Mi nakukubali sana mwamba ila kama unafosi bifu na rogeti acha tu na Linda heshima yako achana na ma bifu na kingine mpaka Sasa rogeti Yuko mbali sana Katka game la mziki wa asili, lakin pia wew unaheshimika sana Katka game hili kwahiyo jarib kulinda heshima yako usifate mkumbo wa wasanii wasiojitambua utajiangusha mwenyewe, ni mtazamo tu eti.
Dah tuwekepembeni ujuaji huyujamaaa anaujua Sana muziki pia misitali yakuweka kumushika mutu anaujua ❤❤❤❤
Hatali sana kaka❤❤❤ hii imeenda
mos malingita umeamua ngoma juu ya ngoma saf saana chukuaa Maua yako mapema saana mzigo umeshachotwaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nakubal Sana Kaka Amos
Kazi Nzur Sana Director Kangaroo
Ulichoongea amosi niukweli naulichomanisha nishakupata ❤❤❤
Daaaaa🎉 uko p
Amosii hii goma yamoto sana
Amos nakukubali sana kaka mm chif nyada mada kipaji kipo kwako
Naka suti kamekutoa vizuri sana
Nyimbo kubwa sana hiii kwasisi wasomi
Moc rogeti KAKUKOSEA Nini rafiki anguuuuuuu mbn umemchanaa punguza michanoo ndugu anguuuuuuu segese tunakupenda Sana krb sana
Good@
Bilashaka huyo nikisima😅😅 fumbo lako mpaka akilisana
Kumbe na ww una mafumbo SEMA ndo vir game ikuwe
Nakubali mwamba wangu
Good job
Musukuma mwenye mantulaibo yake
Imetisha mafumbo
Mi nakukubali sana mwamba ila kama unafosi bifu na rogeti acha tu na Linda heshima yako achana na ma bifu na kingine mpaka Sasa rogeti Yuko mbali sana Katka game la mziki wa asili, lakin pia wew unaheshimika sana Katka game hili kwahiyo jarib kulinda heshima yako usifate mkumbo wa wasanii wasiojitambua utajiangusha mwenyewe, ni mtazamo tu eti.
Nani kakuambia inamulenga roget anakaaa wap pia kisa nini useme roget kunajina lake humo
Sina Shaka Gonga Jobu Ngika
Tatzo wasanii wetu mnapigana mafumbo ya kimajungu sana sielewi shida ni nini ila nisiyajue sana
Huna baya amosi nice Songs
Usililaze Kichwa Wala Mwandiko Mzee
kaka mchane ache ujinga
Kazi ngoja iedeleee lakini mm sinaga kadogo nakutolewa mufano siwezi napendaga mutuaje muzima kalibu tena Kama kichwa kinavitu ili uone inafata ikoje
Kweli
Mungu kivuli chake Anakileta kwako Kaa mkao wa kura Amoss🙏🍹
Ni Msukuma Mwenye Nini???? 😂😂😂😂😂
Mwenye matulaibo yake
Uhakika musitari ya manasana
Sasa kazi zina anza fatilia sana usiwepitwe kitu
Good job