Hatari bro,,uko poa sn me nimekuelewa vibaya mnooo. Ukweli 24hrs unawezakuishi na unawezakufa pia vilevile ndani ya wakati huo. Mungu turehemu sn sisi waja wako.
@@eastafrica6858 Mungu hana dini Waafrica walikatazwa mabaya na Mungu Bila dini. Kabla ya dini kuletwa Waafrica waliishi kwa mfumo wenye sheria zilizokua na nguvu na kuheshimika bila vitisho vya kutupwa motoni kuliko hizi dini za Kuletwa zenye kuuzwa utumwani na kuogopeshwa kutupwa motoni ukipigania haki yako
Sikia nikuambie Mafido Yesu anakupenda sana hebu mpe MOYO wako aingie akuokoe uwe kiumbe kipya acha kujilisha mara quloani mara Bible mara madudu gani na manini na manini sijui hebu Soma Biblia Takatifu uielewe kikina zaidi na tafta wacha Mungu wakuombee Rehema na Sara ya Toba kwa Muumba wako akusamehe kwa Jina la Yesu Kisha ingi kwa huduma yakumuimbia Mungu Gospal Utaiona Mbingu nakuiingia
😂😂😂😂uyu jamaa akili zake nizahatari saana isia zake zinampeleka mbali saana hapendi tv kwakuwa kaona vitu vimerekodia 😂🤣🤣🤣uyu jamaa nibalaa papa mafindo saluti mkubwa nimekukubali
Huyu jamaa anaakili sana , bangi na stress za maisha zinamchanganya ,Anahitaji counseling nzuri sana na company ya maana....angalieni asije akajiuwa ...dalili zake sio nzuri
ALLAH akbar...wewe PAPA; ACHA UPUMBAVU mm ni chukue nafasi hii kukumbusha Qruani haikamatwi na mtu asie na udhu kwaiyo tunakuomba sisi waislam;; usikamate hicho kitabu bila UDHU.
Uyu kaka nimemuelewa sana yaani imefikia wakati Akaona hakuna mtu wa kumkimbilia zaidi ya Mwenyezi co hajinengenezea njia Ata Akija kufa leo roho yake iwe sehemu salama🙏Mungu Ambariki sana
Wee mafido mwenyezi mungu akuongoze na akuponye tafadhali ondoa quran hapo tafadhal quran wapi na wapi na uchafu huwezi shika ukiwa huko tohara mwilini ebu acha mara moja
Fathy.. Sorry naomba nkwambie kitu dadaangu isifike wakat utukane kwaajil ya kitabu ambacho mmpka mtu kanunua nikwasabb anakithamin na anania ya kukijuaa hio niiman yake yakipekee ss ww unapotukana unaonekana kidog unashindwa kujitambuaa mwombe mungu wako pekeako na kwa siri so kilamtu ajuee sasa umetukana maanayake unachakulipa huko uendako jitaidi kuepuka adha za kidunia umezingua sana apo papa mafido saf sana kwa iQ yake kua kubwa na kukariri yotr hayo inawezekana umewashinda ata hao ambaoo wanaifanya din kua kivuli cha maov yao .... Naomba ubadilike fathy hakunamkamilif dunian .......
Anaekubaliana na mm km papa mafido ni MTANASHAT WA CHUMBAN qonqa like..
Papa mafido kasema wanao Angalia tv wana record Sasa tuta msapoti vipi bira kumuona kwa tv ?
twendeni sawa naUyu jamaa papa mafido Akili nyingii sana uyu jamaa kama unamkubali gonga like yako Apa
Mjahid Farouq wat are u gonna buy with likes?
Napenda alivyo jmn....apewe sapot jmn
Hatari bro,,uko poa sn me nimekuelewa vibaya mnooo. Ukweli 24hrs unawezakuishi na unawezakufa pia vilevile ndani ya wakati huo. Mungu turehemu sn sisi waja wako.
