Maa Shaa Allah umenifanya niwe mjuzi wa mapishi watu wameenjoy leo vitumbua vya kuku Allah akujaalie umri mrefu na hikma zaidi uzidi kutuelewesha na sie .shukraan👏
HI!!! I tried making these vitumbua vya kuku leo.They look good so far.Am waiting to open the fast nijue zaidi In shaa Allah.I used to think ni long process kumbe si complicated kabisaa.Shukran
Inategemea uko wapi mie changu kimetoka Dubai nasikia vinapatikana Bongo pia mie nimeweka link ya amazon kwenye description box kama utapenda kununua hapo
Mapishi kem kem kutoka kwako Umejenga nyumba nyingi kwa kujenga mapenzi kwenye ndoa zao na familia.Mabinti wengi wa kisasa hawajui kupika Umewasaidia sana Allah Akubariki kwa ujuzi wako mwema unaousambaza kwa umma Jazakallah Kheir
asante fatma.... mungu akubarik.. mimi nilijaribu lakini hazikuwa mazuri ....nili kula ho na hasara ju....hahahaaaaa.... inshallah I'll try mara thania
MashaAllah sis Ashante kwa mapishi ya vitumbua nimejaribu Vimekuja vizuri . Mwenyezi Mungu akizidishie Imani na mapenzi Juu ya wenzako Shukran Sana. RAMADHAN MUBARAK
Good thinking wake up Africa time to start eating different kind of foods by experiment ing different kind of recipes.Now this is a complete meal just by itself or you can add Salad and rice as two sides.Thanks mama
wow. sijajua kuna vitumbua vya kuku. I can only imagine the taste. yummy. ukivichemsha zaidi vitavurugika kwaurahisi sio? kwa asiye na processor au blender. alafu chuma hicho sina. Naona nitafanya Kama pancake. kwa deep-fry vinanyonya sana mafuta? thanks so much mama. saum makhbul.
I know what you are talking about, these are what I call modern swahili recipes hata my daughter was confused , she said "mummy I thought vitumbua are made of rice flour, how can you mix it with chicken"??. I guess hilo jina limetokana na chuma cha kuchomea. Pan cake style will be a good idea halafu you shallow fry , I am thinking of trying it too , perfect for brunch . Let me know how it turns out. Thanks dear
MashaALLAH JizakaAllah! I watched this while I was still fasting which was a bad idea. How else can I make this if I don't have the gadget you used to cook with? Also could I substitute potatoes instead of eggs? JizakaAllah again!
fardowso sirat Indeed a bad idea to watch such food while fasting but we all do. Ok if you don't have the vitumbua pan and you want to substitute with patotoes you will be making Katlesi. I have a video of fish katlesi but you can use the same recipe with chicken as well and in this case you will have carrots and bell peppers as well. Here's the link of katlesi so you can have an idea x thanks ua-cam.com/video/jiu8Vvk0nHI/v-deo.html
Ramadan Mubarak......I must say you are an excellent cook after all from Zanzibar,I remember my mum she was from Zanzibar she has passed away and she was an excellent cook. Hooray zanzibarian keep it up.God bless you and your fmly Asante sana.
PLEASE WAIT FOR THE ENGLISH VERSION , I AM EXPERIENCING SOME TECHNICAL ISSUES. I WILL UPLOAD AS SOON AS IT IS READY X THANK YOU
Maa Sha Allah...Mungu akuzidishie maujuzi habibty👍
Aroma of Zanzibar mapishi nikipaji dada, nawe Allah amekujaalia mashAllah🙏 thanx kwa mafunzo🙏 greetings from sweden🙋
Aroma of Zanzibar gilugalani ni nini?
Ama Abdylah dania
Aroma of Zanzibar nahitaji kitabu cha mapishi yako tafadhali...kama umetoa
Maa Shaa Allah umenifanya niwe mjuzi wa mapishi watu wameenjoy leo vitumbua vya kuku Allah akujaalie umri mrefu na hikma zaidi uzidi kutuelewesha na sie .shukraan👏
Alhamdulilah, nashkuru
Ahsante sana kwa mapishi ya Vitumbua. Lovely.
