Nimependa maisha ya jack kwakweli watu wote ukipenda kuishi kama jack akuna hata atakusumbua hila watu wote wenye pesa wanaishi kwa mashaka hii ni fuzo tujifuze Kitu 😂😂😂 jack ni kiboko
story ya jaki inanipa raha sanaaa🥰🥰 aya acha tuskiy chariti kuwa atapandikizwa pengu za chesta jamani patamu kwelikweli💃💃💃aya sana ankoy jey naombeni laiki ata 5tuu zitanifuraisha kwamaana nimewayi pia🤣🤣🤣
Thanks again for everything tunakupenda zaidi 🎉🎉🎉🎉 team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana haturudi nyuma tupo sambamba na chester ❤❤❤❤❤
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣 ktk wanaume wote,Jack amewazidi kwa mahaba,na Stella nayeye ni mke bora sana,anajua kupenda haswa siyo wanawake my wapenda fedha wote
Yaani leo nimecheka hadi mbavu zangu zinauma maana sio kwakipigo hicho na jack anapambana kimyakimya 😂😂😂😂😂 hiyo familia ya wanjela imekiona cha moto 😂😂😂😂😂
@@avelinabaluhya2804 kweli kabisa 🤣 🤣🤣🤣🤣 nahuyo rafiki yake na Stella atakiona cha moto kwakuingia K.I.M international kwa masilai yake ya kumutongoza jack na amesha mushitukia mapema atarudi Tanzania kwa Anko Jay kwakichwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanastahili hayo,kwanini wanamchokoza kwa kumtapikia kila neno chafu bila hatia yoyote,kwani mtu kuwa na kipato cha chini ni dhambi?😂😂😂 a cha tu wapate haki yao😂😂😂
Ama kweli nyoka hawezi mzaa mjusi kwani ujeuri na hekima ya micktikissa ndio hii hapa kwa mwanae jacky ila yote tuwangoje hao wanao jiona kuwa ndio wenyewe na wenye nchi kwa utajiri wao na kuwatharau maskini tuwaone watakavyo aibika
Nimependa maisha ya jack kwakweli watu wote ukipenda kuishi kama jack akuna hata atakusumbua hila watu wote wenye pesa wanaishi kwa mashaka hii ni fuzo tujifuze Kitu 😂😂😂 jack ni kiboko
Jack kmarthi alivn 🤣🤣🤣🤣🤣
Wadau wenzangu wangapi tunapenda eliza apate mimba ya chestaa tujuane
story ya jaki inanipa raha sanaaa🥰🥰 aya acha tuskiy chariti kuwa atapandikizwa pengu za chesta jamani patamu kwelikweli💃💃💃aya sana ankoy jey naombeni laiki ata 5tuu zitanifuraisha kwamaana nimewayi pia🤣🤣🤣
Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
Jamani dharau si njema,,na umdhaniae ndie kumbe sie ,haya twendeni nalo wasikilizaji wenzangu 🎉🎉🎉🎉
Sijachelewa pia Anko nionee
.nna bonge la maji hapa ushushie maana koo limekukauka❤❤❤❤❤
hata ukini puuza mm yangu yanakwenda hila siku mukijua ukweli wake jamani Yaani mm napenda mnooooooo mtu akinipuuza kwakweli 😂😂😂😂
Shukran na we Anko jay kwa simulizi mzuri wonderful work and classic one 👌💯💯🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤⚘⚘⚘⚘⚘⚘for Jomba wajo
Asant kaka kwa kz yako mzur allah akulind n kipaj chako jivunie kipaj chako
Wow,kazi nzuri listening from Kenya(Eldoret),much love.
