95% ni bidii ya Diamond mwenyewe wallahi drummer hana ajualo asubiri direction kutoka kwa Diamond. Kha! Ama kweli ukitaka kufanikiwa Africa inabidi uwe all rounder maskini Diamond kuimba aimbe yeye, kudirect video anadirect mwenyewe na drum pia ajue yeye ngoma itapigwa vipi?! Mna bahati Diamond ana subra mana ingekuwa artists wengine mngekuwa mshafutwa kazi.
Umeelewa vibaya.. Ni kawaida sana. Huyo jamaa ni professional ndiyo maana kila anachokitaka Diamond anampatia vilevile. Diamond kupiga ngoma hawezi, ndiyo maana kaletwa jamaa ili afanye kazi yake. Halafu suala la msanii kusema hapa nataka hivi, ndiyo utaratibu hata Ulaya hakuna producer au drummer, pianist, keyboardist etc wanafanya watakavyo wao isipokuwa maelekezo kutoka kwa mteja. Tazama Empire utaona wasanii wanavyofanya kazi pamoja na maproducer wao na watu wengine mbalimbali katika tasnia nzima ya muziki..
Great musicians huwa wanausikia mziki kichwani na kuwaeleza wapiga vyombo namna wanavyotaka mziki uwe. Michael Jackson alikua hivyo sana. Sio Africa tu, ukitaka kufanikiwa kwenye mziki popote yakupasa kuwa all rounder, knowing exactly what you want
Ooooooh no wonder why his beats always have a tangawizi masala taste he uses real instruments and real artists!!!!!❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaaa
Absolutely
Mixer salad nini
diamond p is hardworking and down to earth
And I love how music talk to him through his body... this dude really masters craft and so on point!! God bless...
Damn
Diamond is so fucking genius!❤
He can play instruments too
You are a legend bro one love from Cameroon 🇨🇲we LOVE you Diamond
This is so professional.. Diamond has to be credited as a Producer too.
Salim Mohammed ua-cam.com/video/Bo9InfX5RG8/v-deo.html
Mod mwanangu wawashie AC joto kali ndani
this people don't sleep I love your hard work guys
diamond nice xhida kwa wasanii wa bongo lazma wamfuate nyayo zake ili waweze kutoka
Unapambana kiasi hiki alafu anakuja mtu anajiita baraza anataka kufungia wimbo.. Jamani!!!😂😂 nikuroga tuuu
Bro is a perfectionist🔥 he knows what he wants
Love the originality
,harminize kama haondok wasafi mamaeee katulia kama kuku
Am a producer but I like the way these guyz produce good music I wish one day to be like Laizer,hongereni you are so creative
pre-peration is what create an extraordinary results
Wimbo huu umeweza.. Pongezi sana Diamond 🔥 🔥
Diamond can be an annoying boss when u want something. Some unique quality as an artist as u want the best music.Bravo
🛍🛍🛍🛍🛍
I likie the fact Chibu is part the process all way in
Diamond you are so much determined..... Love your focus.
wewe unaweza kazi na unajua kazi hongera unabidii yakujituma ndiyo maana unaweza utafika mbali sana kimuziki katika dunia hii
Mwanaisha Zunda ua-cam.com/video/Bo9InfX5RG8/v-deo.html
diamond ni mfano wakuigwa we salute u down here msa
Muna Minaji ua-cam.com/video/Bo9InfX5RG8/v-deo.html
Ndugu wew ndo msanii uloitangaza Tz...heko ndugu
You only prosper bro because you're hardworking and serious.
Mwalimu Amos ua-cam.com/video/Bo9InfX5RG8/v-deo.html
God bless you Diamond platinums
Kenya we love you
your confident and hardworking inspires me so very much
yeah we love him oooh😍😘
🍓🍓🍓🍓🍔🍔
🇦😂😂😂😂😂😂😂😂😎😎😎
Good😂😂😂😂
God bless you Diamond Kenya love you very much
Asnte kwa kuipnda Tanzania
The guy is so commited with his job big up bro
NGUO zao hiyo kaptula...wenyewe wanakuona boss!!!
Very hardworking Diamond.
Sio kipolepole bad man fire simbaaa
Much love from 256 Uganda Big Up Wasafi Classic Babay (Wasafiiiiiiii) A Boy From Tandale
Hatari cn unawatisha namn hio wanaogop ndio maan wakikuon au wakimuon mtu wak wanaongeo porojo
😂😂😂 na kweli aisee
95% ni bidii ya Diamond mwenyewe wallahi drummer hana ajualo asubiri direction kutoka kwa Diamond. Kha! Ama kweli ukitaka kufanikiwa Africa inabidi uwe all rounder maskini Diamond kuimba aimbe yeye, kudirect video anadirect mwenyewe na drum pia ajue yeye ngoma itapigwa vipi?! Mna bahati Diamond ana subra mana ingekuwa artists wengine mngekuwa mshafutwa kazi.
