News:Shajara ya Kibaki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2013
  • Kwa miaka miwili alikuwa akiandika katika mchanga, manaake alikuwa hana kitabu wala kalamu. Na wengi hawakubaini kwamba kijana huyo kutoka eneo la Gatuyaini, Othaya ambaye alifanikiwa kupelekwa shule kwa sababu alikuwa kitinda mimba katika familia yake- atatawala Kenya kwa miaka kumi. Shajara ya rais Kibaki ina mengi, lakini sio mengi katika ujana wake wanayafahamu wakenya. Na ili kufahamu mengi zaidi kuhusu huyu Emilio Mwai Kibaki, Carol Nderi alizuru eneo la Gatuyaini na kukutana na ndugu zake rais Mwai Kibaki,dadake Esther Waitherero na kakake Benard Ndiritu Kibaki
    Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv

КОМЕНТАРІ • 145

  • @amosoluoch9770
    @amosoluoch9770 3 роки тому +16

    Kibaki fulfilled the saying " mtegemea cha nduguye hufa maskini" watu wasiregerege watu wafanye kazi 🤣🤣 Hata hivyo, you are too mean prezzo. Even your own blood, a big shame.

  • @amosoluoch9770
    @amosoluoch9770 2 роки тому +19

    Haki this is shameful,after serving the government for around 50 years, your family, your own blood live in such a state.This is a real economist.

  • @petermalaki5498
    @petermalaki5498 2 роки тому +10

    What's the point of being a Minister, VP and finally President of Kenya, amass KSh 150 Billion wealth and die without putting a smile on his siblings faces. Look at the way they are living in abject poverty! Surely this is immoral.

    • @linpoetry8332
      @linpoetry8332 2 роки тому

      Every individual must fight their own fight

  • @esnathnyaboke3147
    @esnathnyaboke3147 2 роки тому +12

    This is so shameful to him,,,charity begins at home,,I can't blve his sister leaving in such house ,,,Aibu sana tena sana ,,,

  • @marymungai4429
    @marymungai4429 3 роки тому +9

    may God do a miracle and touch the hearts of well wishes do something good for this Cucu. its is good to lift members of the family

  • @rosegathonimwangi7121
    @rosegathonimwangi7121 2 роки тому +8

    The Bible says you should help your family. Hapo alianguka. But many people when blessed they forget the siblings. God forbid

  • @davidgithiomi4071
    @davidgithiomi4071 4 роки тому +9

    Very unique family. Humble humility and down to earth family. It's a one in a million family.

  • @Syuu_jr
    @Syuu_jr 4 роки тому +12

    People are different! Armed with my 70K payslip, atleast I'm building a house for my mom. A whole President! Sad!

  • @alexmwaniki5747
    @alexmwaniki5747 3 роки тому +6

    Wacha niwache comment hapa that will be read in future.
    He was a great president lakini angesaidia familia bana

  • @Malcolmkathurima
    @Malcolmkathurima 2 роки тому +11

    I can't believe kibakis elder sister lives in such a house 😭😭😭

    • @georgekibet01
      @georgekibet01 2 роки тому +1

      Sad

    • @halimawarfa435
      @halimawarfa435 2 роки тому +2

      SHAME so sad

    • @linpoetry8332
      @linpoetry8332 2 роки тому +3

      Don't judge Kibaki or his sister. Most of these elderly people are content with what they have.

    • @kensiele8447
      @kensiele8447 2 роки тому +1

      A big shame haki hii kenya yetu sijui

  • @kathambijanoh5247
    @kathambijanoh5247 11 років тому +7

    Mtegemea cha nduguye ufa masikini.pray 4 good health, n peace. Amelaniwa anaye mtazamia binadamu. Evn so they're not complng.

