🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @WillyJohny
    @WillyJohny 3 години тому

    Musiba hongera kwa kuwa muwazi, nadhani ni vizuri huo ushauri mzuri uonane ana kwa ana na eng, hersio

  • @maase2023
    @maase2023 3 години тому

    Sasa musiba siasa umeachana nazo na sasa ni mchambuzi wa mpira yesssss safi ssna

  • @barakabusee
    @barakabusee 3 години тому

    Kweli broo

  • @oteleswai192
    @oteleswai192 2 години тому

    Jana alikuwa anawponda wachambuzi ya kuwa wamesema Gamondi kafukuzwa leo ye anamkaribisha kocha mpya aisee huyu jamaa kiazi sana

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 3 години тому

    Muongo sana hajui hata maana ya Umitashmta😂😂😂😂

  • @asifznz
    @asifznz 2 години тому

    Mwamba mnyoshee huyo JEMEDARI anakula kupitia mgongo wa yanga mpige stooop

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 3 години тому

    Baada ya uchambuzi wa mpila

  • @freddylyimo764
    @freddylyimo764 41 хвилина тому

    Huyu jamaa ni kwamba anataka kutoka huku ili watu wasahau?

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 години тому

    kwani musiba katoka wapi tena katika mpira uyu sasa ana karibia kuaribikiwa sio bure mpira wa bongo una ingiliwa sasa FIFA tusaidie sheria za soka letu linakaribia kupotea

  • @Omar-g9q9b
    @Omar-g9q9b 2 години тому

    Anajaribu kuwaondoa watu kwenye siasa ili wasikosowe serekali

  • @ronaldgaudensi
    @ronaldgaudensi 3 години тому

    Wewe ushalipa pesa za membe alishinda kesi yake unaongea otoplo