Umeelewa vibaya.. Ni kawaida sana. Huyo jamaa ni professional ndiyo maana kila anachokitaka Diamond anampatia vilevile. Diamond kupiga ngoma hawezi, ndiyo maana kaletwa jamaa ili afanye kazi yake. Halafu suala la msanii kusema hapa nataka hivi, ndiyo utaratibu hata Ulaya hakuna producer au drummer, pianist, keyboardist etc wanafanya watakavyo wao isipokuwa maelekezo kutoka kwa mteja. Tazama Empire utaona wasanii wanavyofanya kazi pamoja na maproducer wao na watu wengine mbalimbali katika tasnia nzima ya muziki..
Great musicians huwa wanausikia mziki kichwani na kuwaeleza wapiga vyombo namna wanavyotaka mziki uwe. Michael Jackson alikua hivyo sana. Sio Africa tu, ukitaka kufanikiwa kwenye mziki popote yakupasa kuwa all rounder, knowing exactly what you want
we jamaa ujielewiii
kweli diamond wcb ndio kila kitu..wengine kudandia..anawalipa bure
Unayimba vizuri arakini mwisiramu hatakiwe ibyo munafanya wewe na zari
Nothing is easy for sure.... It fucking hard work... To hard work 🙏🙏🙏🙏🙏
one simple statement let them get millions they made them when u were asleep dam biidi hii yani mi naskia kila akipiga ngoma safii tuu..
Duh ngomaa imependezeshaa sanaa
Duh we jamaa noma sana
this is wasafi at work nigaz . Wasafi ni wakali kweli
Platnum wamotoo sanaaa
so good enjoying it
❤❤❤❤❤ nzuri brother
Uko juu simba wazi nakukubali
Chambusooooo u a good bro 😄😄😄
tisha sana vijana wcb sio kitu cha mchez mchezo
Hassanova junior ua-cam.com/video/Bo9InfX5RG8/v-deo.html
Daaah ngoma hii kumbe ndo hvo xhda inavyokuwa
Diamond kumbe una uwezo wakuhifadhi kuruan yote madamu nyimbo zimejaa kichwani nakuruan pia ukitaka waeza
Grt work simba am here in ug
ATA usipopewa tuzo we n mkali. Tunakupenda Sana bratha
Simba mkali kweli
Nice gear!
Dah. Uyu mwamba ametoka mbali jaman
Ab coo'z love u bro from Nigeria
Kazikazi....keeps fire burning platnumz
nakubali Simba unatisha na kila kitu MUNGU kakubaliki Simba sio wala kesho unaumiza San kichwa
2024 we here🔥🔥🔥
uko pouwer sana
Hardwork pays
This guy!👌🏽🙌🏾🙌🏾
duh! kwel mziki n biashara,na biashara ni kuwa Sirius na unachofanya
Fundiiii Platinumz
Noma kuruka!
You are a legen of music
Hard work pays
Je vous aime Diamond
ginger sana
Mlishindwa kumwita saida karoli maan ni mtamu kwa upigaji wa ngoma za asili
Wakati wimbo Huu unatokabulikua wapi. Mimi nilikua darasa la saba😂 .
Simbaaaa
Harmonize inaonekana roho mbaya alianza kitambo cheki ilo jicho lake la kihusda
Kali sana
mashaallah
Fantastic
simbaaaaaa
Original instruments fadha doing it himself
mi cjui akili zako ila..una akili unajiamin..uko bz xana..ata wakisema ww n muhun..n mtazamo 2..iv sangap utawaza uhun jaman mwachen simbaaa
Mtu anawaza kazi tu😂
Mnatesekaga kumbe duuuuuh
cool simba
@simbaaaaa
Bidii hii,sio illuminati🙏
Inspiring
hatareee!!,
nice
Pancras Massawe
uko where kama vile nakufaham
wataisoma tu brow we kaza
hatari
noma sana
Kumbe mond mpaka.uprodicer unauweza
i like
Kumbe diamond huwa anachagia production ndyo maana muzikii wake unakuwanga mzuri
Kama umesikia mondi kapiga daku like hapaa
Nilikuwa najikumbusha
Dah ndo inavyokuwa hivi? Hatar
uko where kama vile ninavyo kufaham
CREATIVITY
Msaliti yule ple
😂😂😂😂😂😂
Which year are you watching this. Me 2023
Kond mnyama pamoja san
wakabe koo mpaka waombe poo
kali
Simbaa
Boy from tandale
NA ALAANIWE ALIYEMFANYA KIJANA WA WATU HIV JAMAN
I dream to part of you
#12-03-2012
#Mwaki__Boss
#More__Life__W_C_B
🔥