Ahsante baba tumekuelewa Mwenyezimungu awabariki wote waliowahudumia Maria na Consolatha kwa kipindi chote cha uhai wao. Poleni sana Masista wa Maria Consolatha na Familia.
yule bibi hakuna na busara anapaswa kuomba radhi kwa masister hawa ni watu was Mungu wamekua wakilea watoto yatima waliotupwa na mama zao bila kinyongo wakilea kwa upendo mkubwa sana Mungu awabariki sana
Sasa media zingine ziache kuandika habari zisizo sahihi. Baba Mkubwa kamaliza yote. Yule Bibi kule bukoba wamsamehe tu na uzee wake. Pumzikeni kwa Amani watoto wa taifa.
Well spoken...umeongea na busara sana..poleni sana
R. I. P, bora ww kuliko bibi yao alivyotoa maneno ya kushutumu masister. Mungu akubariki sn.
Ahsante baba tumekuelewa Mwenyezimungu awabariki wote waliowahudumia Maria na Consolatha kwa kipindi chote cha uhai wao. Poleni sana Masista wa Maria Consolatha na Familia.
Amina
Heri ya mtu wa kweli huonekana usoni na midomo hufunua uwazi, ulimi ukisema ukweli hali ili jamii ijifunze na kuondoa unafiki.♥√
Umeongea pointi ndio raha ya kuwa msomi pole sana baba.
yule bibi hakuna na busara anapaswa kuomba radhi kwa masister hawa ni watu was Mungu wamekua wakilea watoto yatima waliotupwa na mama zao bila kinyongo wakilea kwa upendo mkubwa sana Mungu awabariki sana
Mungu awapokee wapendwa wetu
Maneno yabibi Yule maneno yake yameniliza, Mungu amsamehe kwa maneno aliyo ongea
poleni sana kwa msiba
asante kwa kuwashukuru watu wote waliokuwa wanawajali
Poleni aisee
Baba umeongea Kwa busara. pole Kwa msimba.
Pole sana
R I P vipenzi vya taifa hili😭😭
Sasa media zingine ziache kuandika habari zisizo sahihi. Baba Mkubwa kamaliza yote. Yule Bibi kule bukoba wamsamehe tu na uzee wake. Pumzikeni kwa Amani watoto wa taifa.
Yan bibi yule asamehewe bure
Nimecheka kwa sauti,et wamsamehe kwa uzee,ni kweli anapaswa kusamehewa.
Rip
R.i.p
😂😂😂😂 may wekiboko
R.I.P
huyu baba kweli kaongea point yaani ameeleweka ila yule bibi kaongea vibaya kweli kauli zake zimenikwaza
Poleni mzee wangu mungu awape subira
Omary Ally mungu awalaze mahali pema amna
Omary Ally watoto hawa kweli ilikuwa icon na taswira ya Tanzania halisi! Ahimidiwe mungu wetu sasa na mpaka milele amen
wapunzike kwa amani
Pole sana
R.I.P
Rip
Rip
Rip