Aliyeota yeye mrefu au amepaa au kuruka (2)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Wat huwa wanaona mambo mengi sana usingizini lakini leo tutamuangalia mtu ambae ameona yeye ni mrefu ni nini maana yake njozi hii pia inazo tafsiri nyingi sana na leo nitakujuza sehemu ya tafsiri hizi kwa sehemu kubwa kwa maneno yenye kukusanya maana zingatia sana tafsiri hii utakuta ni kweli tupu wa Allahu aalamu
shekhe mm nimeota nimemuona mtu mlefu sana alafu ulefuwake sio wakawaida nimlefu sana
Shekhe Mimi huwa naota Saana nyele ndefu na nimepata maana yake Allah ibarik fik
Pole sana inaonyesha huwa unapata huzuni mara kwa mara na nina shaka yaweza kuwa ni alama kubwa ya kusumbiliwa na shaitwani unaishi wapi wewe
Asalam alaykum shekh Mimi sijazaa mtoto wa kiume nimeota nimeokota mtoto wakiume mwenye alizaliwa kabla ya kufikiasha mienzi siku ya pili nikaota nimezaa lkni sikuonyeshwa mtoto gani siku ya tatu yake nikaota tena nimezaa lkni kwa taabu sana nikasaidiwa na mamake madam wangu nilipomaliza kwa maana tulikuwa ufukweni mwa bahari na bahari yenyewe ulikuwa na maji kidogo tulipotwaa mtoto kuvuka sehemu ya pili maji yakaanza kuongezeka mpaka kitovuni yule mama akaniambia nope mtoto nikusaidie tuvuke nikamwambia silazima tuvuke tusubiri hukuhuku na ule upande tunao tunaenda kulikuwa na mwanaume anatusubiri na anafuraha Sana Hadi anasema vukeni mrudi huku ,pia sisi tulitokea upande tukavuka kabla ya uchungu inamaana gani
Mi naota naona watu warefu nini maana yake
Pia naotaws sana nimevaa puipui leusi maana yake
Hiyo ni ndoa buibui ni stara
Je ukiota samaki wakubwa je
ukiota junia LA Michele Na ukiota unapanga folen arafu wenzio wapata mifuko minne arafu mm Na pata mifuko 2 nipo uliza walisema hiyo ya kutosha hiyo ndio ndoto yangu
Jamni mi nimeota Mr nying nikipaa au nakuwa nafkuzwa na kundi la watu kish napaa huku nikisoma ayatu liqurusiwi au aya nyingi amabazo huwa sizifahamu hiyo nayo ipoje?
Ishara ya kuwa unaulinzi madhubuti kuto kwa M/Mungu au muda wako sio mbali sana hivyo shikamana na ibada
Salaam salaam mbona kimya sana
Wa, salaam habari yako nilikuwa naumwa kiasi🙏🙏🙏🙏
Inamaana gani ukiota unapanda au kuvuna mahindi?
Poleni huo ni msiba ikiwa sio kipindi cha kupanda na sio mkulima aliyeota ila ikiwa ni mtu wa aina hiyo na mkulima basi fahamu ndio maana yake
Na ikiwa umeota shekhe umemuona mzee mwenye nyele nyeupe madevu meupe amekaa kwa kitanda cha mwakisu anakuombea mngu dua mama take nini?
Je umeolewa?
Ukiota wafanya mapenzi na sura za mumeo au MTU yoyote usingizini umjuwao au usomjuwa au mtalaka U pia nduguyo
Hayo ni matatizo