MZEE MCHAWI EPISODE 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 225

  • @blackstone4488
    @blackstone4488 3 місяці тому +7

    Mganga kafa itabidi huyu boy awe anapelekewa moto 😂😂humo tu humo tu 😂😂😂😂

  • @Pox_media
    @Pox_media 3 місяці тому +7

    Nakutiii na wewe unanitiii jumlaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 ila mwakatobe

  • @UkhtysarahSarah
    @UkhtysarahSarah 2 місяці тому +2

    Eti uko chini ya miguuu yangu unanichunguliyaaa😂😂😂😂😂

  • @UkhtysarahSarah
    @UkhtysarahSarah 2 місяці тому +2

    Mwakatobe nahizo kofia eti nakuuti na wew unaniti jumla tunatiyana😂😂😂😂😂

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 3 місяці тому +7

    Safi sana mwakatobe big up sana kazi nzuri

  • @Kashindijohn
    @Kashindijohn 3 місяці тому +14

    Mwakatobe unakoroma vibaya bhana😂😂😂😂🫵🏿

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 2 місяці тому +1

    Mwakatobe unatomboka kweli amtaje kweli alie mpa mimba

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 3 місяці тому +4

    😂😂😂😂😂Brother We Noma Sana Keep Push Mungu Atafungua Tuu
    R. I. P Mganga😂😂

  • @Yangabingwaofficial
    @Yangabingwaofficial 3 місяці тому +7

    Umeupiga mwingine dakika za kutosha big up

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 3 місяці тому +21

    Wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda mwakatobe champion 💪💯 🇨🇩

  • @hamdunslimofficail4150
    @hamdunslimofficail4150 2 місяці тому +1

    Mtaje alikupa mimba mwakatobe on fire🔥🔥🔥🔥🔥

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 місяці тому +1

    Mwakatobe nifundi waku igiza nime mukumbali😂😂😂👏👏👏🇨🇩🇨🇩

  • @EnockMwakyusa-l4n
    @EnockMwakyusa-l4n 3 місяці тому +1

    Kazii nzuriii sanaa mzee mwakatobee.... Utafinywa na wachaw wa imayaa hiii hadiii unaua wagang

  • @DominguezdaFátimaNacir
    @DominguezdaFátimaNacir 3 місяці тому +2

    Dah aise! Umetisha kweli kweli nafatilia kutoka msumbiji 🇲🇿

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi 3 місяці тому +6

    Nimewahi leo mwakatobe hongera snaa❤❤❤❤

  • @marangotv7748
    @marangotv7748 3 місяці тому +8

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Wewe mwakatobe shabiki wako tena from Rwanda

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 2 місяці тому +1

    Mwakatobe dk hizi mbili😂😂😂😂😂

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 3 місяці тому +2

    Umekataa mimba ya bintiye mwakatobe ona sasa kimekuramba 😂😂😂 mwakatobe wewe unaeza kweli 🎉🎉

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 3 місяці тому +4

    Mwakatobe the best 💪🏻💪🏻👏👏💪🏻

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 3 місяці тому +7

    Ila mwakatobe anachekesha ❤❤ 😂

  • @StellaMzoo-rb3yw
    @StellaMzoo-rb3yw 2 місяці тому +1

    Namkubal xan mganga mwakatobe👌

  • @FatumaAli-e9y
    @FatumaAli-e9y 3 місяці тому +1

    Hapo.kwa. kubadilisha hisia nmeipenda hio.eno

  • @Awoshy
    @Awoshy 3 місяці тому +3

    Kumekuchaaaa..mwenye nyumba mchawi😂😂😂😂🔥🔥🔥

  • @MouhamadSaid-kk2yc
    @MouhamadSaid-kk2yc 3 місяці тому +6

    Shabiki wako toka ulaya faransa 🇨🇵😂😂 tuangoja part four

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i 3 місяці тому +3

    Jamaa anamaamuz magumu kakubali kubadili jinsia duh mm nisingeweza

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 3 місяці тому +1

    Mtaje alokupa mimba mweusi kaa giza la kuzimu😂😂😂😂

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i 3 місяці тому +2

    Ah kubababaake ah ah ah anakitumbua hhhh kweli anakitumbua!