  • @kamnayemukabete.4983
    @kamnayemukabete.4983 2 роки тому +2

    Aaaiii siwezi Kaa hivo mtu wetu akiwa president...kukka ni Karen ama runda kikula ni intercon na kuoga ni sun n sand msa.
    Gari ni ikitoka nko nayo,watoto wasomee st.marys.

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 роки тому +5

    HII NI AIBU KUBWA.CHARITY START AT HOME.USIPOJALI NDUGUZO WA DAMU WAKATI MUNGU AMEKUPA NAFASI NI LAANA.SHAME ON HIM

  • @ahmedfarah3663
    @ahmedfarah3663 5 років тому +13

    So sad jamaa alisahau familia yake hakuweza hata kuwajengea nyumba ya maana bure kabisa

  • @patrickgacheru8789
    @patrickgacheru8789 2 роки тому +5

    We hve lost a great son of kenya and africa at large trully speaking he should be ragarded as hustler 001 alitoka mbali kuwa prezzzzo na sio prezo bt the best we hve ever had

  • @mufush
    @mufush 2 роки тому +1

    Watu wangu please please ukiomoka usisahau jamii yako

  • @velmaomuyoma1449
    @velmaomuyoma1449 2 роки тому +3

    That was Toooooooo bad of him just cried for the sister and his brother they look more poor Woi wish Jimmy and other kibaki's children could help their families.There will be no blessings when this people are sad.They paved away for their father to go to school so what did they gain?

    • @jackomondi848
      @jackomondi848 2 роки тому

      Jimmy do something, this bad ...shameful being in government.. half.century

  • @muziki79
    @muziki79 4 роки тому +5

    When I first watched this clip i judged Kibaki wrong i was pissed and thought he was a mean person but i was wrong....families are complicated people now i know...by the way where did this reporter go? She was gifted reporting in both Swahili and English

  • @alhandroraj8009
    @alhandroraj8009 4 роки тому +5

    Haki kibaki ulifanya vibaya sana. unge jengea watu wenu nyumba unge walinda wakae maisha ya kifahari. Ona hiyo aibu dunia mzima ina ona kwa dadako na nduguyo oh baba si unge guzwa tu utende mema vile dadako alikutendea?

  • @carolk5913
    @carolk5913 4 роки тому +5

    What can say , he knows the reason, anyway its better that life they're living if its peaceful than mansions of stress

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 2 роки тому +4

    Kibaki bb alimdanganya

    • @eliudoginia7720
      @eliudoginia7720 2 роки тому

      Hta kma mbona hakumdanga kwa ktofanya kaz Othaya

  • @eunicekanini9363
    @eunicekanini9363 2 роки тому +3

    Hakuna vle utasaidia mtu wa nje na jamaa zako wanateseka,,no blessing hapo ata useme nn

  • @naominyambura3665
    @naominyambura3665 4 роки тому +6

    Wenye tumetoka group Kenya pitieni hapa

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 2 роки тому

    Good, God's doing humble beginnings raise great leaders. Glory to God

  • @marykaranja1587
    @marykaranja1587 2 роки тому +1

    Oh is good help your family

  • @metalyardhardware133
    @metalyardhardware133 2 роки тому +1

    Uhuru ameinua watu wao

  • @marywangui2310
    @marywangui2310 7 років тому +1

    OH GOD IS ABLE

  • @melvinmugambi5701
    @melvinmugambi5701 2 роки тому

    It's a shame I love kibaki,he failed terribly. Family comes first

  • @StarBoy-zy2tl
    @StarBoy-zy2tl 2 роки тому +3

    Rst in pease and shem on yu kibake

  • @cristinanagelanagela9420
    @cristinanagelanagela9420 6 років тому +1

    Woooooooooh. WOOOI. !!!!!! KABA. HE. NGAI. WOY. KWELIII. !!!

