AINA 10 ZA MTAJI MUHIMU KATIKA KUANZA NA KUKUZA BIASHARA | Victor Mwambene.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @mwanaidialiame318
    @mwanaidialiame318 5 місяців тому +3

    Shukran sana victor ❤❤

  • @asedynywike8802
    @asedynywike8802 5 місяців тому +5

    Mkuu nahitaji hivi vitabu vitatu ili vinisaidi

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      @@asedynywike8802 Sawa Wasiliana Nami Kwa 0744126640.

  • @wesongaumar
    @wesongaumar 5 місяців тому

    Waaaah umenisaidia sikua najua hayo na yangu imeshai fail ju ya hayo

  • @elinihakemmanuel1623
    @elinihakemmanuel1623 5 місяців тому +1

    Phycholgy of selling by Brian Tracy,unacho hiki kitabu

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      Ndio Kipo ni Tsh 35,000. Wasiliana nasi kwa 0744126640.

  • @MusaMahanyu
    @MusaMahanyu 2 місяці тому

    Vitabu mikoani vina patikana

  • @WittoHamisi
    @WittoHamisi 3 місяці тому

    Vina patikanq wapiii vitabu nip mbeya

  • @JonasJames-h8i
    @JonasJames-h8i 5 місяців тому +2

    Nahitaji kitabu cha jinsi ya kuanzisha biashara

  • @aroniyusufu
    @aroniyusufu 5 місяців тому

    Mnapatikana wapi

  • @ngoshamedia1
    @ngoshamedia1 5 місяців тому +1

    Afya ungeiweka kuwa ya Kwanza kaka

    • @SwabriMelody
      @SwabriMelody 5 місяців тому

      Kwan hakuna mgonjwa mwenye biashara

  • @aroniyusufu
    @aroniyusufu 5 місяців тому

    Nitapataje kitabu

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      @@aroniyusufu Nitafute Kwa 0744126640.

  • @hafidhially5901
    @hafidhially5901 5 місяців тому

    100Million offer na 100Million leads by Alex hormoze vipo? na kiasi gani

    • @victormwambene
      @victormwambene  5 місяців тому

      @@hafidhially5901 Ndio Vipo ndugu, Naomba Namba yako Au Nitafute Kwa 0744126640.

    • @JuliussangaJoseph
      @JuliussangaJoseph 4 місяці тому

      Me nahitajiii kufanyaa biasharaaa ya nguo za mtumba za kiume na kike ila saiz nakusanya mtaji vitabu tunapatajee mkuu