  • @HosseinJuma
    @HosseinJuma 2 місяці тому +1

    😅😅😂😂😂 mwakatobe bwana

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 3 місяці тому +1

    Big up sana kwa kazi nzuri 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @Ibrahimlundenga
    @Ibrahimlundenga 3 місяці тому +42

    Mimba aina baba WW umekuwa broiler mimba aina baba WW kuku wa kizungu,,,mtu anakupa mimba unashimdwa kumtaja WW umekuwa bikira maria?,,,,like za mwakatobe zije hapa

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 3 місяці тому +2

      Like ya nyoko

    • @Ibrahimlundenga
      @Ibrahimlundenga 3 місяці тому

      @@AllyMkola-u7e kaa mbali na comment za wanaume

    • @Hawatito
      @Hawatito 3 місяці тому +1

      ​@@AllyMkola-u7ejmn 🤣 mwenzio kajimaliza hivy dooh 😂😮

    • @FredrikGudluki
      @FredrikGudluki 3 місяці тому

      😂

  • @deboramwakyusa2842
    @deboramwakyusa2842 3 місяці тому +40

    Mwakatobe team Gonga like Kwa hapa

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому +1

    Kumbreer chezooooeeee😅michezoooo hiyoooo😂

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому +1

    Kwani uyoo.mtoto wq mwakatobeeee kwann ataki kumtqjqqq uyoo.mwenye mimbaaa😅

  • @erastojr1195
    @erastojr1195 2 місяці тому +1

    Mwakatobe 🎉🎉

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 3 місяці тому +10

    Ila mwakatobe mshenzi sana😂

  • @najmaseif-ty2op
    @najmaseif-ty2op 3 місяці тому +3

    Nakupiga chuma RIP mganga like kwa mwakatobe

  • @othmandadi6242
    @othmandadi6242 3 місяці тому +1

    nakujal tunajaliana jumla 🤣🤣🤣 nakuthamin tunathamiana jumla hahaha nakutii una nitiii jumla........ hahahahahaha

  • @ImmaKerenge-iz2yb
    @ImmaKerenge-iz2yb 3 місяці тому +3

    Kaz nzur kaka tuko pamoj mwazo mwisho

  • @geofreywayesu5638
    @geofreywayesu5638 3 місяці тому +4

    Kazi nzuri from malawi

  • @MiguelMiskid
    @MiguelMiskid 3 місяці тому +4

    Dakika hizi 2 ✌️tu 😂 @harmonize

  • @fatmaabdala538
    @fatmaabdala538 3 місяці тому +1

    Usicheze na mwakatobe😂😂😂😂❤

  • @EvodearVenance-xe3xs
    @EvodearVenance-xe3xs 3 місяці тому +1

    😂😂😂ndonini kumng'ata ila mwakatobe anamambo kama mchawi

  • @KapendFiston-m1e
    @KapendFiston-m1e 3 місяці тому +3

    Kwa kweli sikuje kulomba likes yangu ila nakuja kuwapa ongera yenu kwa kanzi nzuri sana mwakatobe.wewe pamoja na timu Yako yote ila sasa likes ina raha zake tangu nilianzaga kufatilia movie zenu amujawai kunipa ata like moja kwa Nini Leo takaka likes ata kumi inatosha

  • @HamisiSalehe-c6b
    @HamisiSalehe-c6b 3 місяці тому +3

    Nakubar mwakatobe

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 2 місяці тому +3

    Kama umemwona ndugu yake Clam Vevo gonga like twende sawa.

