PART2:MWANAUME ALIEFATA UTAJIRI KWENYE MIGODI WA KUTUMIA UCHAWI/NILIZIKWA KWA SIKU 2/TULIUA/UCHI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 160

  • @abdallahomarahmed3436
    @abdallahomarahmed3436 4 роки тому +1

    Dah...katika stori zote uyu mwana na JUMA nimekukubal sanaaa bro davista...big up hey

  • @bacwaadyeeri5887
    @bacwaadyeeri5887 4 роки тому +7

    I like the way this guy talks

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 4 роки тому +2

    Ila Davistar vipande vinakimbia kwl...!! story tamu ila Dk chache kimtindo...!! But Kazi nzuri sana...God be with you 🙏

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +3

    Mganga kakubabua Kofi ile asira ya kumsumbua 🤣🤣huyu Jamaaa chenga sana et leo nakata visa kesho ndege imeanguka dah🤣🤣noma sana

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому +5

    Huyu jamaaa anachekesha mno. 😂😂😂😂😂😂 irizi limerowa .😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

      Sana adi raa

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      😂😂😂yaan nimecheka

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@credo7837 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@credo7837 Credo. Mbona umechelewa sana kuangalia hiyo.

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@pilimusa7770 nilikuwa sijaiyonaa sijui kwanini inaonekana ya muda mrefu

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 роки тому +1

    Davistar....uyu jamaa anatisha nimemkubali sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shifamakame4622
    @shifamakame4622 4 роки тому +3

    Huyu mganga wameisoma ya kutowa mama hapo hatuwelewani🤣🤣🤣🤣
    Jmni nimecheka mpaka eti jamaa anasema waganga wengine hasa sijuwi wapoje inakupiga mikofi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣linanitemea mate 🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mm shifaa

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 4 роки тому +9

    Bila like zangu silali

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +1

    Bonge la dude la pumuwa😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 роки тому +1

    Jamaa yuko sawa,story zake Safi sana

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 4 роки тому

    😀😀😀kaka yang D leo umepatikana maan si kwa lugha hiyo 😁😂😂😂😂Nimempenda huy mkaka anavy ongea😃😃😃😃

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +2

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo

  • @lindazawadi732
    @lindazawadi732 4 роки тому +1

    Wallah this guy is fun really 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 OMG I'm dead 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 роки тому

    Davistar....yaani uyu jamaa cyo poa story tamu atariiiii😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 роки тому +1

    Katika simulizi huyu jamaa comedian🤣🤣ety irizi ndio ishakua waleti sasa🤣 mara mzee anantemeatemea mate🤣 mambo gani ya kupigana makofi🤣🤣 Hapo ndio nkasema mungu nsaidie hamna mambo ya hirizi japo limeloa nkajua bado lina nguvu ya ziada🤣

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 yani leo nmejua kucheka, eti mikofi

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому

    Haha 😂 Eti maadui na wao wakanywa Maji pamoja mr Facts 🇸🇪🇹🇿

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому +1

    Ilo kofi alikusanzuwa nalo kwakuwa ulikataa kumtoa maza😆😆😆

  • @AfricaYangu
    @AfricaYangu 4 роки тому

    He is a story teller. ana hadithia hadi raha

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 роки тому +1

    Bro usitusungusi endelea na sisi ukimaliza storry zikiisha tafuta zingine tena ya napenda kukusikia unavo ongea mihapa nacheka 2

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 4 роки тому +1

    From Uganda, pamoja Sana

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 4 роки тому

    Nice history we need part 3 plz

  • @SelemaniRingia
    @SelemaniRingia 5 місяців тому

    Kweli muhuni so mtu mzurii....😂😂😂😅

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому

    Thanks Davi big up dear

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 роки тому +2

    Jamaa kanichekesha eti nguvu ya ziada 🤣🤣🤣🤣

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому

    Huyu kaka ni noma😂😂😂😂😂

  • @kikelafariala9273
    @kikelafariala9273 4 роки тому

    Nakubali sana

  • @kelvinmassawe4026
    @kelvinmassawe4026 4 роки тому

    Duu ndomaisha mwangu pole sana

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +1

    Wa kumi duuu siamini. Nipeni likes wajameni

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 4 роки тому

    Yaan unakata Viza leo kesho ndege inadondoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +1

    Utembee na tunguri kila mahali uwe nalo😂🤣🤣🤣

    • @robertndebate5462
      @robertndebate5462 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uyu jamaa comedian aiseee

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 роки тому

    😅😅😅😅😅mungu wangu huyu mkaka eti lile hiridhi sikutaka hata kuwa nalo nikalitupilia mbali 😅😅😅😅😅 bora ulivo kataa kumuua mama akoo

  • @Oneofhiskind123
    @Oneofhiskind123 3 роки тому +1

    Yani kama Nakata visa leo kesho ndege yenyewe imedondoka aisee wewe noma 🤣🤣🤣🤣🤣 duh maisha haya

    • @robertndebate5462
      @robertndebate5462 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...Davistar umetuletea kitu msimu uu mbavu adi zina uma

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому +1

    Hahaha 😄 😄 he's so funny tuned 🇰🇪

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому

    Anakutemea mate😂😂🙌

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому

    Huyu jamaa ananichekesha kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Noma sana hadi makofi😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому

    😅😅😅 Davistar eti kufinya nini huyu kijana nae anachekesha kweli

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Dhuuuu, masharti balaa

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Dhuuuu, umekuja first one ujasiri upo nao upige mziga wafe

