Jinsi ya kupika VITUMBUA vitamu kwaajili ya FAMILIA yako | Pika na Babysky

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 154

  • @naomicharles7426
    @naomicharles7426 4 роки тому +11

    Nakupenda sana my wewe ni mrembo msafi una akili unajuwa kupika una family bora Mungu akupe nin hongera sana bbysky.

  • @aishaaisha4092
    @aishaaisha4092 4 роки тому +1

    Kama huna nazi unaweza ukatumiya mayai au Nazi ya ponda inakuwa Sawa kweli ni vizuri San nimeipenda mashaallah 🙏

  • @hellendickson5219
    @hellendickson5219 4 роки тому +18

    I love your demonstrations .. so easy for one to capture and follow .. mfano wa kuigwa

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 4 роки тому +4

    Yaani nimepata shida sana kukumbuka hii sauti special na common masikioni mwangu nimeisikia wapi kumbe ni baby sky.oooh hongera sana

  • @marytemba883
    @marytemba883 4 роки тому +9

    Yani sky is truly lucky ma👌👌👌👌👌shukrani sana nimejifunza kitu kizuri sana leo

  • @jahmbenyjahmbia210
    @jahmbenyjahmbia210 4 роки тому +8

    Shangazi yng marehem Mungu amrehem alikuwa mpishi mzuri wa vitumbuwa yy na ndg zake na wtt wao biashara ya vitumbuwa Tanga bc yy hn mbwembwe nyingi mchele akisaga waekwa juwani kdgbc vyachomwa kiukweli hodari sn mpk leo dada angu apika kwa tanga maarufu

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 4 роки тому +6

    Mashallah baby sky kukupenda tu😋😋mungu akuzidishe afya bora nauzidi kutuletea vipindi vya mapishi tofauti tofauti tulikuwa tumemiss mapishi wallah

  • @ngulowitness171
    @ngulowitness171 4 роки тому +1

    Asante Dada natajaribu na hakika vitatoka vizur tu.

  • @noorayaqoot1294
    @noorayaqoot1294 4 роки тому +6

    Mashaallah vitumbua vizuri sana na ndio favourite yangu. Nimekipenda chuma cha vitumbua kinauzwa wapi?

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 4 роки тому +2

    Vinaonekana vitamu Asante baby sky

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 4 роки тому +4

    Thank you nimejifunza

  • @zilentozilento2728
    @zilentozilento2728 4 роки тому

    Thanks sana Baby Skye ,
    Mimi kama mtu ambae najifunza lugha ya kiswahili kupitia nyimbo ao mitandao kuna vitu ambavyo nimevikosa kwa lugha nyingine kwenye recipe hii,
    Tafadhali kama mnaweza kunitafsilia
    Tui la nazi
    Hamila
    Hiliki
    Kwa kingeleza I'd more grateful ao kifaransa

    • @babysky3262
      @babysky3262 4 роки тому

      Usijali nakutajia majina kwa kingereza
      Hiliki - Cardamon
      Hamira - Yeast

    • @babysky3262
      @babysky3262 4 роки тому

      Na Tui la nazi ni - Coconut milk

    • @aishaabdallah4560
      @aishaabdallah4560 4 роки тому

      Tui la nazi ..coconut milk..Hamira ..yeast..Iliki cardamon

  • @beatriceuisso8364
    @beatriceuisso8364 4 роки тому +1

    Hongera Dada unaelekeza vizuri sana. Nitajaribu.

  • @beatricesylivester1160
    @beatricesylivester1160 4 роки тому +8

    Nmependa usafi yaani umepangilia hadi sio vzur

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +7

    MAASHALLAH 👌🏼

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +4

    Nmejifunza mamy Asante sana kwa Vitumbua RAMADAN Kareem to u mama Cameron

  • @susancyprian2341
    @susancyprian2341 4 роки тому +1

    Samahani dadangu,naomba unierekeze mahali pa kununua hicho chuma ,mjini Nairobi

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 4 роки тому +1

    Mashallah Mashallah BabySky napenda sana Mapishi yako kwa kweli

  • @Rizikiskitchen
    @Rizikiskitchen 4 роки тому +4

    I really like to eat vitumbua specially vya mchele but I don't have that cooking pan. I will appreciate if baby sky can send me a cooking pan, but the way you are making it looks easy and I know it's very hard for me 🙈. From Canada tupo pamoja sana.