  • @IreneShoma
    @IreneShoma 3 місяці тому +4

    Amefiwa na mganga😂😂😂

  • @Jay_Y_Charles
    @Jay_Y_Charles 3 місяці тому +2

    Sema bro unajua sanaa❤

  • @getrudezawadi184
    @getrudezawadi184 3 місяці тому +4

    unakoroma kama umekabwa jamani😂

  • @NoelyGasto-g6s
    @NoelyGasto-g6s 3 місяці тому +9

    Unatisha mkuu hujawahi niangusha katika kazi zako

  • @denisimarteen1509
    @denisimarteen1509 3 місяці тому +3

    Anakitafunio😂😂😂😂

  • @Chanbreezy
    @Chanbreezy 3 місяці тому

    Mwakatobeee unanikoshaaa jamn 🤣🤣🤣 eti we bikira Maria 🤣🤣🤣🤣 kazi Nzur broo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @NtakirutimanaSaidi-t8o
    @NtakirutimanaSaidi-t8o 3 місяці тому +8

    Like kwajili ya mwakatobe jamani naombeni tafadhali

  • @khalfankhatib5389
    @khalfankhatib5389 3 місяці тому +1

    Nyama ya mwanangu

  • @MohamedChande-d2n
    @MohamedChande-d2n 3 місяці тому +1

    Sanaaa

  • @DullaHamza-s5h
    @DullaHamza-s5h 3 місяці тому +2

    Hila mwakatobe ni jinios

  • @EverinRobert-cg6cx
    @EverinRobert-cg6cx 3 місяці тому

    Safi sana wakataaaji mimba wote wawee mfanoo wa kuigwaaa kwa huyo kijana

  • @JosueMambo-w4k
    @JosueMambo-w4k 3 місяці тому +5

    Wa kwanza leo

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 місяці тому +2

    Uganga ni Kazi Hatari Sana kuwahi kutokea😢😢😢😢😢

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 місяці тому

    Haya kuanzia leo tusikae chini ya miguu ya watu tutawachungulia😂😂😂 🙌 mwakatobe jaman!

  • @NatureRamson
    @NatureRamson 3 місяці тому

    mwakatobe... naomba.. connection... nataka... kuigizaaa🙏🙏

  • @MejaMahuhu
    @MejaMahuhu 3 місяці тому

    Aiseee sa Baba mwenye nyumba kapangisha vyumba vyote analala nje😅😅

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 3 місяці тому +1

    Mwakatobe Umeua

  • @HSM532
    @HSM532 3 місяці тому +1

    Nice job

  • @SaidAlly-u4i
    @SaidAlly-u4i 3 місяці тому +2

    Hatari uno LA sotojo

  • @HalidibiteboHalidibitebo
    @HalidibiteboHalidibitebo 3 місяці тому +2

    Hiv kam huy mama ana lia hvy kijan wawa2 yey ata liaj ss😂😂😂😂😂😂

    • @EMAPLUSTV
      @EMAPLUSTV 3 місяці тому

      Mm mwenyewe nashangaa

  • @AshaSeif-q5w
    @AshaSeif-q5w 3 місяці тому +5

    Huyu ene kafanana na clam vevo

  • @MARCEL_BOY9
    @MARCEL_BOY9 3 місяці тому +2

    Mwakatobe humetisha🤣🇨🇩

  • @RubanzintwariJeanclaude
    @RubanzintwariJeanclaude 3 місяці тому +2

    Muganga ariceza namba mbaya tobe noma tobe bigap brother umetisha sana wenjo top sasa hivi mwanangu Mungu akujariye ±257

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 3 місяці тому +2

    We mwakatobee ww unakoloma alfuu unapga mruziiii

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Falaaa kama.falaaaq😅😅😅leooo kaingiaaa choo cha mwakatobe 😅

  • @AbaidiiniNgweti
    @AbaidiiniNgweti 3 місяці тому

    Daah. Mwamba anakamiwa yeye 😂😂😂😂😂😂 kula chuma iyooooooooooo

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Kubababaakeeee 😅😅😅😅😅kubabaakeeeeee😅ana kitambuaaaa kitafunioooo anachoooooo😅