much love mkenya mwezangu ❤❤❤
@@elizabethkatoko8867ww tuko wengi,..alaa🇰🇪🇰🇪
Wow
Jamani! nimechelewa mie, ila sio mbaya, barikiwa sana
❤❤❤🎉🎉🌹🌹🙏naombeni mupokee salam nawapend a wana jomba wajo familia🔥🔥🏃
Ahsante bwana anko Jay simulizi wewe ❤❤❤kweli mtam jana nilikojao kwanza lkn nikakojoatenana tena😂😂😂😂😂 aaamsela
Anko jay maulana akubariki kwa simulizi hii❤❤❤❤
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri na akupe afya njema Inshaallah ❤❤❤❤
Ami
Amin inshallah
Thanks again for everything tunakupenda zaidi 🎉🎉🎉🎉 team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana haturudi nyuma tupo sambamba na chester ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana Anko jay MUNGU azidi kukupa afya njema
Niko hapa Ankoj nakusikiliza maana siku hizi uko katika ubora zaidi upewe TU maua maana si Kwa ubora huo
Amuachetu apigwemaana anaadabu pumbavu zake 🇴🇲🇴🇲🔥🤸🤸
Nmechelewa Ila nmefika jamani ❤❤❤❤kwako ankoj hedu tupe mazuri yenye ubora zaidi
Nawooo❤❤❤❤mambo bambam Anko Ahsante🎉🎉🎉🎉
Fready Wanjara sebule imeharibika kwaajili ya Stella,sijui atamkubalia😂😂😂😂😂😂😂 wuwiii mbavu zangu jamani 😂😂😂 leo
😂😂😂 jamani wewe
Yaani huyo stella ni malkia wa Jack kimaro ila watu hawajajuwa mbona watakiona cha moto kwakumuchafuwa😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 🤣🤣 ktk wanaume wote,Jack amewazidi kwa mahaba,na Stella nayeye ni mke bora sana,anajua kupenda haswa siyo wanawake my wapenda fedha wote
@@avelinabaluhya2804 hakika mahaba ya Jack ni babukubwa🤣🤣🤣🤣🤣
Jack MashaAllah 🥰 mme bore 😋😋
Huuuuuuwiiii njooni team Lissa
Mimi lisa ananiudhi kwa kuingilia maisha ya watu si awawache wapambane wenyewe😅😅😅
Anaboa sanaa 😂😂
Lisa anaboa sn kwani siku wakipatana ataitwa mambo mengine ayaache yapite aachie wahusika
😂😂😂😂yaan mm mwenyewe ananikera wakat yeye mwenyewe matukio yalikuwa ni moto
Lisa anaudhi sana
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
Wawooo wa 53 leo ankoo pokea 💐💐 yako. ❤❤
Ubarikiwe sana❤❤❤
Asante kwa kutuharakishia tunakupenda nko wetu❤❤❤
Hapo vip wapendwa ❤❤🎉😂😂
Anko umeipigaje hapo 😂😂😂kwenye ubora zaidi
Lazima isikilizwe kwaubora zaidi
Wakwanza Leo jamani weweeeeeeeeeee Sasa mupite Kwa heshima na adabu tena pole pole haya hiyo like ninyime pita kama hunioni ❤❤❤❤❤❤
Tumekupea dear na ww fanya hivy hivyo kwa kila mumoja 😂😂
😊😊l
Lllllllllllll
Pll
Mmmh
Jamanie,Lisa lisa lisa mara tatu namuita anaroho mbaya sana anaweka kinyongo mpaka keeerooo yaani lisa ukijamba akakereka ilo tundu litazibwa.....
❤❤❤❤ Asante sana Anko 🙌
Wow ubarikiwe we mkaka jmn
Allah akupe afya njema anko Jay 🎉🎉❤❤❤
Ahsante anko jay kwa simulizi tamu ❤❤❤🎉🎉
😂😂😂 khaaa shangazi mkwe bakiza maneno ya akiba,siku ikifika utatamani kuyarudisha kinywani😂😂😂
Yaani leo nimecheka hadi mbavu zangu zinauma maana sio kwakipigo hicho na jack anapambana kimyakimya 😂😂😂😂😂 hiyo familia ya wanjela imekiona cha moto 😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 😂😂😂 inawapasa kufanywa hivyo watu wanaokosa utu na kuabudu tamaa 😂😂😂😂😂
@@avelinabaluhya2804 kweli kabisa 🤣 🤣🤣🤣🤣 nahuyo rafiki yake na Stella atakiona cha moto kwakuingia K.I.M international kwa masilai yake ya kumutongoza jack na amesha mushitukia mapema atarudi Tanzania kwa Anko Jay kwakichwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤ from Kenya Nairobi
❤🎉ila jacki wewe mmh ni kuwakomesha tu
😂😂😂
Unajua,huyu jack ni ndugu wa alvin kumbuka 😂😂😂😂😂😂😂acha awatie adabu pumbavu zao
@@SofiaMchange apo Sasa napenda anavyo wapa somo wapumbavu hao
Ahsante 🙏
Team viporo hakuna kupoa thanks anko jay ❤🎉❤
Na jitahid jaman Tim gulf nipe like bas mpambanaji mwenzenu🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Thanks ank jay ❤
❤❤team fulusi
❤️❤️💓💞💕💚🩷
Team hamam❤❤
Watano jamani naombeni likes zenu kibao 😂😂😂 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote
From Kenya 53 second 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hhhhheeeee wakumina 2❤❤
Hatujamalizana na Jesca Tishombe Pamela Rodney inakuwaje Lisa iishe jmn Ankoo
Hii ni iende mpaka 200 ndo itakuwa imeisha vizuri sana,jamani Ankojay naomba isiishe aki
Watu kweli mko mbio aya na mm nimefika twendeni nalo
Anko katu surprise jmn leo wa vporo 🤣😂😂😂
Watu nda wote mnaangalia sim t jamn 😢😢
Asante ako jay
Sotor ya jack mbon mm sielew jamani kha nilini atarud Kwa kaka aeke😢
Mwacheni asafishe mazingira kwanza😅
Kwelii kabsa@@MwanatumuJumaa-rj4fg
Yn mm pia Leo nimejaribu kidogo kuwahi
Nampenda Sana Chester..NI muungwana yangu tukiwa pamoja kidato cha tatu
Na nyie VIP muwe mnakuja kutupa like team viporo jamani msitutenge😢
Jamani jack Kila mtu anaemchokoza Ana mfukuza kazi 😅😅😅
Nisawa maana wanamudharau sana acha awape kipigo😂😂😂😂😂😂😂
Wanastahili hayo,kwanini wanamchokoza kwa kumtapikia kila neno chafu bila hatia yoyote,kwani mtu kuwa na kipato cha chini ni dhambi?😂😂😂 a cha tu wapate haki yao😂😂😂
@@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli amejuwa kuwakomesha.