  • @missnellytv2149
    @missnellytv2149 2 роки тому +3

    Kama walisomeshwa kibaki was expecting his family to upgrade themselves...apo anasema wanakula pole... Kuna key...
    I personally nimeenda urabuni Kwa miaka I tried my best to help my family lakini bure tu u give them money to upgrade themselves wanakula mpaka zangu.... Familia ni nzito Sana at tyms...
    Kila mtegemeae binadamu amelaaniwa Bt am sure Kuna wenye they made good use of kibaki na wako mbele

    • @eliudoginia7720
      @eliudoginia7720 2 роки тому +1

      Kama nan sasa kando na watoto wke?

    • @missnellytv2149
      @missnellytv2149 2 роки тому

      @@eliudoginia7720 watch that video vizuri...amesomesha huyo kijana wa sistake ameshasema...

    • @elishasturmisch2521
      @elishasturmisch2521 2 роки тому

      @@missnellytv2149 He was about to say though he didn't say he did.

    • @evalinewandera3625
      @evalinewandera3625 2 роки тому

      Usichoke kusaidia watu wenu..hutaishiwa

    • @beththetallest5729
      @beththetallest5729 2 роки тому

      Ata kama angewanjengea nyumba hawangembomoa mbali na kuwapea pesa

  • @xelatechinteriordecorandwa5411
    @xelatechinteriordecorandwa5411 2 роки тому

    😭😭Kweli

  • @joycenjoki3756
    @joycenjoki3756 2 роки тому

    😭😭😭😭

  • @henrykariuki461
    @henrykariuki461 11 років тому +7

    This is not African.The african philosophy of existence revolves around -I am because we are, therefore i'm. kibakis seems to be different.Its apparent his is 'I am because i am'.Honestly Mr kibaki should have made an attempt of breaking the apparent poverty circle within the family.This is a big shame.I should not have voted for this guy any given time.

  • @jimlewisnjeru1100
    @jimlewisnjeru1100 2 роки тому +2

    Mtegemea Cha nduguye hufa maskini🤪

  • @eliudoginia7720
    @eliudoginia7720 2 роки тому +2

    Lkn hakjukumika kbsa kwa familia ya kwke

  • @rosemaryoselu1230
    @rosemaryoselu1230 4 роки тому +3

    Unbelievable

  • @samuelnyaga3125
    @samuelnyaga3125 6 років тому +5

    only his salary for one month could make his family rich

  • @geraldmaingi509
    @geraldmaingi509 2 роки тому

    Kibaki's left family should do something to Kibaki's sisy Thier gland . It samefull even in the eyes of God.

  • @mauriceabiha674
    @mauriceabiha674 2 роки тому +1

    Kusema ukweli mbele ya mwenyezi mungu kibaki haku saidia watu wake bure kabisa

  • @jamesandare230
    @jamesandare230 5 років тому +4

    This is where Moi did better

  • @tonnie7079
    @tonnie7079 2 роки тому

    Fare thee well Mwarì wa Maitù

  • @alexmwaniki5747
    @alexmwaniki5747 3 роки тому +4

    Lemme leave a comment here that will be read in future.
    I know people will flood here when his time to rest with angles comes. Anyway LONG LIVE KIBAKI

  • @wanguibundi4017
    @wanguibundi4017 2 роки тому

    OMG this is unbelievable and only God knows why 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 let's mind our own business 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @christianwambuku9891
    @christianwambuku9891 11 років тому +4

    haibu kubwa sana,ndugu za tumbo moja?kuna haja gani kusaidia wengine na unatupa jamaa zako,,asante KTN na Carol nderi kwa kufichua hypocrasy ya ajabu

    • @rudibamps1226
      @rudibamps1226 7 років тому

      christian wambuku amen

    • @janenganga9642
      @janenganga9642 2 роки тому

      Nimestajabika sana, siamini aii ata kuwachagia Lifestyle tu kidogo, angalau wafulahie, jameni!

