JINSI YA KUPIMA VOLTAGE ⚡ AC NA DC ,MATUMIZI ya MULTIMETER.EP 01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @JoviniFaida-uj5qb
    @JoviniFaida-uj5qb Рік тому +1

    Asante sana tunaomba mwendelezo wa somo la multimeter

  • @Husseintitu
    @Husseintitu Рік тому +1

    Mm n mgen naomb vifaa vya kua navyo nataka nijifunze ufund , shkuran fundi

  • @allyabdi5406
    @allyabdi5406 7 місяців тому +1

    Sio fundi ila napenda kujifunza nimepata mwanga kutoka n hii clip Asante

  • @OdrickNdeme-zr1tr
    @OdrickNdeme-zr1tr 11 місяців тому +1

    Mumo kwa mumo...inaonesha mhehe ww

  • @kijanamwepesi6997
    @kijanamwepesi6997 9 місяців тому +1

    Kaka kazi nzuri sana ni nmejifunza kitu ila ni bwagie namba ya whtapps kaka

  • @erickmpola-j2g
    @erickmpola-j2g Місяць тому

    Utajuaje kifaa chako ni AC au dc

    • @electronics416devices.
      @electronics416devices.  Місяць тому

      Waaoo! Ahsante kwa swali lako nicheki Whatsapp kwa ufafanuzi zaidi ila pia ntafanya video kupitia swali lako ili kuwafahamisha wegi yamkini hawajui hilo. Karibu.

  • @BryantChiluwa
    @BryantChiluwa 9 місяців тому +1

    Jinsi ya kupima aiemens

  • @WANANGU_films
    @WANANGU_films Рік тому

    Nice