🙏🏾🙏🏾👏🏾👏🏾 tunaomba MUNGU atutunzie Dr. Elie, Sam na wote hapo pia chombo cha Chomoza na Clouds Tv😍. MUNGU tusaidie tunayojifunza tuyafanyie kazi🙏🏾. Baraka za BWANA na Hekima ya KRISTO YESU zizidi kuwa juu yako Dokta Ellie na Sam na wengine hapo. Asanteni kwa somo🙏🏾
1.Majibu yapo yanadai tafiti. 2.Tunamajibu yasiyotusaidia kwa sababu huwa hatuyatafiti (I.e sio kila majibu ni jibu kwangu). 3.Hatupaswi kusakata majibu; twapaswa kuyachakata. 4.Subira ni nguzo muhimu kwa kupata jibu lililo sahihi kwa shida yako. 5.Kimbia kutafuta; vumilia kutafiti. 6.Eneo la utafiti(I.e matendo yako,tabia yako,sababu (nia)na ufanisi wako). 7.Ukweli si kwa ajili ya wengine bali kwa wewe. 8.Tunahangaika kutafuta majibu ya liyo nje na hatima zetu. 9.Majibu yako yamefichwa kwenye hatima yako.
Mungu akubariki Sana wewe ni jibu la Maisha ya watu wengi sana
Dr.Elie Mungu awabariki niny nyote nawakwako wotee
Wewe ndio mwalimu wng Bora ...Mungu akuongezee maarifa
Asanteni kwa SoMo
Hakika nimejifunza.
Ahsante kwa somo, nimejua kutafiti badala ya kusaka majibu-mbarikiwe na Bwana Mungu.
Thank you nawapenda 🙏
🙏🏾🙏🏾👏🏾👏🏾 tunaomba MUNGU atutunzie Dr. Elie, Sam na wote hapo pia chombo cha Chomoza na Clouds Tv😍. MUNGU tusaidie tunayojifunza tuyafanyie kazi🙏🏾. Baraka za BWANA na Hekima ya KRISTO YESU zizidi kuwa juu yako Dokta Ellie na Sam na wengine hapo. Asanteni kwa somo🙏🏾
No no no
@@emanuelylema9988 unamaanisha nini na no no
Very nice doctor Elly, your massage
Vraiment une revelation divine
Waislael hawaamini katika yesu asante sana dr el maana ukweli umeunena
Much blessings to u all🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Thank you
The best teaching ever
Good advice
Nice to hear 🙏
Thank you doctor be blessed
Great job ,one love ❤
Shida yuko kwenye tv
Nice Dr
Majibu
Amen 🙏
Sasari naomba muulize dr. Mtu Anawezaje kutambua kutafuta majibu yalio katka destiny yake
Wengi hatuwezi kujitathmini kwa sababu tuna maelezo mengi kutuhusu kuliko maelekezo.
1.Majibu yapo yanadai tafiti.
2.Tunamajibu yasiyotusaidia kwa sababu huwa hatuyatafiti (I.e sio kila majibu ni jibu kwangu).
3.Hatupaswi kusakata majibu; twapaswa kuyachakata.
4.Subira ni nguzo muhimu kwa kupata jibu lililo sahihi kwa shida yako.
5.Kimbia kutafuta; vumilia kutafiti.
6.Eneo la utafiti(I.e matendo yako,tabia yako,sababu (nia)na ufanisi wako).
7.Ukweli si kwa ajili ya wengine bali kwa wewe.
8.Tunahangaika kutafuta majibu ya liyo nje na hatima zetu.
9.Majibu yako yamefichwa kwenye hatima yako.
Amina
mjibu nimemuelewa vyema huyu mtaalam nataka mnielewe watftaji majibu nime pata jibu