Mashaallah mzuri sana asante kwa kunipa somo kwakweli nimejifunza kitu hapa ambacho nakosea sana kila nikiandaa sama wakupaka shukran sina cha kukulipa ispokuwa kukuombea kher katika mambo yako yawe yakher mungu ndio anae weza kukupa ujira wako si binadam shukran sana
Just looking at you cooking,makes me salivate.Your passion is the secret recipe.Loving what I see.I can't wait to experiment in the kitchen now.How many onions, garlic,ginger,tamarind and chilli peppers did you use?
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 asalaam alaykum mamy nmependa sn mapish yako..najua unaweza kuoka kwa makaa je pia maji nayaweka kwa wapi? Maana hapo naona umeweka maji ili awe lain asikauke
Pole sana kwa hilo, but niliweka moto wa 350 Celsius for 20 minutes then baada ya hapo nikaweka moto wa juu kabisa kwadakika 4 500 Celsius. Na pia itategemea na oven yako moto wake.
mtamu sana, hio tray Yako mtu yueza inunua wapi
Asante sana. Maduka ta kuuza vyombo
Mashaallah mzuri sana asante kwa kunipa somo kwakweli nimejifunza kitu hapa ambacho nakosea sana kila nikiandaa sama wakupaka shukran sina cha kukulipa ispokuwa kukuombea kher katika mambo yako yawe yakher mungu ndio anae weza kukupa ujira wako si binadam shukran sana
Ameen rabin alamn kwa sote insha'Allah. Shukran pia kwa support ❤
MashaAllah i will try InshaAllah
Insha Allah...Thanks for watching
Mashallah kwa wali Ama ugali huyu aaajaaabzzz😋😋😋👌🏻
Da rux nimekuona apa bac nikajuwa ni wwe kitambo nickiye sauti ndio nikajuwa c channel yko umenironga kwa kazi yko zury Mashaallah da🥰🤝🏻
Vyote vya endana sister 😃😃😃
Allahuma Barik. Wallahy nimependa... Tuned from Nairobi. I love the fact that your recepies are simple and the spices are locally available. Mob Love💞
Thanks for your support 😘
Looking delicious MashaAllah... I will definitely try it In Shaa Allah ❤️
Shukran 😘
Mashallah your a great
Nimejaribu jana imekuwa super.nashkuru kwa mapishi
Karibu sana dear
Delicious!!! Anapendeza sana huyo samaki!
Asante sana dear😘
Mashaallah you are amazing 😻😍😻😍👌love it♥️
Thank you so much for your support 😘
Nimependa sana mafunzo mazuri sana
Yummy shukran mamy
Your welcome....Thank you for watching too
masha Allah
Waaleikum salam warahmatullahi wabarakatuh.......yummy yummy
Shukran dear
Just looking at you cooking,makes me salivate.Your passion is the secret recipe.Loving what I see.I can't wait to experiment in the kitchen now.How many onions, garlic,ginger,tamarind and chilli peppers did you use?
Recipe iko kwa description box hapo chini. Anyway thanx for watching 😘
I like your channel Tajiri's Kitchen
Thank you very much.
Mee too
@@joyan4236 Thank you so much
Woooow looks so yummy!
Thank you
Wow I just love it.... Nakwambia naskia mate yanindondoka, congrats my dear
Thank you....Na karibu sana.
Salam alekum mashallaah chakula kizuri napenda sàna samaki
Waaleikum musalam, shukran sana dear
Mashalha bado sima tu
Kabisa tena naka pilipili
Uko sawa sister mashaAllah
Shukran sana brother 😊
Nice one, shukran
Karibu sana
wow just superb
Thank you
karibu tuletee ya kupika spaghetti na meatballs
@@jmal7188 Niko nazo tayari nenda kwa videos zangu utaona.
okay thanks you the best
MashaAllah Yamy 😋😋😋😋
Mashaallah je kama huna oven
Utachoma kwa makaa sister
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 asante
I'm going to make this today🤞
Enjoy
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Managed. Very happy. The coconut flavour is a winner. One of my best so far!
@@A-saysitasitis I'm glad to hear from you 🖐
Can Nile perch work in this recipe?
Love it simple and yummy
Nimependa jiko lako dear..hongera sana
Shukran
Waleikum salaam,so delicious
Thank you
Wanitamanisha so nice
🤣🤣🤣pole sana
Wow Masha Allah 😋 nimependa
Shukran habibty 😘
Afwan galb😘
Naweza kunitumaniya
Thx😋😋
Ninzuri sana mashaallah
Shukran
eeh uko sawa
Shukran
Imekaa poa sana, naweza pataje jiko la umeme kama hill my dear
Yammi tajiri👍👍👍👍👌😘💡
Yesss 😋
Am definitely subscribing...nimependa
Shukran na karibu sana😘
Great cooking sista! 😋❤️❤️
Thanks very much sister ❤
Soleithemua ihjjxkkm. Klxxkkdkjjciffixjkdkdfkjfdjjxjxxjxkkxckjxmkjjudjdjdjudhzhzhshh hv hudux
Uh juu
yammy
mashaaah mwaah
Habari sester, nimefurahii sana hii upishi, ila nimekuwa na swali ‘ kama kakuna oven yani hakuna namna ingine yaku piga samaki huu?
