Some Kenyans want other Kenyans deported from USA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @angeludeze2217
    @angeludeze2217 День тому +6

    May God continue to bless and strengthen those facing difficulty especially those being rejected by those they have supported back home 🤔. Sending love and hugs 🇺🇸🇰🇪❤️😘😘

  • @marieheiss6560
    @marieheiss6560 День тому +4

    Very true kuna watu utu hamna, watu tunafaa kubadili tabia to be nice , trustfull and love one another, chuki kwa mwenzako haina maana yeyote.

  • @dennisnyambane8530
    @dennisnyambane8530 День тому +1

    Pure wisdom! We must live like there are no guarantees! I love your Nuggets of wisdom! Keep it up, bro.

  • @1ramah
    @1ramah День тому +1

    I hear you Sam. Papers or not jipange mahali umetoka. If civil war breaks out in America first will make sure family imerudi home asap !

  • @ericmato9
    @ericmato9 День тому +1

    Big bro huwa nakuelewa sana with calm voice. Much love from OH.

  • @anitababy6750
    @anitababy6750 52 хвилини тому

    Very true don’t sell your property to come majuu you will never see that money or buy your own property.life ya majuu its hand to midomo.

  • @JosephMacharia-x3i
    @JosephMacharia-x3i 3 години тому

    You couldn't say it any better

  • @Phillpns413
    @Phillpns413 День тому

    You know Sam, it's very unfortunate the way Kenyans live abroad full of hate for each other . Full of competition, ata kazini unapata watu wakenya wakiseti wenzao ndio ukue kwa noma . Speaking from experience. Ata kuna wale watachunguza umekua ukifanya kazi how many hours ndio wa approximate pay check ya kwako eiiiii . Iii mta ni gheto walai .
    But si kila mtu kuna wale wetu wazuri .
    Thanks for speaking things raw as it is .

  • @Verrandservices
    @Verrandservices День тому +1

    Hmm aki hii story.. what's wrong with us Kenyans wivu huwa ya nini..nilikuwa napoz majuu but Europe..mazee msee hata hamjuani only common thing niati nyi ni wa Kenya na mmemeet workplace...hweeeh wivu kibao mkenya mwenzako anakuendea job ikatike.. and on the other side ma West Africans waaaah kupendana hao huwa kimoja... Sisi nini huwa mbaya ama ni genetical😂

  • @BeridahWanjiku
    @BeridahWanjiku День тому +1

    😅Msemo tuu, mkono mtupu aulambwi. 😊

  • @megkareithi
    @megkareithi День тому +2

    Ukweli kabsaa. Wisdom! Endelea ku show wasee ukweli.

  • @jahissa
    @jahissa День тому +1

    Big up Mtu wangu hapo umesema ukwela sana kumbuka kuna watu wako wako Minnesota, na pia tunaeza kuwa tumesota haha. Watu waache hizo tabia maze Fyah Burn Ras ashasema

    • @mm.4562
      @mm.4562 День тому

      Eeeh, tuko hapa kama kawaida👍🏾👍🏾

  • @sierrasmith2991
    @sierrasmith2991 День тому

    Good content Mr Sam, hakuna mtu anajua ya kesho, umesema ukweli kabisa, business ni muhimu saaana if we come together

  • @Jameskimanthi4799
    @Jameskimanthi4799 День тому +1

    Good job cousin

  • @wambuialice957
    @wambuialice957 День тому +1

    Aha, so no bigup kwa watu wa Norway? na vile snow imejaa na bado tunakuwatch? sawa tu

    • @SteveKerosi
      @SteveKerosi День тому

      Nimengoja pia Finland lakini wapi 😂😂

  • @petergichanga3380
    @petergichanga3380 День тому +1

    Kuku hula matumbo ya kuku mwezake lakini haijui kesho ndiyo itachinjwa.

  • @Kittygacha_playz
    @Kittygacha_playz День тому

    Wivu does not bother me. Wivu is something you cannot do anything about. So why waste time on it? Kila mtu concentrate on bettering their own lives.

  • @determiner1312
    @determiner1312 День тому

    When you go to Rome do as Romans do...don't sugarcoat lawlessness... follow law,reside lawfully

    • @rosalineruguru2816
      @rosalineruguru2816 День тому

      Sometimes scarcity mentality makes people to feel too proper and qualified than others.

  • @gothliburassa456
    @gothliburassa456 День тому

    Daah so sad

  • @Antony-j3n
    @Antony-j3n День тому

    TX loading kama kawaida