Masha allah shukran mpenzi wangu ramadhan makboul wadhambi maghfur wapenzi nyote Wa kiislam
AMIN YA RABB
I learn lot of things through u sister be blessed inshallah
shukran dada Allah akizidishoe moyo huohuo mzur inshaallah Ramadhan kareem
RAMADHAN mubarak wa Saum Maqbul shukran jazzakallah khyr for the recipe Allah Barik
Shukran, AMIN
Yumm, my granny used to cook these. Never got a chance to get the recipe off her. Thank you so much for this x
You are welcome!
Asalaam Aleiku mashallah viko yum yum Allah Atakujazi kwa kutufundisha mapishi mazuri mazuri
I never seen this before, great, lazima ntafanya hii, asante sana😘😘
ahsante ukhuty nakuelewa vizuri hongera una kipaji
khaaaa!! wewe ni kiboko yao!!! asante sana dada, nimekuelewa!
mashaallah shukrani kwa mapishi ramadhani kareem na saum makbul
Amin kwetu sote
Shukran sana.. bibie Mungu akupe kila la kheri..
Ma shaa allah. shukran ukhty nilikuwa nakula tu sijui vinavyo pikwa
shukran kwa mapishi yako nafurahia allah akujazi kheri
Amin, thank you for your support dear
shukran habibty uhti fathiya Allah akubariki KW mapishi jazaka llah kheri
Shukran Amin kwetu sote ya Rabb
Asante sana dada kwa mapishi mazur, MUNGU akubariki sana.
Shukran, Amin kwetu sote
SHUKRAN kwa mapishi mazuri .
assallam alaikum Aroma of zanzibar shukran nakutakia Ramadan qarèm thanks for this navipenda sn sn mashallakh Allah atuwekee queen wetu
Asalam alaykum unt salma mashaallah mungu atakulipa inshaalla
shukran habibty Allah akujazie baraka wew na familia yk
Shukran, AMIN kwetu sote
wallah shukran habibty mana nilikua nasubir kwa hamu recipe hii..ramadhan kareem
Alhamdulilah
HI!!! I tried making these vitumbua vya kuku leo.They look good so far.Am waiting to open the fast nijue zaidi In shaa Allah.I used to think ni long process kumbe si complicated kabisaa.Shukran
Nice...waiting for further details
This sounds simple and clear...i had to find this ..it’s hard to understand others
Its ok, thanks
mashallaaaaah!shukran habbty
Allah akupe afya njema ya Ukhtiy
wallah mengi nimejifunza kwakoo
Shukran, amin kwetu sote
hongera mamy yani tokea ramadhan imeanza napika mapishi yako wallah unatusaidia sana mashallaah allah pekee ndio atakulipa
Amin , ahsante kwa kua nami x shukran
you rock...barakaAllah.nikirudi znz ntavipika inshaAllah.
Shukran, thank you for your love and support
Nimeipenda hiii ahsante Sana nimeelewa
Asalam alykum vepi izo kerot unaweza zipasha moto ee shukran kwa kutusaidia mapishi
Ndio unaweza kuzipasha moto
Asante kwa video nzuri sana ❤
Shukran
shukran sana habibty Allah barik
Amin
shukran kw mapishi aroma
Shukran Aroma of Z leo tume furahi sana love from Nairobi 🙏🙏
Alhamdulilah
Thanks for sharing your recipes!! Barikiwa sana
mashaallah aunty... vitumbua yummy... chuma chako umenunua wap
Inategemea uko wapi mie changu kimetoka Dubai nasikia vinapatikana Bongo pia mie nimeweka link ya amazon kwenye description box kama utapenda kununua hapo
Oohhh oky... Tnx..