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 4 роки тому +2

    Mie cjaona vitumbua nimeona vidole vya mpishi😍😍

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 4 роки тому +1

    Ahsante kwa elimu

  • @marynghumbu8437
    @marynghumbu8437 4 роки тому +1

    Vinavutia hope vitamu sana asante kwa recipe.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +7

    😋 Ramadan kareem❤👍

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 4 роки тому

    MASHAALLAH MASHAALLAH NIMEVIJARIBU VITUMBUA VYAKO VZR Snaa. ASANYE KWA MAELEKEZO

  • @SophiaTafuna
    @SophiaTafuna 4 роки тому

    Safi sana. Naomba ntumie China chs kukaangia. Ni bei gani na je waweza kunitumia huku Ujerumani. Nashkuru sana

  • @كليبالكليب-ف6ف
    @كليبالكليب-ف6ف 4 роки тому +1

    Asante sana dada kwa mailezo ya makini na kutupa maarifa sawa hapa saudia hapatikani vitumbua maduka.I hivo lzm tufanye nyumbani na mamangu alikua anafanya lkn sasa hayuko hapa yuko tanzania

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 4 роки тому +4

    Mashaallah baby sky Maan nimemic mapishi yko

  • @joyceedgar9857
    @joyceedgar9857 4 роки тому +1

    Nmepata somo mamy..barikiwa

  • @umfarid247
    @umfarid247 4 роки тому

    Mashallah nimekuunga mkono kwa vyakula vyako

  • @cigomba
    @cigomba 4 роки тому +10

    What the name of the black pot you're using and where can I buy it? Thanks

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 роки тому

    Asante kwa pishi lako mamii...

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 4 роки тому +1

    Kwa macho tyu vnaonekna heluuu 😍😍😍😍😍😍

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 4 роки тому +1

    Mashalallah mwanamke mapishi hongera sana pishi zuri sana😘😘

  • @subiramichael3840
    @subiramichael3840 4 роки тому +2

    Ongera vinavutia mno arafu kumbe uji wa sembe kuchanganya sio razima naona vpo vzuri tu

  • @henriettenkuba7078
    @henriettenkuba7078 4 роки тому +1

    Ndio sababu baby sky akanona kweli

  • @mwanashoogobo1785
    @mwanashoogobo1785 4 роки тому +3

    Umeweza dada mashallah!

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 роки тому

    Dammani c ungenialika tu nije kufturu kwako mhhh jamani koo yawasha kabisa, meno yagombana, na ulimi unatuna nyute tu dah😋😋😋😋😋

  • @aminajumaa9876
    @aminajumaa9876 4 роки тому +1

    Mashallh

  • @sarahmollel4287
    @sarahmollel4287 4 роки тому +3

    Asanteee

  • @mwadjumakilanda9992
    @mwadjumakilanda9992 4 роки тому

    Woow beby sky welcom yani tumekuwa tu miss sana kipindi ichi pika na beby sky

  • @avierastevens5141
    @avierastevens5141 4 роки тому

    Cling film. Hongera mwaya

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 роки тому +2

    Ndomana sky amefanya kitambi🤣🤣🤣🤣

  • @janemburu4112
    @janemburu4112 4 роки тому +1

    Wow this is great

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 4 роки тому +1

    Masha'allah

  • @beatricesylivester1160
    @beatricesylivester1160 4 роки тому +2

    Generally mapishi yako hutumii vikolombozwe vingi hasa hasa ivi kwa supermarket

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому

    Masha Allah bbu sky kumbe hodari kwa upishi wakiswahili hyo kkangu sky lazima tumbo lije hilo

