@@busatitv we uko Dunia gan, aliandika barua aliweka status, Kwa maelezo baada yakchezeana kimwil na kihisia baadae wakabwagana akamtumia McG hakupata jibu la uhakika akaweka status mambo ni wazi mambo ni mswano,😊😊
Sasa kuna tofauti Gani na hiyo? Alafu unazungumzia Mtu wa aina Gani sasa? mana huko Kijijini hiyo status anaitoa wapi? Chunguza asilimia 90 ya Watu wanaojiua Wanaandika barua
@@busatitv kumbe kiswahil kigumu eeee, nimezungumza status coz we umesema katib aliandika barua nikakurekebisha , nilichosema nikuandika barua alafu akapiga cm , Sasa aliandika barua ya Nini wakat kwenye cm Kuna uwanjanwa mcg.... na cm wanazo , wangeigiza kama zama za kizaman hakuna cm ilikuwa sawa wangetumia barua TU pekee ila kwa kuwa wabongo wabishi KAZI munayo😂😂Sasa kulikuwa na umuhim gan wakuandika barua na cm anayo na cm hiyo hiyo ikapigwa baada yakusoma barua Ili wakutane😂😂
Busati tv filamu nzuri sana binamu mambo ni moto moto
Asanteee @Juma
Move Tamu sana Aka kidunda congratulations 💪💪💪
🙏🙏🙏
Nimeipenda
Congratulations 🤝🤝🤝🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️
🔥🔥🔥🔥❣️❣️❣️💕💕
Mko vizuri napenda sana kuangalia movie zenu 💕💕
Asante sana
Asante sana
Jamani mie nimemuelewa huyo kaka aliyemuoa mke wa rafiki yake naomba ni zake tuwe hata marafiki🤣
😂😂😂😂
mashallah move nzuri allah wazidishie nyote
Inshallah
Mashaalah movie tamuu,congratulations!
🥰🥰🥰🥰
Asante sana
Hamna kazi mbovu jaman hongereni
Asante sana
Sisi tupo pamoja nanyi kwakweli
Busati hongereni Sana filamu nzuri 🥰
Asante sana
Ni kwel
@@busatitvbonge la movie
Wow Amazing😊😊😊
Thanks
Busati TV Ndio mpango mzima hampoi🔥 🔥 🔥 hongereni 😘
Kunywasa soda hapo kwa Mangi Mwambie Busati Tv Watalipa
@@busatitv Sawa asante
@@busatitv hahaha
Hatupoi na hatuboi 🥰🥰🥰
Waoow nzur sana
Asante sana
Binam unaweza kumuowa mtu kumbe ata hakupendi anamtaka binam yake movi safi kweri kweri hii
We safi
😂😂😂😂kwani ni kesho ,,kitu kitamu binamu nyama ya hamu ,,kijiji kimenawirii
Hahahaha
Asante sana
Wana busati TV hoyeeee hongeren sana kwa kutuburudsha n kutuelimisha shukrn sana kwa nyte mlioshiriki Allah awalinde daima
Inshallah
Amin
Tunakupenda sanaaa Fatuma
Mko vizuri sana aisee
Nawaaminia sana wana busati mnaweza zaidi ya sana na nawapenda kwa kutupa movie nzuri
Asante sana
Hatupoi hatuboi
Hongereni
Asante Sanaa 🙏
Baba angalia mwanao nae ...kamtongoza shem wake
😂😂😂
Pambe bandika banduwa hiyo ndoo raha⚘⚘
Hakuna kupoaaa
Raha sana 🔥🔥🔥🔥
Burudika tuu
Sana Sana
🙏🙏🙏
Nimeipenda ipo vizuri 💞💯
Asanteee sana
Mnajuaaa mnajuaa mnajuaaaa tenaa
Tujengewe sanamu
@@busatitv 🙄 kwann tena
Muendelezo jamani.. asanteni sana
Muendelezo unakujaaa
Nzuri sana
Sinaneno😘😘
Kwann sasa Jamani
Kotoka comedy mpk hpa MashaAllah
Asante sana, ila tunafanya Movie nyingi za Mafundisho mbona
Safi sana mzee
Asante sanaaa
WALLAHY NIMEIPENDA SANA BINAMU 🥰
Asante sana 🙏🙏 usiache kutazama na Simu ya Ndoa
Yaan cjui ata nicomment nn wallah 🤣🤣🤣lkn nimejifunza kitu hpa kisicho riziki akilini😟😟😟 ahsante sana
Asante sana kwa kujifunza .... Umepata cha ku comment 🤣🤣
Safii move
Safi sana
Congratulations on 🔥🔥🔥🔥❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Da movie Tamu Sana nilitamani isiishe🤣🤣🤣
Oooooh We safi
Safi sana👍👍
Asante sana
Nice work
Daaah!!
