Githeri /Jinsi ya kupika Githeri Tamu Ajabu / with English Subtitles/ Kenya Githeri Recipe
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2019
- MORE BEANS RECIPES
COCONUT RED KIDNEY BEANS /JINSI YA KUPIKA MAHARAGWE YA NAZI TAMU SANA. • Jinsi Ya kupika Mahara...
COCONUT PIGEON PEAS /JINSI YA KUPIKA MBAAZI ZA NAZI TAMU SANA. • MBAAZI ZA NAZI / JINSI...
GITHERI/ RED KIDNEY BEANS WITH CORN /JINSI YA KUPIKA GITHERI TAMU SANA. • Githeri /Jinsi ya kupi...
FACEBOOK : TAJIRI'S KITCHEN - / tajiris-kitchen-100334...
INSTAGRAM : TAJIRI'S KITCHEN - tajiris_kitchen...
#githeri #kenyarecipe #tajiriskitchen
Masha ALLAH
Mash'Allah
mashaalah mwaaah
Mashallah
Mashaallah yani vle na miss iyo food thanks so much dda god bless your work amen
Ameen🙏
Nice😋
Mashallah mashallah yummy hapa na mkate wa boflo 😋😋👌
Kabisa tena sista😋
I did it 😊
yummy😥😥😥
Yummmmmmmmyyyy
Tamu sana
Tena sana tu😋
Nice looking delicious 😋😘😘❤️❤️ ❤️❤️
Thank you
Maashallah bado mkate tu hapo
Kabisa tena😋
The exact way I cook my githeri 😋
😋😋😋
💕
ماشاءاللimasha'allalh chakula no tamu wlh ina onikana na omaba uendeleye kutu funza kubiga mungu akubariki
Ameen insha'Allah
Avocado kwa mbalii...I enjoyed watching this..Asante
Wajulia sana 🤣 karibu sana dear
Maa bxe nijibu
I like the way you cook and for using locally available products. Mimi ntahamia kwako cha lazima...Tihihi...
Asante sana na karibu sana dear 🥰
Umenikumbusha shule kabisaa, sema tu yao haikuwa inavutia kama yako. Well done👌
🤣🤣🤣shukran
Awesome...gud job
Am Ur new subscriber.
Thank you so very much 😘
😋😋😋😋
Waaaaw nimeyapenda sasa
Karibu sana😊
Ahsante dada
Oh hongera kwa ubunifu wa mapishi
Asante sana
Kulike
Uko wapi nikizawadi?..kazi nzuri sana😋
🤣🤣🤣 Shukran sana nipo Marekani
Why no cabbage ?
Mom where a u nije I like how you cook
I'm in State, for now, hun😘 thanks for your support.
asaalam aleykum hivi unaweza hata ukachanganya na nyama?
Waaleikum musalam...yes unaweza.
Dada pilipili manga tunaitaje kwa kungereza
Black pepper
Umenitamanisha!alafu niulize,maharagwe na mahindi huwa huyachemshi pamoja?ama vizuri ni vipi?
Vizuri uchemshe vyote kando kando.
Kama unatumia mahindi ya Kenya yani ile ya white unaweza changanya na maharagwe uchemshe pamoja. Wakenya wengi wanachemsha pamoja. Hapa ametumia corn and most likely hii corn ni ready to eat kwa hio maharagwe yako kando. Naishi Norway na pia mimi na pika na sweet corn kama alivyopika Tajiri lakini ukiwa na mahindi ya nyumbani Kenya daah Githeri ni tamu zaidi. Miss home.
Ukiwa unapika chakula uwe unaelezea na asili ya chakula hiko ni wapi ili tufahamu
Hebu soma hiyo heading juu inasemaje kwanza before comment.
Hayo maindi naweza kutumia sweet corn kama sinayale ya nyumbani
Yes hata mm nilitumia hayo. Pole sana nimeona hii comment yako leo
Tajiri's Kitchen asante sana cc♥️
Too much water
Wacha ukware,wewe punguza yako. Is the only water you see?