Ni kweli Simba tuna timu nzuri lakini tunaudhaifu mkubwa kwenye nafasi ya beki wa kulia. Kapombe na Kijiri hawatoshi kabisa. Tukifungwa basi uchochoro ni kwenye nafasi hiyo ya beki wa kulia. Kwingine kote tumejiimarisha kwa asilimia 80. Tuliupigia kelele uongozi wakati wa usajiri lakini hawakutusikiliza. Badala yake kwenye nafasi hiyohiyo wamemwondoa mchezaji mzuri Israel mwenye uzoefu kidogo kuliko Kijiri wamemleta Kijiri ambaye hana uzoefu kabisa. Si mliona Serge Pokuu alivyomgeuzageuza kama chapati. Mwenda asingekubali angemweka chini mapema. Kapombe hawezi kukaba anajua kutoa cross tu na huwa harudi upesi. Kijiri hajui kutoa kross na kukaba nako ni shida. Hapo Viongozi mliyakanyaga. Tuombe Mungu dirisha dogo kama tutakuwa bado kwenye Reli basi tupate mchezaji imara kwenye namba hiyo. Duchu yeye bado kabisa anatakiwa atolewe kwa mkopo. Omari Omari naye pia ni wa kutolewa kwa mkopo.
Yan huyu mo dewji yan siku nikimpa K yangu mwenyewe ataacha kuidhamini Simba atan sikiliza me si chama alikuwa Simba nilipo mpa K yangu tu mwenyewe akahamia yanga 😂😂😂😂 sisi ndiyo yanga tukiamua jambo letu hakuna wa kutupinga kenge nyie Simba
God bless our team, all simba's like here
Changu doa tu huyo
Wewe dada watu hata hawakuoni

Sasa kinachokuumiza akili na sumbua mdomo wako kushauri timu siyo yako ni kukosa akili
Sawa kabisa lakini mbona kama unalaumu ndugu Israel aliomba kuondoka uliyaka wafanyeje? Tungemngangania angegeuka duka kakangu
Acha ujinga ww wameruhusu goli ngap?
tambua hakuan tim ilio kamilika cha msingi matokeo
We utajua we ndiye unatimu mtasemayote mwaka huu
Yan huyu mo dewji yan siku nikimpa K yangu mwenyewe ataacha kuidhamini Simba atan sikiliza me si chama alikuwa Simba nilipo mpa K yangu tu mwenyewe akahamia yanga 😂😂😂😂 sisi ndiyo yanga tukiamua jambo letu hakuna wa kutupinga kenge nyie Simba
Weeeeeeee ngogwe kenge mkubwa kafiembele huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc hauna
Utasibiri sana utopolo wewe.Huna lolote la maana
Y@@Gisakijamaduda
Shetani.Utakufa kwa Dhambi...okoka
Hata matako hauna una kijambio tu Nani ashuhulike na wewe