Ndo wajue kuishi na watu vizuri,waache dharau
Unajua ukishapitia mateso alafu ukapata chance yan hata kama n ww mpenz
Da nimewahi
Siee wa VIPORO HATUNA HARAKA MDOGO MDOGO NDIYO WENDO LIKE 10 KAMA✌️ NA WEWE UNASUBILI VIPORO TUJUANE nilikuwa naisubili hapa
Watatu leo nimechelewa😂😂😂😂😂 hii sehemu ni mwendo wakuchakaza watu nakuwatiya adabu chezea Jack kimaro lazima wanyooke🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂acha tu,watu walijikweza wakashushwa hadi kuzimu kila wakati hawakomi 🤣🤣🤣 aah ikifika mwisho watakuwa wamenyooka kama kamba😂😂😂😂
Yap tunasubiri Jeradi kula meza apo patamuu part 90 Anko kesho mapema plz😂
Kwakweli lisa mambo nimatram
Ankojay Asante sana ❤
Wow 😂jamn like zenu bac watu wangu nimekuwa wakwanza mjue😂😂
Kampeni Mwalala.hapa.yutub.nn.nimewahi.leo.
Wakwanzaaa familia ya lisa
Nawapenda sana
Like zangu wapendwaaa🥰🥰🥰🥰
Tumekupa na wewe ukumbuke tupenasie
Like zenu jamani sijachelewa sana 😢😢 asante sana uncle j 🎉🎉🎉
ASANTE XN ANKOJ MAPESA PAMOJA MBK KIHELEWEKE ❤❤
Watu mna bidii😂😂😂
Leo wa kwanza jamani like zenu ❤🎉
Kwa mara ya kwanza leo nmekuwa mtu wa 45😂😂😂
Shukuran ankojay...hicho kitabu ama Jonas ameweka hundi katikati .😂acha tuone
Naomba charity ashike uzito wake
Hope mko poa ❤❤❤
Hapo vipi hapo sawa
Asante anko❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊
Asante ankojai mungu Akupe nguvu sakutusimulia
Team viporo mpooo🙈🙈🙈🙈🙈
Yap😂
@@MamahetuChikuti-mp5lj👍👍👍👍
Tukopo tena sana
Thanks Ankojay ♥️♥️♥️
Watu hawalali humu dah mwenyew nikajua nitakuwa wa kwanza😂
Leo wakumi namoja
Nimewai
Thanks ankojay mapesa 🥰🥰
Huyu jack nae mbona anajitesa hv hata alvin hakujitesaga hvi huko dar
Wakat mwingine sifaa mbya bora kuishii kama watu wa kawaidaa
Leo nagawa like tuu❤❤🎉
Wa 5😂
Team viporo nimewai msininyime like gonga like apa tukisongaa😊
Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Munipe Leo like zenu😂🎉🎉
Ni mwendo tu wa kunyooha watu wenye kiburi asante Juck wape funzo much ❤❤❤❤❤ from Gulf
👌🔥👏
❤❤❤❤
Asante sana Ankojay
Mungu akupe afya njema Anko Jay Kwa kazi nzuri ❤❤❤
Jamani shukran kaka Ankojay ubarikiwe mno ❤❤❤❤
Unataka like
hila watu wote wenye pesa wanaishi kwa mashaka hii ni fuzo tujifuze kitu jack ni kiboko 😂😂😂😂
Wakati mwingine sifa zinahalibuu Jerard 😂😂😂😂😂😂 poleee yako 😂😂😂et walaaa hainiumii nimechekaa kwa kwelii
𝐀𝐬𝐚𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐤𝐨𝐣𝐞𝐢❤❤❤❤❤❤❤❤
Ahsante anko jay,,ila jack anafurahisha 😅😅😅wakomeshe wenye viburii
Ama kweli nyoka hawezi mzaa mjusi kwani ujeuri na hekima ya micktikissa ndio hii hapa kwa mwanae jacky ila yote tuwangoje hao wanao jiona kuwa ndio wenyewe na wenye nchi kwa utajiri wao na kuwatharau maskini tuwaone watakavyo aibika
Jack unawanyoosha sana jamani inatosha 😂😂😂 duuh
Ewaaaa