Vipi???
Naenjoy na move zenu tu
Asante sana @Hadija
Jmn🤩🤩😍😍😍😍😍
🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Wakwanza jmn mnipe like zangu
Mmmmmh ss mbna imeisha?? Jaman binamu tamu
Itaendelea sehemu ya pili
season mzuri ila Fupi ongezen vipande vifike hata 30 au arobain
Asanteee
Tutalifanyia kazi
Itaendelea party 2
Wazee kama awa ndo wanaharibu ndoa za watoto zao baada ya kusuruisha wanabomoa
Umeona eeeh
Nlijua tu
🤣🤣🤣
Zuli sana
Asanteee Sanaa
Hii filam mbona tamu sana
Asante sana
Good job
Dunia imevaa suruali dah
Kabisaaaa
good movie
🙏
Nice
Thanks
Weeee mzee unazengua mwanao ni milayas anatongoza wanaume ndio pia mm nasuppot apewe taraka maana tabiya yke mbovu nyoooo😂😂😂😂😂
Mumezingua mtu anatumaje barua na anayo simu siatume sms TU, yaan anasoma barua alafu anapigiwa cm😂😂
Huo ndio utaratibu wa kujiuwa bhana mbona Katibu wa Masanja alipojiuwa aliandika barua wakati namba yake alikuwa nayo hakutuma msg? 😂😂😂
@@busatitv we uko Dunia gan, aliandika barua aliweka status, Kwa maelezo baada yakchezeana kimwil na kihisia baadae wakabwagana akamtumia McG hakupata jibu la uhakika akaweka status mambo ni wazi mambo ni mswano,😊😊
Sasa kuna tofauti Gani na hiyo? Alafu unazungumzia Mtu wa aina Gani sasa? mana huko Kijijini hiyo status anaitoa wapi? Chunguza asilimia 90 ya Watu wanaojiua Wanaandika barua
@@busatitv kumbe kiswahil kigumu eeee, nimezungumza status coz we umesema katib aliandika barua nikakurekebisha , nilichosema nikuandika barua alafu akapiga cm , Sasa aliandika barua ya Nini wakat kwenye cm Kuna uwanjanwa mcg.... na cm wanazo , wangeigiza kama zama za kizaman hakuna cm ilikuwa sawa wangetumia barua TU pekee ila kwa kuwa wabongo wabishi KAZI munayo😂😂Sasa kulikuwa na umuhim gan wakuandika barua na cm anayo na cm hiyo hiyo ikapigwa baada yakusoma barua Ili wakutane😂😂
@@busatitv yaan unaonekana unachoandika hukielew cjui unajitekenya alafu unacheka😂😂
Nzuli matata
Asante sanaaa
Jr apa from mwale matomb
Karibu sana
Kwani iki Kijiji mumekikodi jamani hahahaha
Haukipendi kwani jamani
@@busatitv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tuanzie apo kwanza
Hapana nimeuliza tu movie mzuri Ila wezee wetu awajuwi kupoa wakisikia jambo
Asante sana, Vijiji vingi vya karibu na Dar es salaam vimekuwa miji hapa ni raha kwenda mbele
Kweli
Pamoja
Asante wapez ❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️
❤️❤️❤️
❤️❤️❤️
Pichapicha dalasa
Dalasa dawa
Sijakuelewa @Alphonce
sweet home 🏠
Hatari sana
Ndoiv
Yes
Sound track na content havirelate
Sawa
Kwa UA-cam kupata good sound ni Changamoto, chunguza Movie zote za UA-cam sound zake ... Copyright Changamoto Mzee
Bunju
Bunju