    • @baltazaryleticia4451
      @baltazaryleticia4451 4 роки тому

      Sorry huo mchele unakuwa tayar umekauka au baada ya kuuloweka au

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 4 роки тому

    Shemej sky anafaid😁😁😁😁👌😜😜😜

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 роки тому +1

    nzuli sana

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 роки тому +1

    Mashallah my

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 4 роки тому +4

    Vitumbua vitamm sana inaonesha

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 4 роки тому

    Nimefurahia sana hili pishi
    Na hii ramadhan😜😉👊

  • @maggiekangai6889
    @maggiekangai6889 4 роки тому +4

    If possible, write the ingredients in English

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 роки тому +4

    Nime kuelewa sn babysky☝️🔥🔥

  • @samirarashid8186
    @samirarashid8186 4 роки тому +2

    Love you baby sky 💞💞💞😘😘

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 4 роки тому +2

    Mashallah Mashallah Vizuri vitumbua

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 роки тому +2

    So yummy 😋😋😋

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 4 роки тому

    Nimekupendajeee

  • @mariamtofiki9489
    @mariamtofiki9489 4 роки тому +1

    Habar mchele wa aina gani

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 4 роки тому +2

    Video ndefu sana

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 роки тому +2

    Thanks for recipe

  • @honeygirljaison5553
    @honeygirljaison5553 4 роки тому +6

    From Zimbabwe I don't know Swahili but I like you babysky you are really a wife material I usually visit Tanzania when I come will surely want to meet you

  • @uwamahoroyvette4186
    @uwamahoroyvette4186 4 роки тому +1

    Nice one babysky!

  • @dorislema1814
    @dorislema1814 4 роки тому +1

    sky anapenda madikodiko apo ndipo umemkamatia

  • @ibrahimfaiz8423
    @ibrahimfaiz8423 4 роки тому +3

    Kindly avoid music in your video.thankyou dear

  • @debbiethomas5328
    @debbiethomas5328 4 роки тому

    Sasa huku Ulaya HAMIRA inaitwaje🙄🙄🙄🙄 Msaada wajameni 🤔 NAPENDA MNO VITUMBUA... I WILL TRY THIS. Thank you so much BbySky

  • @suzanampanda9767
    @suzanampanda9767 4 роки тому +1

    Yum yum 😋 I like it

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому +1

    Nilikumiss jaman baby sky😘😘

  • @jahmbenyjahmbia210
    @jahmbenyjahmbia210 4 роки тому

    Ushauri wng dada angu hvy vikarai weka mafuta ya kutosha na yachemke vzr ukitia uji vikiiva huo mjiti watobowa juu baada ya kupanda ili uji kdg utoke kieha wageuza mara 1 tu kisha watowa kimeiva fresh cri ya kutobowa kikpanda juu uji ukimwayika unaivisha ndani vzr kinakuwa km vono sio km vitumbuwa vya Dar ndani ugali

  • @halimamwajuma9208
    @halimamwajuma9208 4 роки тому +2

    Mashaallah

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 4 роки тому

    Nlikumiss kipenz, yaan umenitoa udenda😋

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 роки тому

    Naendelea kujifunza

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому

    Umepotea sana ata ivo jana nimekuwaza sna ulivokua unatangaza kuhusu zari na chapati nikasema moyoni mbna baby sky atuoneshi mapishi hasa chapati nione na ww unapikaje

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 роки тому +2

    Hongera Mkaza Sky 😋😋😋
    Subiri nimalize vyombo vya waarabu nije niangalie ufundi🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому

      Ngoja wakukute uko u tube😂😂

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 4 роки тому

      mimi.nimesha maliza kukosha upooo

    • @MohammedAli-vq2dk
      @MohammedAli-vq2dk 4 роки тому

      😂😂😂Napenda kupika ila hapa chakupikia hmn

    • @assiakwinnj4910
      @assiakwinnj4910 4 роки тому

      Kumbetukowengi😂😂😂😂😂😂🌙🌘

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +1

    😋😋😋😋Nimetamani

  • @salojaanbaloch
    @salojaanbaloch 4 роки тому +3

    Salaam sister iyo plat ya vitumbua where did u buy I'm have been for that size but I can't get it

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 роки тому +1

    Yummy good job

  • @ummymiraji5525
    @ummymiraji5525 4 роки тому +1

    Mashallah vinavutia sana umetumia mchele gani?

