Mubarikiwe zaidi kabisa. Mungu azidi kuwabariki juu nyimbo hizi ni nyimbo za baraka sana. Yani tumezipenda kibao. Mungu azidi kuwapatia moyo huo huo. Asante sana kwa kuweka katika youtube. mubarikiwe sana....
dada uliyevaa white na uliyevaa yellow orange skirt ka ma pacha mnafanana....in all wimbo mzuri sana mbarikiwe I wish na Mimi mme wangu aokoke jamaniii kwa sababu Yesu hayupo mbali kurudi
dada uliyevaa white na uliyevaa yellow orange skirt ka ma pacha mnafanana....in all wimbo mzuri sana mbarikiwe I wish na Mimi mme wangu aokoke jamaniii
2024 Njoo tumtukuze Mungu kwa pamoja
Mara yangu ya kwanza kuskia huu wimbo ulikua mwaka wa 1999 na 2023 ni kama umeimbwa leo juu ya upako
This is the song which is supposed to be ranked the best in east Africa
True
This song came to my mind today so sweet
So blessing,huu wimbo unaponya roho inatuliza akili na mawazo inaisha I love the song be blessed guys
Good song,..niwewe... Messiah..... happy Sunday all,
One of my favorite worship song❤
April 2024 mupo sorry?
Bwana awabariki sana watumishi wa mungu na apanue mipaka yenu mzidi kumtumikia
Hata mimi ninakutukuza ni wewe messiah
Pia mimi namtukuza ni wewe messiah
Binafsi nafurahia sana wimbo huu Mungu awabariki sana waliojitoa kuimba huu wimbo
Let every creature praise the name of Jesus the Messiah. Beautiful song
I love you my God
Hallelluuuuuyah!!!!....👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Jamani huuu wimbo naweza sema ndo wimbo bora myaka nenda rudi kwangu ❤❤❤❤
kweli viumbe wote tunamtukuza, wanakututuza...
I like this song very much may God bless you abundanly
2023 still blessed with this song
The song is a blessing to me ,,,,I love it,,,may God bless you Mr good luck and your team
Mungu ni mwema baba yangu anaupenda huu wimbo
the joy of worshiping God those days..
am looking for that time Al worship in real spirit.
Na Mimi baba Nina kutukuzaa 2023
Mubarikiwe zaidi kabisa. Mungu azidi kuwabariki juu nyimbo hizi ni nyimbo za baraka sana. Yani tumezipenda kibao. Mungu azidi kuwapatia moyo huo huo. Asante sana kwa kuweka katika youtube. mubarikiwe sana....
I think this is my favorite song.. ! God Bless you! with lots of Love from Uganda
I agree with you my brother
I am a young person loving old time singing. I'm blessed with this singing
Mlio imba huh wimbi mbarikiwe kwa damu ya yesu
viumbe vyote vinakutukuza................ni wewe messiah......amen.
may the love of God be with you.
I feel my body so fresh & original
I love this song so much, I praise GOD using this song. Let GOD bless you Mr. Mrs Goodluck Sandy
This is really a golden song. Old but great and still making hits
The best version of this song so far❤❤❤❤
Hawa ndio watunzi original wa huu wimbo...umeimbwa na wasanii wengi hadi tumesahau wenye kuandika na kuuimba Mara ya kwanza
Ameni watumishi wa Mungu wakumtukuza nimungu pekee
Who is here 2024 tumtukuze mungu .👏👏👏👏👏👏👏
Oh thank you Lord your the only God to be worshiped,we gloryfy your name Lord
Wimbo huyo unainua moyo wangu
Sana
Mungu awabariki watumishi wa BWANA ❤🙌🙌
Amen sauti nzuri sana
Samaki baharini wanakutukuza,ndege angani wanakutukuza ,na mm ninakutukuza
I love this song with all my heart, tumtukuze messiah
Amen ktk jina la bwana
Nimeipenda sana na kuguswa ktk bwana
what a spiritual song!!
Good work Sandy!!!!
viumbe vyote vinakutukuza ni wewe mesia Amina ubalikiwe Mr and Mrs good luck
viumbe vyote vinakutukuza ni mesia Amina ubalikiwe Mr and Mrs doodluck
2023 And how I love this song! God bless you Goodluck and yours
Kweli kabisa,Mungu asifiwe siku zote.
Viumbe Vyote Vinakutukuza(All Creatures are Glorifying it is You Messiah)
My favourite song since 2013
This worship touches my heart and my feeling
So much love, to this song
Amen this are wonderful songs Glory and Honor to our God O' Hallelujah
Naungana na viumbe vyengine nikutukuze dadie
Amen Mimi nasikia aman
mubalikiwe sana mungu awatie nguvu muifanye kaziyake kwamoyo mmoja amen
ninakumbuka sunday school 1999. nyimbo nzuri sana
Unastahili heshima Baba... viumbe vyote vinakutukuza
Mungu na awe nanyi sasa na hata milele ameni!
MUNGU Aliye Hai akubariki sana Mtumishi wa MUNGU.. wimbo mzuri sana
Hii nyimbo naipenda sana
Good luck kwann ajatoa nyimbo nyingine ilikuaje au sashatoa
Nakutukuza Ni wewe Messie
True Worship.. I love, am blessed!
Ever green still a blessing
Oh God n ww tu wakutukuza 🙏🙏🙏
dada uliyevaa white na uliyevaa yellow orange skirt ka ma pacha mnafanana....in all wimbo mzuri sana mbarikiwe I wish na Mimi mme wangu aokoke jamaniii kwa sababu Yesu hayupo mbali kurudi
l loved this song with all my heart
Mungu ni mwema jamani
Glory be to Lord 🙏
Hallelujah anastahili sifa na UTUKUFU 😙😙😙😙
Viumbe vyote vinakutukuza ooh my Lord my God
Huu wimbo unanikumbusha nikiwa Sunday school ktambo xn napenda xn
Ni wewe Mesiah I love this song
Bwana asifiwe
You are blessed Mr n Mrs Goodluck
Hallelujah Glory to God forever... Ni kweli viumbe vyote vinamtukuza Yesu only and one..
so powerful n uplifting... God bless u as u spread the gospel using praise n worship.
mungu akupe maisha malefi yako familia yako yote ame ILove You
Viumbe vyote vinakutukuza. Holy Holy holy be your name.
Waaau ilinifanya nikalia
i love your worship songs God bless you Kenya
hta mimi nakutukuza ni wewe mesiah
Wenzangu endelea kumutukuza mungu! !!
All things worship you Lord
owesome song..raises my spirit of worship...God bless them...!
Hallelujah, Glory to God, Glory to God.
Wimbo umenibaki sana
waoh waoh, nice song
Wow Amen Amen 🙏
Just amazing 💃💃💃
God bless you people of God, nimebarikiwa SANA
I feel so blessed.....God bless your family
Evergreen 🙏
Devoted to the almighty God is always the best regards to man deut6:5
When gospel was gospel amen
Beautiful song 4my life
Adds confidence be blessed
My favourite song
We love this song with my heart amen
Nakutukuza Yehova,utukufu wako ni wa milele
Mungu awabariki sana nawapeda
God bless u i feel so blessing in jesus name
God is great
that is the heavenly worship that ought 2 b stipulated in the church today..great
Please sing more songs am blessed am crying am praying this is God power 🙏🙏🙏🙏😭
dada uliyevaa white na uliyevaa yellow orange skirt ka ma pacha mnafanana....in all wimbo mzuri sana mbarikiwe I wish na Mimi mme wangu aokoke jamaniii
bwana asifiwe kila wakati