Wasia nimeusikia lkn Madam Leila Kila kitu kinahitaji subra lkn wakati mwengine maumivu mengine yanatupa maradhi Kwa sababu Kila Mtu ana mapokeaji yake na uwelewa wake lkn Kwa kweli wengine tunapitia Mungu mwenyewe anajua kikubwa tumuombe Allah atufanyie wepesi Katika Kila hatua ya changamoto tunazozipitia Kwa kumtanguliza Mungu Kwanza sina budi kusema asante Kwa wasia wako Allah atujaalie na mwisho mzuri na mwema Amiin
Uwema tenda lakini uwe makini na Hawa watu! Wakati mwingne jipambanie uwe salama, binadam u Wa zama hizi siyo walee Wa zama zilee. But Much love madam Leyla ❤🙏
Kama hulipizi nawe ubaya hiyo inatosha kusema wewe ni mwema. Muhimu usibadilike tabia kwa sababu ya watu unaokutana nao, yupo anayejua thamani yako, subiri kidogo tu🤌🏼.
Maisha ya sasa huwezi kulazimisha watu wakujali wako wengi wanaohitaji misaada tusiache kutenda wema ila kwa kuwatendea wema kwa kuwatendea wema huo kuna vitu vingi vya kufanya wema.
Mie nimeshatumiliwa sana na ndugu zangu na mwisho wake naambulia matusi na dharau tu, na sasa nimeacha kuwasaidia na nimekaa kimya na nina amani ya moyo, ni bora niendelee hivi hadi heshima yao itakavyorudi tena kwangu.

Amiin 🤲🏽.
Pole kipenzi
@@MadamLeilaAbubakar❤❤❤
MaashaALLAH uko Vizuri Umeniliwaza Saaana ALLAH akubariki ALLAH akulipe Kheri
Naanza na Alhamdulillah. Nimeyapitia yooote hayo. Naumia lakin Allaah amenipa subra ya kutosha, naendelea kutumika, wananitumia roho yangu radhi kabisa.
Nipo nyuma yako dadaangu🤲
Alhamdulillah yaa Rabbih🤲🤲🫶
Upo kama mimi ndgu yangu
Wasia Mzuri dadangu Allah Akughofirie mapungufu yako...
Wengine tumechoooooooka tena kwa ndugu zetu hadi vifua vnakaribia kupasuka...
Alhamdulillah
Asalama Aleikum warramatu wabarakatu mpz leila maneno yako Mazur saana
Tunamuomba Mola atupe. Roho za subirq
Shukran saana saana Kwa kutupa Elimu nzuri saana
Nakupenda saana tena saana
Usichoke kutupa chakula cha Roho
Shukran Madam May Allah Guide you through this journey of knowledge and guidance you sharing with us . Much Love Madam ❤️
Uwema tenda lakini uwe makini na Hawa watu! Wakati mwingne jipambanie uwe salama, binadam u Wa zama hizi siyo walee Wa zama zilee. But Much love madam Leyla ❤🙏
Ma shaa Allah tabarraka Allah asante sana madam lela kwa nasaha zako nakupenda kwa ajli ya allah
Ahsante sana kwa maarifa madame Leila, nilikuwa sijui kwamba kwenye udogo kuna UPEPO
Mhhhh, tenda wema nenda zako etieee!!!!! Maumivu ,maumivu, maumivuuuuu. 😎😎😎
Alhamdulillah yaa Rabbi🤲🤲🤲🫶
Ahsante sana. Mafundisho mazuri sana kwa ajili ya maisha ya sasa na ya baadaye huko Mbinguni. Naomba namba ya simu ya Madam Leila
Mimi nimeona mwisho watanipa maradhi nimewapa block tu wapo watu wengi wanaohitaji msaada
Mashallah
Shukran sana madam Leila hakika ujumbe mzuri sana 🙏🙏👏👏
Unasaidia saana. Unalipwa matusi na kashfa na matusi. Nimekuwa mwema sana. Mbingu inajua. Watu ni wabaya sana. Nimekata tamaa. Nitaangalia wanangu tu
Kama hulipizi nawe ubaya hiyo inatosha kusema wewe ni mwema. Muhimu usibadilike tabia kwa sababu ya watu unaokutana nao, yupo anayejua thamani yako, subiri kidogo tu🤌🏼.
Maisha ya sasa huwezi kulazimisha watu wakujali wako wengi wanaohitaji misaada tusiache kutenda wema ila kwa kuwatendea wema kwa kuwatendea wema huo kuna vitu vingi vya kufanya wema.
Najiskia kulia tu , lakini wacha nikaze moyo na niendelee kuwa mwema zaidi na msaada wa binadam
Fanya tu hakuna ya watoto wako baadae hata kama hawatakushukulu siku Moja ukipita kwenye changamoto Mungu atakuinulia watu utashaangaa my dear
Mie nimeshatumiliwa sana na ndugu zangu na mwisho wake naambulia matusi na dharau tu, na sasa nimeacha kuwasaidia na nimekaa kimya na nina amani ya moyo, ni bora niendelee hivi hadi heshima yao itakavyorudi tena kwangu.
Jaman jaman hili somo nimelikuta wakat ambao,,,,,,,SITOSAHAU,,,,,,,jaman jaman acheni tu,,,,hata nikiomba huwa nalia
ni mawaidh tosha, Allah akulipe
Mashallah tabaraka Allah...
Jazaka Allah khayran
Somo zuri, thnx👍
Asantee sana madam Layla
Nakupenda sana ❤
Ahsante kwa neno Madam.
Nataman kulia
Maadam leila. Nimetenda wema saaana duniani. Lakini nalipwa maumivu tu.
Kwa kweli ni kujipalia magonjwa ya moyo,sababu inaumiza mno,mi sa hv naishi km wanavyotaka wao,maana nimeambulia maumivu tu
Pole kipenzi
Siki zote wasiotenda mema ndo wanathaminiwa ila sie watenda wema hua hatukumbukwi
Shukran sana kwa ushauri jazakallahu Kheir Madam Leila Allah akuzidishie ilmu yenye manufa Duniani na akhera
Mashallah
❤
Shukurani sana Madam ❤