    • @babysky3262
      @babysky3262 4 роки тому

      Mchele wa kawaidaa tuu, wakupikia ubwabwa my dear!!

    • @lailahasan2200
      @lailahasan2200 4 роки тому

      @@babysky3262 asante nilikuwa najiuliza kuhusu mchelekumve ni wa kawaida, nilijua lzam v i p

    • @mwanakhatibu3722
      @mwanakhatibu3722 4 роки тому

      @@babysky3262 mbn round up sns mnatubania my sister love

  • @veronicakalondji2375
    @veronicakalondji2375 4 роки тому +1

    Wow so yummy 😋

  • @judithcharles3829
    @judithcharles3829 4 роки тому +2

    Thank you dear

  • @mwanamisp0fu760
    @mwanamisp0fu760 4 роки тому +1

    MashaAllah

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 роки тому

    Yan leo kesho na mm npk baby sky uko juu

  • @dorislema1814
    @dorislema1814 4 роки тому

    vitakua vitam sana jaman ivo

  • @zeitunikambi1236
    @zeitunikambi1236 4 роки тому

    Asante! Ila kwann hutumii tui la kwanza yaan bubu

  • @ruthmugane1773
    @ruthmugane1773 4 роки тому +1

    Wow vinavutia sana. hicho chuma kinapatikana wapi?I have a family friend in TZ naweza mtuma or whichever way?

    • @konsolatatutu423
      @konsolatatutu423 4 роки тому

      Kumbe tupo wengi😀 tunaojiuliza, kuna mtu wa UK anaviuzaga nikaweka order ya 2 mwenzangu corona si ikaingilia kati mpaka sasa hajapata mzigo. Kama una relatives TZ waagize utakipata. wakinasie tunakula kwa 👀👀

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 4 роки тому

      Ingia instagram kwa jina la salma bussines lady anaagizaga unaez muagiza akakuletea

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 4 роки тому

      Ingia instagram kwa jina la salma bussines lady anaagizaga unaez muagiza akakuletea

  • @ludovicklucas2872
    @ludovicklucas2872 4 роки тому

    Nimepena dada

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому

    MASHAALLAH TABARAKALLAH

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 4 роки тому +1

    Tundu la Kati Kati😂😂😂😂😂😂

  • @jahmbenyjahmbia210
    @jahmbenyjahmbia210 4 роки тому

    Ungekata tukaona ndani

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому

    Asante

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 роки тому

    Je hamira vijiko 2 vikubwa au vidogo wa chai

  • @rehemamahho300
    @rehemamahho300 4 роки тому

    Je naweza tumia nazi ya pakti

  • @konsolatatutu423
    @konsolatatutu423 4 роки тому +2

    Welcome back 😍

  • @margarethenry693
    @margarethenry693 4 роки тому +1

    What is hamira in English
    What is hiliki in English

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 роки тому

    Unatumia mchele wowote au??

  • @habyalmary8132
    @habyalmary8132 4 роки тому +1

    Hamira kijiko gani ulopimia, teaspoon 2 au tablespoon 2?

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 4 роки тому +1

    Duuuh daaadeki na hivi on mefunga

  • @raaaaa9881
    @raaaaa9881 4 роки тому +1

    Asant

  • @eglesiaselombe694
    @eglesiaselombe694 4 роки тому +2

    Hicho chuma chavitumbuwa jamani kizuri nakipata wapi?

  • @zeyanaalesry8631
    @zeyanaalesry8631 4 роки тому

    Mimi na penda vya kuungua

  • @ashouraabdallah4080
    @ashouraabdallah4080 4 роки тому

    Mim sijaona ujii mbona