  • @raiswamaraishalisi8426
    @raiswamaraishalisi8426 2 місяці тому

    From Congo nakupenda mzee

  • @RamazaniMustafa
    @RamazaniMustafa 3 місяці тому

    Kumbe mwakatobe ana vurugu ivii dhaaa hatarii sanaa kwelii

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 місяці тому +2

    ❤❤❤

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 місяці тому

    Leo unalo baba mwenye nyumba🎉🎉🎉😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Michezooo hiyooo mwakatobe kama mwakatobe 😅😅😅😅

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 3 місяці тому

    Dah-mwakatobe anaweza yaani unarudisha nyuma kumuangalia hata mara5

  • @valuboy4335
    @valuboy4335 3 місяці тому +5

    Wa kwanza wapi like zangu ❤❤❤❤na subscribe zangu ❤❤🎉🎉🎉

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 2 місяці тому

    😁😁😁😁😁mwakatobe unamsinya mtoto meno unamnasa sikiyo namkwe mnase meno ene mtoto mbaya😁😁😁🇧🇮

  • @Zayna1101Yassin
    @Zayna1101Yassin 3 місяці тому

    Mwanaume Rijali unakataaje mimba😮😮😮

  • @pierrejackson6865
    @pierrejackson6865 3 місяці тому +2

    Aya leo wakwanza mm!

  • @Junior-l4u4p
    @Junior-l4u4p 3 місяці тому +16

    Team burundi tujuane hata nanyie majilani watanzania gongga like hataa 10

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 3 місяці тому

      Like ya nyoko

    • @Junior-l4u4p
      @Junior-l4u4p 3 місяці тому

      @@AllyMkola-u7e ndiomaana mama yako amebebea mimba yako kwenye toilet 🚽 kwasababu ya umalaya nawewe ndiomana una akili ya chooni msenge

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Alafuuu mwakatobe atampelekea motoooo😅

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂 waoo akae hivo

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Nimzooom mwakatobeeee mwenyew mwangaaaaa😅

  • @stormkingtz5466
    @stormkingtz5466 3 місяці тому

    Alie sikia muda wa kumkagua ene mwakatobe katukana kubab ake 2juane hpa😄😄😄

  • @moodjeco5844
    @moodjeco5844 3 місяці тому +2

    hiyo kofia tu mwakatobe

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 3 місяці тому

    Kwamba huyo fala anaanza kuliwa tumbua😂😂😂

  • @husnansabimbona4496
    @husnansabimbona4496 3 місяці тому

    Tulia na mwakatobe mufanye maisha😂😂😂😂

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt 3 місяці тому

    Mwakatobe punguza maneno unapoteza muda

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 3 місяці тому

    Ila uchawiii upooo jamani😅😅😅😅😅

  • @SophiaIdd-d2v
    @SophiaIdd-d2v 3 місяці тому

    Mwakatobe umenifulaisha unakula sikio la bint anko 😂😂😂😂

  • @rishedynassor6170
    @rishedynassor6170 3 місяці тому +2

    Kaz nzur

  • @mosimndeme9618
    @mosimndeme9618 3 місяці тому +2

    Nimekua wakwanza kutoka Zambia nipe like zangu

  • @FidelAugustomachalamalaMachala
    @FidelAugustomachalamalaMachala 3 місяці тому +2

    Leo Mimi wakwaza wa Mozambique gonga like apa Kwa mwakatobe

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey 2 місяці тому

    Mwakatobe yupo sahh kumtimua huyo mtoto wake, kwann asimtaje aliempa ujauzto, kifupi mi ningemkata miguu yote, hafai hata kumuona

  • @yohanandiga3389
    @yohanandiga3389 3 місяці тому

    Nakutii na ww unanitii jumla? 😂😂😂😂 Mwenyekiti si angemalizia jumla tujue jamani 😂😂

  • @kelvindagine9571
    @kelvindagine9571 3 місяці тому

    akiongea ivi nampenda sana king tobe

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 3 місяці тому

    Ina fundisha kweli 🎉