Ni wakati Sasa Tanzania na east Africa kiujumla tukubali kwamba Pemba ndio namba Moja kwa usomaji nasheed ❤❤❤ mtu mzima umeupiga umetisha sana humu ww ni hodari
❤dah kwakweli kimya kirefu kinatowa matunda matamu..yan kaka umetulia snaa yan nimeipenda mpka nashindwa nitumie neno gani litalokuwa tamu kukupongeza ila allah akzidishie na akikuze zaid kipaji chako❤❤
Mashallah mashllah hasbiallah zidi kutupa ladha km hizi. Pmbaa yupo juu khamiaa K ap umetupa ladhaa ambayo imeeneea kwenye jamii ni fundishoo toshaa km mtazingatiaa hongera sna kakah
Ma sha allah❤❤❤ Allah atie barka na nuru kaz yko bro Yan maudhui ya hii nasheed yanagonga moyo...yanashtua maini na mafigo hongera zenu watunz na wasomi
Ni wakati Sasa Tanzania na east Africa kiujumla tukubali kwamba Pemba ndio namba Moja kwa usomaji nasheed ❤❤❤ mtu mzima umeupiga umetisha sana humu ww ni hodari
Haipingiki❤
Masha Allah ni Annasheed bulbul yenye ujumbe mzuri hongera sana❤
Hongera sana KHAMIS k umenikumbusha mbali
Hekima na busara ulizozitumia kuna hitaji watu wenye upeyo na vipawa vya hali ya juu.
Kazi imeenda shule.
Ohooo mwalim bn mm nanyanyua mikono Sina maneno juu ya hii Kazi ❤❤❤❤
Mashaallah Allah akufanyie wepes katika kazi yako ufike mbali ❤❤❤❤
Tulisubiri kwa hamu kipindi kirefu Mashallah
❤dah kwakweli kimya kirefu kinatowa matunda matamu..yan kaka umetulia snaa yan nimeipenda mpka nashindwa nitumie neno gani litalokuwa tamu kukupongeza ila allah akzidishie na akikuze zaid kipaji chako❤❤
Mashaallah mola amzidishie .
maa shaa Allah nasheed mzur sana na ujumbe wake 🎉🎉🎉 Allah akuzidishie kipaji kipenz uzid kutuburudisha na kutuelimisha❤❤ aamin
Mashallah kazi nzuri
Mashaallah ndugu yangu by bwanjuma kutoka wingwi liman umetisha baba
Mashaallah king of Nasheed from Zanzibar haunampiza umetisha ujumbe unawakisi na hali ya maisha tulionayo asa ivi. Big up bro
Mashallah kaka yetu nasheed bomba kabisa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉much love from kenya ❤❤❤💯💯💯💯👉🌹🌹🌹🌹🌹
Mashallah mashllah hasbiallah zidi kutupa ladha km hizi. Pmbaa yupo juu khamiaa K ap umetupa ladhaa ambayo imeeneea kwenye jamii ni fundishoo toshaa km mtazingatiaa hongera sna kakah
Ma sha allah❤❤❤
Allah atie barka na nuru kaz yko bro
Yan maudhui ya hii nasheed yanagonga moyo...yanashtua maini na mafigo hongera zenu watunz na wasomi
Ni zaidi ya ufundi kweny hii nasheed hongera khamis k
😭😭😭😭😭😭😭 Wala tusichukiane japo ninalazimika nizinge meengineee wewe Khamis k unatuumiza watu wazima mbonaaa
Hodari ❤❤❤ Mimi Sina neno niseme tu wewe ni mwamba 💯💯
Unajambo kaka mungu akufungulie
Mashaallah. Ahsante broo kusema kweli Ni bonge moja la nasheed
Tusichukiane Kabisaaa
Hiyo imeenda
Big up brother
Maasha Allah..mola akuhifadhi kaka ..hii ni zaidi ya halwa yani ipo vyema sana kile kimya kirefu kimeleta ladha mardhawa❤❤❤
Mashaallh ni brother hamid hapa kutoka kenya
Mashallah umeupiga mwingi ndugu yangu
Ujumbe umefika kwa wahusika wenye tabia hizo
ASANTE SANA NEW STAR RECODS
Mashaallah ❤
Safi sana wewe ni hodari shikamoooooo K
Very emotinal and heart touching nasheed😔😢
i love new star records very good work mashallah
Mashaallah Allah abariki kaz ya mikono yako
Kaz safi cn hongera yako upewe kwli wingwi vipaji vipo cn
Hongeree sanaa khamis k🎉🎉🎉🎉🎉
Hongra snaaa snaaa
Mashaawa mzuri sana hii❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ma sha allah❤❤❤
Allah atie barka na nuru kaz yko bro
Mashaall ukovizuri kaka
Mashaallah .nasheed ina mafunzo mengi sanna usichoke kaka kutuelimisha na kutuburidisha .❤
Mashaalah ❤❤❤❤❤ nakupenda sana Khamis K kwa kufkisha ujumbe mzuri umetusha ❤❤❤❤
Mashaallah khamis k Allah akubarik❤❤❤
Mashaalah kazi kubwaaaa sana duuuh umesomoneka sana yan mpaka bass wee noma
Kazi mzuri za mwanzo sana ila sasa mbona unaelekea kubaya na sio kutoa mafunzo jirekebishe kaka
Mashallah
mashaallah kaka
ما شاء الله تبارك الرحمان ❤❤❤
Mashaallah
Mashallah😊
Ameizing nasheed❤❤
Mashaallah mashaallah
Ma sha Allah ❤😊😊😊😊
Mashaallh ❤
Mashaa Allah
Masha allah 💖 💖
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameizing nasheed❤❤