  • @beththetallest5729
    @beththetallest5729 2 роки тому +1

    So sad. .ndio maana ata kifo chake hakina huzuni sana kama ya wengine..aibu sana

    • @timtimc2012
      @timtimc2012 2 роки тому

      He lived his full life at 90

  • @estawanjero256
    @estawanjero256 2 роки тому +1

    At least angekumbuka they sacrifice d for him to go to school but world is hard let him rest where God sees ana fit

  • @naomirutto351
    @naomirutto351 6 років тому +3

    Wala msishangae life is like that. This prominent pple dont help their families. Hav really been touchd by the lite of retired prezo kibaki.

    • @rejinarejina7263
      @rejinarejina7263 2 роки тому

      Jehovah can't believe uwa own blood ,and Obama all the way frm kenya come to see his own distance relative its shameful, ni kama hata sabuni hawana, and that why I teach my kids to b brothers keep.jehovah hata hao watoto wa kibaki they can't stand with their uncles and aunties,sasa he will b buried with what great shame.

  • @meseltunes
    @meseltunes 2 роки тому

    Madness

  • @onlygodcansave7443
    @onlygodcansave7443 2 роки тому +3

    Very very humbled family, a good example to others.

  • @miltonm.muriungi203
    @miltonm.muriungi203 6 років тому +11

    This is where Kibaki failed!

    • @douglasoranga5572
      @douglasoranga5572 2 роки тому

      You are right bro. 30yrs in Government mp plus President of the republic you can't even build a house your sisters and brother

    • @phylliskamau2925
      @phylliskamau2925 2 роки тому +1

      Kabisa

  • @johnnjenga4169
    @johnnjenga4169 5 років тому +1

    Love Kibaki. Watu wafanye kazi sio kutegemea wengine.

  • @naomirutto351
    @naomirutto351 6 років тому +1

    Bad. Honestly bad.

  • @zuhrahalima5987
    @zuhrahalima5987 8 років тому +3

    kila kitu huanziya nyumbani na hakuna kuwasaidia watu wa nje kabla ya ndani no blessing laana tupu retired president kibaki.

    • @stacyiwe3606
      @stacyiwe3606 5 років тому

      Lakini jameni hiyo ni nyumba ya sister ya president ,wakikuyu tuko na shinda

  • @kensiele8447
    @kensiele8447 2 роки тому

    Very sad to see them like this yet someone from his family is rich n can help them lakini relatives au mandugu dont help each other ni jambo la kawaida kenya we r used to them only God can help us be someone

  • @isaacobwocha633
    @isaacobwocha633 4 роки тому +3

    Amekua kwa government over 35 years na hasaidii hadi watoto walizaliwa tumbo moja

  • @beatrice1093
    @beatrice1093 2 роки тому

    Guys r fighting coz of politicians , I f kibaki couldn't help his blood sisters !!!!!! Sasa mwenye hajui una exist?

  • @mugobeatrice5397
    @mugobeatrice5397 2 роки тому

    Yes kila mtu afanye kazi asitegemee mtu

  • @paulndiba8215
    @paulndiba8215 2 роки тому

    Surely hio ni nini.ni vibaya sana mtu akiwa president na sister yake anateseka huko ushago.

  • @hadassahessie6868
    @hadassahessie6868 2 роки тому +1

    Live kibaki to rest in peace guys....ukisaidia watu wenu ...umeiba...usipowasaidia ....you don't care......you can't satisfy
    peoples expections....he deserves sainthood...

  • @bonifacekorir4393
    @bonifacekorir4393 2 роки тому +1

    I don't know why iam surprised

    • @janenganga9642
      @janenganga9642 2 роки тому

      I will tell you hatuamini macho zetu haki, the Bible says, Tha niigatoria ciira wa Ngai uria utaiguanagira Tha, Onake ndakaiguirwo.

