.
This is so sad to watch aki
Kabisa ni mbaya...nilienda kumhoji nikaona huruma sana
@@RangileTv this should get viral Mama asaidike
Which county is this please I want to visit her
Taita taveta County
Taita taveta welcome
Sad state
Thanks Ndigha kwa UJUMBE mwema
@@RangileTv meaning even when he performed during the inauguration ceremony hakufika home
Hakuenda
Could be the reason havumi.
ama mwanwako ologhwa usekufikirie
Sasa freshly mwamburi fika nyumbani ukaone mama
Freshley aliwachukia wake tangu kesi ya stellah tusimuone vibaya
Hakika ni waya ughu..mayo moni mayo
Freshlay ni ashlay,gasia yakawaida tu
Wengine wetu tunatamani tungekuwa na mama tu na huyu anaacha mamake mzazi anaishi hivi kweli?
Blessings come from parents.
If one wants his/her descendants to be blessed in future ,take care of your parents when they are alive.
Tusingoje wafe ndio tulete magari makubwa na hearse za kubeba mwili na kuzikana tiles ndani ya kaburi.
If your parent is alive please be responsible .it's 😭😭😭😭😢😢😢
Tabia mbaya hio kuacha mzazi wako anateseka, kama si huyu mama ugesimama Leo ukaimba
What with the irritating background music ! It’s a sorry state though !
Kama ningekua karibu ningemchukua nikae naye
This is not good at all the way Mwanawe anafanya.. me 2 nitamtafuta my Shoshoo nikaye naye aki..
So painful 😭
Yani siamini mtu aweza muacha mamake hivyo. Natokwa na machizi haki nishibdwa kulala nkikumbuka hii clip. Mahali penyewe very dry and far away from neighbours. Maskini Mwenyewe Mungu amidishie umri.
But why someone go to someones home to expose such a story. Can u inform us how you helped her ama ni kukausha mama mate bure
Asante kwa maoni yako
Tulisaidia kiasi cha haja. Wana Kijiji ndio walitaka sana ijulikane ili apate msaada, Christine mficha uchi hazai!!
Mama anateseka inabidi aongee asaidike,atawachaje mamake na hali hiyo kwa umri huu
@Christine wachia are u in your real sense, expose what? Do you agree with the state of grandma surely, shame on you.
Alikua anakuja kumueka hapa aliwe na wanyama shame mimi hapa natamani mamangu angekua hai alafu mwingine anafanya ujinga kama huu aky shame
Hiyo ni mikataba ya giza upate pesa ila usi saidie wazazi wako wala ndugu zako
Na vile wanafanana
kabisa wana fanana sana
What is this serious or scripted ? 😢😢😢😢if true then witchcraft is rea
Woiyee shame on you nilikuwa nakupa heshima kumbe uko bure hivi
Wooooii 😪😪😪
Mwamburi hebu tumia akili,,,wacha ujinga,,,kumbe unangara na mamako ananuka,,,shame on you...potelelea mbaliii
Fungueni paybill tumsaidie mama
kuna huo mpango..siku chache zijazo itakuwa tayari.
Mwamburi sio tajiri...he's my neighbour I know him...stop clout chasing bro
Whether rich or not he has to take care of his mother.
15years without seeing your mother then you talk of sio tajiri, surely?
Mbona amemtoroka siku zote sikiza pande zote mbili labda ana cha kutorokwa wazazi wengine are from hell
Shame on you mwamburi .. your only mother living in that pathetic life lingiushing in poverty...yet you right left n center uko sherehe...poor u.😉
I am beginning to hate even Stella wangu song