wow mashallah nitajaribu inshallah nimevipenda hivyo vitumbi
MASHAALLAH shukran kwakunijuza 😙
asante my kwa mafundisho mazuli
Mapishi kem kem kutoka kwako Umejenga nyumba nyingi kwa kujenga mapenzi kwenye ndoa zao na familia.Mabinti wengi wa kisasa hawajui kupika Umewasaidia sana Allah Akubariki kwa ujuzi wako mwema unaousambaza kwa umma Jazakallah Kheir
Amin ya Rabb
asante kwa mafunzo yako.ila sku moja tutengeneze chachandu ya pilipili
Inshallah, nikipata nafasi nitaleta
You are the best❤️
Mashaallah Mungu akuzidishie
Shukran, Amin
asante fatma.... mungu akubarik.. mimi nilijaribu lakini hazikuwa mazuri ....nili kula ho na hasara ju....hahahaaaaa.... inshallah I'll try mara thania
Pole sister tatizo ilikua kitu gani
MashaAllah sis Ashante kwa mapishi ya vitumbua nimejaribu Vimekuja vizuri . Mwenyezi Mungu akizidishie Imani na mapenzi Juu ya wenzako
Shukran Sana.
RAMADHAN MUBARAK
Aslmwalkm warhmtulh wbrkt kwakweli mwalimu wangu mungu azidi kuku lipa kutufunza kwamapishi
Mashaa Allah ukhty, jazaki Allah. i will try the mix in shaa Allah no problem, but can i try cooking them in a mofa machine (geepers) model. Thanks
Darling I dont know mofa machine I have not worked with one before
oooh its Afwan ukhty il make an effort to buy the one u r using in shaa Allah. shukran once again
They look yummmyyyy thanks
Yummy yummy Ma Sha Allah
Am learning a lot out of your cooking. Kila la khery
Glad to hear that, thank you
As salam alaykum .asant kwa mapishi 💕
Thank soo much... bless you always
You are so welcome
Nice shukran habbty 😚😚😚
Hey, Thanks for the video .how can I make the rounds if I don't have the skillet you are using.
Yes you can try round may be like pan cakes should work well
Good thinking wake up Africa time to start eating different kind of foods by experiment ing different kind of recipes.Now this is a complete meal just by itself or you can add Salad and rice as two sides.Thanks mama
love dd shule mungu akubariki
shukran sana mamy swaum makbul
Amin kwetu sote
I AM VERY HAPPY TO HAVE THIS CHANNEL, KEEP ON DOING THE WORK
THANK YOU FOR YOUR LOVE AND SUPPORT!
Tuletee namna ya kupika mkate wa mofa
can't wait to try
Thanx my nzur sana nmependa sana tna zaidi ya sana
wow. sijajua kuna vitumbua vya kuku. I can only imagine the taste. yummy. ukivichemsha zaidi vitavurugika kwaurahisi sio? kwa asiye na processor au blender. alafu chuma hicho sina. Naona nitafanya Kama pancake. kwa deep-fry vinanyonya sana mafuta? thanks so much mama. saum makhbul.
I know what you are talking about, these are what I call modern swahili recipes hata my daughter was confused , she said "mummy I thought vitumbua are made of rice flour, how can you mix it with chicken"??. I guess hilo jina limetokana na chuma cha kuchomea. Pan cake style will be a good idea halafu you shallow fry , I am thinking of trying it too , perfect for brunch . Let me know how it turns out. Thanks dear
Thank you so much your video is wonderful
Thank you for your support !
Yes please english version...very yummy .
Here's the English version ua-cam.com/video/t7oYyfOywvk/v-deo.html
Maashaa'Allah Asante mwaya
maa shaa Allah
Mash Allah napenda sana ❤❤❤💕
Mashallah
uko vizuri sana good job
Ahsante
If I dnt have dat can I use frypan
Fatma Ali frying pan will not hold shape ,
Aroma of Zanzibar okay tnx dear
Bismillah ma shaa Allaah. barakah llaah fykum.habibty yaatikil Afya.swaum maqbul sote
mmmmh!maashallah...