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 4 роки тому +1

    Noma xana...!! 😅 Huu utaftaji asee

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo ungemuua bi mkubwaaa halafu umekosa jiwe😂😂😂😂😂😂Haha pesa sabuni yarohoo nahisi huyo mwenyekupata jiwe mybe alinusurika hapo alipo tajiri

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 роки тому +1

    Liilizi likatupiliwa mbali haaahaaa

  • @aishabeka8480
    @aishabeka8480 4 роки тому +1

    Naenjoy Sana kumsikiliza mzee wa kusmok

  • @baylamkandwa3895
    @baylamkandwa3895 4 роки тому

    Umekata visa Alafu dege limeanguka😂😂😂😂😂

  • @tracyirene8917
    @tracyirene8917 4 роки тому

    Nafuatilia bado stori 🔥👍

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Dhuuuu, mpaka unatemewa mate🤣🤣🤣🤣

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 4 роки тому +1

    Uyu jamaa ni comedian 😂

  • @brunopayu5428
    @brunopayu5428 3 роки тому

    Eti....kuwapoza raia🤣🤣🤣😂😂😂

  • @marudraw5306
    @marudraw5306 4 роки тому

    Nimewah⭐❤👌

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 роки тому

    Nikaludi katika kufinya 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa sauti

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Komaaa kk manake unataka kufaulu🤣🤣🤣

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Ungelimuenukia na kichwa 😂🤣🤣🤣

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣hili jamaaa zaidi ya lihuni loh

  • @kelvinvenance3627
    @kelvinvenance3627 3 роки тому

    Huyu anajua kujielezea sana. Yaani ni shida

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 4 роки тому +2

    Mali nihivo ukiipata unaweza uwawa.

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому +2

    Pia mwizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiii. Mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

      Angalia izo mbavu zisije vunjikaeeeee

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂Anachekesha kwer huyu mtu

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 4 роки тому +1

    Duu balaaa

  • @dallasdrones9146
    @dallasdrones9146 4 роки тому +1

    😅😅😅😅 kwamba mganga anakupiga kofi 😅😅😅

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 роки тому

    Ila hawa waganga wanamadhambi sana mana mtu kaenda nalengo lingine yy anampa mambo mengine

  • @shristinangitu2607
    @shristinangitu2607 3 роки тому

    Jaman nimecheka mpaka mbavu zinauma

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому

    Hilizi linapumua🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

  • @shristinangitu2607
    @shristinangitu2607 3 роки тому

    Dude linapumuwa🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahdrake4683
    @ibrahdrake4683 4 роки тому

    Nakubali sana huyu jamaaa

  • @honestema
    @honestema 4 роки тому +1

    jamaa anasimulia kama live aiseee

  • @thumakajo9518
    @thumakajo9518 4 роки тому

    Mungu si asumani

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    😂🤣🤣🤣 unataka irizi ndipo

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +3

    Hii nomaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @simonhaule6567
    @simonhaule6567 3 роки тому

    😄😄😄😄ananitemea mimate!ananisukutulia mimate!?

  • @dearlaviee4051
    @dearlaviee4051 4 роки тому

    Big up Davistar

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +2

    Muendeoezo🤗

  • @mkiwamkiwa3570
    @mkiwamkiwa3570 4 роки тому

    😂😂😂kk hananifuya bafu uko🇧🇬oman

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 роки тому

    Hata kama limelowa litakuw na nguvu ya ziada eeeeh..

  • @herenagetema3920
    @herenagetema3920 4 роки тому

    Hahahaaaaa 😁😁😁😁😁hilizi liwe kama waleti hii ni shida

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 роки тому

    barikiwa

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamani

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 4 роки тому

    Jama kweri numpiga story nimempenda bure

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 роки тому

    Kijana anachekesha

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому

    🤣🤣🤣hadi story inaisha nikucheka tu😂 sembe lake baalaa nikakanda hivyo hivyo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 роки тому

    Unakata visa leo kesho ndege inaanguka

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 роки тому

    Hii stori Kama movi vile

  • @masumbukondalahwa1594
    @masumbukondalahwa1594 2 роки тому

    Huyu jamaa ninoma!:"

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Kupoxa watu tena tobaa haya hilo sharti lalixikwaa mxima mzima noma

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Irizi tayari imepata maji balaa aiseee

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 4 роки тому

    Daaah xio poa ndgu

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 4 роки тому

    Noma

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    😂🤣🤣🤣 mukanywa vikombe

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Stor tam imepata msimuliaji

  • @sjfamily8121
    @sjfamily8121 4 роки тому

    😂😂😂😂😂 Jamaa ajiona yuko peponi sio?

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому

    Davistar umependeza mnoo

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 роки тому

    Kusungusi sembe lake km lile analo ni pulizia, Hapa na bonge la dude lina Pumu, Dollar 5000 nyingi

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 роки тому

    Hasa huyo mganga wee ulienda kujikinga muili wako vp tena kua tena maa wako

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 роки тому

    Yani huyu broh ninoma kabisa napenda zungmza yake nisungus

  • @mariammgombayeka1824
    @mariammgombayeka1824 4 роки тому

    😅😅😅😅😅😅😘 sungusi

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Watu wanaroho mbaya unazikwa ndani tu alafu unasaulika

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Pili njooooooooo mazur🤣🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      Nishafikaaa😂😂😂

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 роки тому

      @@pilimusa7770 na mimi nimekimbilia japo sijaitwa

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

      @@pilimusa7770 Nmefurai kukuona 🤣🤣

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona 🤣🤣

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂karibu

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 4 роки тому

    Kumbe ukifa huku unazaliwa ulaya anajitahidi kupambana wengine wanavuta tu hawataki kufanya kazi

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu uwiiiiii

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому

    Msungusi😂😂😂😂😂😂