Mzuri sana. Unaweza kuchoma na jiko la makaa tena utapata Ladha nzuri zaidi. Thanks for watching.
Tajiri's Kitchen axanti sana
@@cherubinmugishobazibuhe1566 Karibu sana.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 asalaam alaykum mamy nmependa sn mapish yako..najua unaweza kuoka kwa makaa je pia maji nayaweka kwa wapi? Maana hapo naona umeweka maji ili awe lain asikauke
Nimpate na sima tu
Mmmmh ama na rice
Yani.chumvi.unamwaga.kma.sukari
🤣🤣🤣
Na imagine walio kula waliongeza nyengine kwa juu 🤣🤣🤣 Sio chumvi ile yakushika hiyo.
MashaAllah yummy yummy
Shukran habibty
MashaAllah
Yummy yummy
Thanks for watching
All Hail whoever discovered spices.....
Thankyu
I make this Recipe
Proud of u girl friend keep it up
Thank you girl
Did you catch it? I want it.
You can get it 😄
So sweeeeeet
Thank you
Love this
Congrats my aunty l love it
Shukran sana my Niece...
Lovely!
Thank you
Napenda
Kama huna oven?.
Tumia mkaa
Mmh! 😋😋😋
Nice
Thank you
Hi can u dip fry the fish instead of baking???
Not for this recipe.
Na kama huna oven
Choma kwa mkaa
Yummy food lakini chumvi.......
Yahya Yusuf Sio nyingi hiyo niile chumvi nyepesi 🤣🤣🤣anyway shukran
hii sauce ni the answer to cheese inakaa?
Is better than cheese 😚
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 kabisa,will watch again n again hadi niijue vizuri.
Salam aleku
Yummy
Hujatuambia unaeka degrees ngapi umesema tu time na moto wa juu
Itategemea na nguvu ya oven yako, but mm nilieke 450
Nimetamani nyumbani jamani
Tamusana kionjo ,vp Abu asya
Nakusambazia 😀
What kind of fish is it?
My fish
kama huna oven na makaa ni gas tu ya burner mbili ntafanyaje
Utakaranga kwa mafuta kisha uweke nazi
Sasa mwanamke akinipikia hivi nguvu ya kukuwacha nitatoa wapi
🤣🤣🤣
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 masha Allah tabarak Allah
Is it only me and my eyes that sees amount of salt being poured in everything looking extremely a lot?🙈🙈
🤣🤣🤣 not extremely for real. That salt was damn not strong 🙈
I also feel the same
I hold my breath everytime too😂
I love
Thank you
Sima iwapy apo mambo poa
Na pilipili pembeni😋
Chavutia kweli.... lakini hukusema degrees za kugrill samaki😭😭
Jameni mama mtoto aataka samaki naye 😅
@@mashaido 🤣🤣🤣 Mpikie jamani, ungekua Indianapolis ningekafanyia delivery pap
My dear ukwaju naweza replace na nini
Limau dear
Kama huna oven utatumia nini
Mkaa
😋😋😋
Kama huna nazi unaweza tumia nini
Ni recipe ya nazi tu hi. But pia unaweza pika bila nazi ni maoni yako pia.
Dadangu hii chumvi ni chumvi gani maana unavyo imimina hivyo hiyo mboga italika kweli? au ni chumvi special hiyo?
🤣🤣🤣 ni chumvi nyeupe ya nnje hiyo haishiki
Sasa hujasema moto kwa oven degrees ngapi. Moto mwingi ndio ngapi. Na first time uliweka moto kiasi gani for 20 minutes. ?
Nimefanya kugesi tuu lakini imetoka murwa kabisa. Tafadhali update temperature kamili.
Pole sana kwa hilo, but niliweka moto wa 350 Celsius for 20 minutes then baada ya hapo nikaweka moto wa juu kabisa kwadakika 4 500 Celsius. Na pia itategemea na oven yako moto wake.
@@dontask489 Nimefurahi sana kuwa umejaribu na ukapenda. Karibu sana
Tamu lkn chumvi🤔🤔
Chumzi ina nini? Sio nyingi 🤣🤣🤣
Is it only me and my eyes that sees amount of salt being poured in everything looking extremely a lot?🙈🙈
🤣🤣🤣 Is not as salty as you think.
NICE FOOD BUT SAMAHANI YOUR NAILS ARE LONG DISCUSTING SAMAHANI AUNTY
@@mamitomamita6284 But the thing you ain't eat that food🤷♀️
Amina Bwanamsuo 😷shhhh
@@louisendunguru7106 haha chill..
Looks delicious
Yummy
Finally you find out sis 👍