MashaALLAH JizakaAllah! I watched this while I was still fasting which was a bad idea. How else can I make this if I don't have the gadget you used to cook with? Also could I substitute potatoes instead of eggs? JizakaAllah again!
fardowso sirat Indeed a bad idea to watch such food while fasting but we all do. Ok if you don't have the vitumbua pan and you want to substitute with patotoes you will be making Katlesi. I have a video of fish katlesi but you can use the same recipe with chicken as well and in this case you will have carrots and bell peppers as well. Here's the link of katlesi so you can have an idea x thanks ua-cam.com/video/jiu8Vvk0nHI/v-deo.html
Asante kunitoa ushamba
asalamu alkm warhamtullah wabarik atu shukran wajazakallahu Kheri asante je naweza kufanya Na kima ya nyama ya mbuzi au ngombe
Ndio unaweza kufanya na nyama ya keema ni kutia viungo tu x shukran
Ramadan Mubarak......I must say you are an excellent cook after all from Zanzibar,I remember my mum she was from Zanzibar she has passed away and she was an excellent cook. Hooray zanzibarian keep it up.God bless you and your fmly Asante sana.
Thank you for your kind words, sorry to hear about your mom. Take care
A.aleikum please assist kma sina chuma kama hivo naweza kuvitoa duara kukanga ama?
Kwa kutoa duara , itabidi mchanganyiko uwe mzito kidogo au havitoshika
shukran
ahsnte kwa kutuongezea ujuzi..dada naomba utufundshe na juice za aina mbali mbali please
Shukran jazaka llah kheira
yummy😋😋, they look perfect. but i would real like if u could cut it in half so that we could see how it looks like inside
Inshallah, will do that next time
Aroma of Zanzibar thank u darling... unatusaidia sana jikoni😚😚😚😚.. be blessed
Or can i use machine ya donasi
Fatma Ali machine ya donasi ndio gani
Mashallah....
km nikitumia nyama mahitaji yake
ni km hivi au kuna process nyengine? na vp idadi ya mayai.?.. nifahamishe please
Kwa nyama ya kusaga, process ndio hiyo hivyo lakini anza na mayai 2 au 3 kwanza utizame mchanginyo uko vipi inategemea na ukubwa wa mayai x shukran
Nimependa sana pishi hilo safi
Asc I really like the gadget you are using to cook the chicken kindly tell me the name pls
Kowsar ibrahim I have put the link for the pan at the end in the description box dear
Aroma of Zanzibar thanks
asante sana nimependa so vp vitumbua vya vyama unapika km hv pia?
Mie napika sawa kama hivi
asante sana nakupenda bure
Me too!
Jmn sijawahi sikia vya kuku vitumbua Walahi loh! I need to find a day nijaribu bit looks like a lot of work😊😊
Its not alot of work, skuhizi mapishi yamekua mengi sana
shukran Sister u are the best
You are welcome dear, thank you for your support
You are welcome my dear sister
where can i get the electric vitumbua maker
It depends where you are, I have link on my video to purchase it from amazon
@@aromaofzanzibar am in kenya
Can you bake in the oven with Muffins pan?
Yes you can do that
mashallah😇😇😇
Allah akupe heri in sha Allah
Amin kwetu sote, shukran
shukran daa
Leo nimejifunza mapishi mapya, ahsante sana!!
Haya is what I call modern swahili mapishi
Thanks for stopping by
Ukweli kabisa! Umenichanua nikafukuza ushamba, lol.
asante dada
Hello madam
kwenye hio process ya kuchanganya kila kitu baada ya kublend naweza ongeza cheese?
Aneth Aloys Yes dear you can kama unapena
Sorry aut fathiya unaweza kunfahamisha huo unga wa paprika?
Unga wa paprika ni pilipili ya unga tu haina ukali ina ladha ya moshi, sio lazima kama huna
ma shaa allah.
Tunasubiri mahanjumati MENGINE YA RAMADHAN INSHAALLAH MUNGU AKUPE NGUVU
ina maana huu mchanganyiko hutii hamira?
Kibibi Seif ni kuku tu huitaji hamira
ahsanteee aroma''' naomba tuletee meat cake please
Kibibi Seif Inshallah nikijaaliwa
Yeah please tunaomba tuletee video ya meat cake
Mashaallah nimependa sana
Assalamu alaikum, shikamoo mama. Ramadhan Mubarak
Aleikum Musalaam
that was pretty straight forward and pleasant. you have a natural Zanzibari voice.. Shahru Haram Mubarak..
chakubanga1 Ahsante sana , Karibu tena maana ulipotea kwa mda
thanks
yummy wallah