  • @aminakasim1198
    @aminakasim1198 2 роки тому +2

    Kweli undugu ni kufaana siyokufanana

  • @simtich2869
    @simtich2869 2 роки тому

    1st,.Mzee Kibaki believed in hardwork & self reliance,.no need for handouts..2nd, He wasn't greedy (Thief) to use public resources to benefits his immediate family like rest of politicians, 3rd We African we need to reset our beliefs & culture,... whatever you parents or siblings possess it's not your entitlement to inherit them or given .Work on own way up!!..

    • @timtimc2012
      @timtimc2012 2 роки тому

      Absolutely . i agree .Africans need to wake up and get away from some of the retrogressive beliefs ad culture .

  • @sofianelima8520
    @sofianelima8520 2 роки тому

    Ama kweli hakuna aliye zaliwa akijua ya kesho no mungu tu

  • @husseinabdullah6518
    @husseinabdullah6518 2 роки тому

    alafu mbna family ina ka maskini

  • @lawrencewachira4255
    @lawrencewachira4255 2 роки тому

    Kwa blood yke bure kbsa

  • @rosegathonimwangi7121
    @rosegathonimwangi7121 2 роки тому

    Ndanangenia mwena wa family

  • @janetkairu1950
    @janetkairu1950 11 років тому +1

    Aibu Aibu kubwa sana mr kibaki jengea hii familia yako nyumba

    • @stickhero23
      @stickhero23 4 роки тому

      You'll never know what they did to him. Maybe they left him with trauma, lifetime.

  • @timtimc2012
    @timtimc2012 2 роки тому

    People castigating Kibaki here ....Tenda wema nenda zako

  • @nancyochieng4067
    @nancyochieng4067 2 роки тому

    Don’t judge!

  • @janekibanya6058
    @janekibanya6058 2 роки тому

    I would buy the kiondo carol where can I get where she sells her Wear.

  • @peterkiruthu748
    @peterkiruthu748 2 роки тому

    Kibaki fulfield the prophecy of "mtegemea Cha nduguye hufa maskini"

  • @filoh5146
    @filoh5146 2 роки тому +4

    Kibaki may have left an unmatched legacy bt he did wrong in this part... anyways no one is perfect n that's the bottom line

    • @eliudoginia7720
      @eliudoginia7720 2 роки тому

      No just call a spade,a spade

    • @filoh5146
      @filoh5146 2 роки тому

      @@eliudoginia7720 what exactly are you Insinuating by that saying..I didn't refuse that he made a mistake over that matter

  • @abdul-majidndegwa6607
    @abdul-majidndegwa6607 2 роки тому

    Other Families are Country Looters... 21 days bado hazijafika

  • @lucynjoks7942
    @lucynjoks7942 2 роки тому +1

    Kibaki angenjengea watu wake tunýumba

  • @johnmbuvi5146
    @johnmbuvi5146 2 роки тому +4

    kibaki was serving othaya people and Kenyans people as whole.stop criticism.he was the best Head of state.an iconic leader.

  • @gaboonviper9705
    @gaboonviper9705 4 роки тому

    Bado anakula tobbaco

  • @xavierjerrynato2467
    @xavierjerrynato2467 11 років тому +2

    Ok walimkosea ama nini?

  • @fanueltarimo509
    @fanueltarimo509 2 роки тому +1

    Hakuna haha ee!

  • @gracechege514
    @gracechege514 2 роки тому

    Bure kabisa

  • @najmataaj5181
    @najmataaj5181 5 років тому +1

    U can't even build a hut for ua siblings we kibaki? Heh

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 6 років тому +1

    I miss my former president

  • @gracengari3547
    @gracengari3547 2 роки тому +1

    Huyu ni Lucy na wambui walifanya kibaki asahau Watoto wao

    • @benson6704
      @benson6704 2 роки тому

      Really,kissing,hugging,caressing can sometimes make a man to go crazy and think that he owns the whole world and end up forgetting everything

  • @winniengesa9421
    @winniengesa9421 5 років тому +1

    Waaahhh kikuyus roho ngumu kama mawe ...Soo sad, hii kibaki ni bure kabisa.