Daah Macharie Ya Arusha bhanaaa
Good baba nimekuelewa
😁😁🙏nimekuelewa papaa mafido sana tu na hizo Aya za Amma unavozipiga kama una chana 😁🙏Mungu akubariki sana boi
Umetisha
Hii noma sana
#daaaaaaah Huyo jamaaaaaaaaaa 🙌🙌🙌noma sna. Eti yy hana dini
Mashaallah hongera kwa kuelewa
Kama unaweza kuishi masaa 24 ujue unaweza kufariki ndani ya masaa24 PAPA BWANA
dah salut sana broo mm siamini kama unasoma quran dah mpeni like papa mafido hapa
huyo anaye muhoji ndio hajitambui kabisa kabisa rudi kwanza shule kidogo
Safi kaka du upo vizuri
Big up papaa mafidoo one love mjomba nakukubali sana mzazi
Mafido amesnichiwa......tv inanikoraptisha...high tronics
Imani iko juu,,, saf sana
Poa kaka 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
This guy ako na point Sana👌
Huyu jamaa anasoma biblia kama novel Yani anaisoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho dah 😂😂😂
Nenda uko kaongea neno gani la biblia apo kunya zako
Huyu Mafido ni great soul bora usome kila dini koz Mungu hana Dini
Ww huna dini ila mmungu anayo dini asinge amuru watu wasifanye masi na kuwakataza mabaya
@@eastafrica6858 Mungu hana dini Waafrica walikatazwa mabaya na Mungu Bila dini. Kabla ya dini kuletwa Waafrica waliishi kwa mfumo wenye sheria zilizokua na nguvu na kuheshimika bila vitisho vya kutupwa motoni kuliko hizi dini za Kuletwa zenye kuuzwa utumwani na kuogopeshwa kutupwa motoni ukipigania haki yako
Worrrrraaa papaaa mangwakwaxxx wanji wanji nitede nifede niwede mweke mweke seke seke,,,nyombuloko mugicheafede aisee arachuga mamong’oo ma almandadecho
Papaa mafido uko good sana brother
Kama uko sahihi na mie gonga like hapo chin au comment
Hiyo nimeipenda sana
Uko vzr san
Kama umemsikia mafido asema kazi ya baba n mama nikukuleta duniani gonga hapo.
Yupo sawa kabisaa
Dar nomaaa
Jamaa katisha mbayaaaaa
Kazi ya baba na mama nikunileta Duniani nimeipenda sanaaaah hahahahah.
Hahaha
Mwenye hii chanel na alieandika hii title ni pumbu tu
Mjomba noma salute
Gather your likes for #Papamafido . rassemblez vos j’aimes pour #Papamafido .
👇🏼Here. Içi.
MAA shaa Allah mungu akubarik papa mafido
Afuu nyie wenye channel acheni upimbiiii.. Mnaandikaje RIP kama amekufa kwel alafu mnaandika vilio vyatawala acheni ujinga mapimb nyny
yani
Mi nilijua alifarik wakat nimeona iyo S.I.P
Inauma sana daaaah........
huyu jamaaa ana upeo mwingi sana sema tu ndo hivo
Hata mm nimeshtuka
Mungu akupe kaul sabity
Yupo vizu mashaallah
Duuuhhh pole Sana , wengne wanajua siku yao ya kufa duuhh Kama ni bangi acha kabsa haikufai
Noma sana
Mwana anakwambia anakula hightronics😂😂😂😂
Dah good boy
Papa kama papa
Mtangazi bado hajui key za interview... Bro kajipange kwanza bana
Sikia nikuambie Mafido Yesu anakupenda sana hebu mpe MOYO wako aingie akuokoe uwe kiumbe kipya acha kujilisha mara quloani mara Bible mara madudu gani na manini na manini sijui hebu Soma Biblia Takatifu uielewe kikina zaidi na tafta wacha Mungu wakuombee Rehema na Sara ya Toba kwa Muumba wako akusamehe kwa Jina la Yesu Kisha ingi kwa huduma yakumuimbia Mungu Gospal Utaiona Mbingu nakuiingia
Huo ndo ukweli uwezao kukuokoa na sivi hinevyo Mungu skisaifie Amina.
Na Mungu akusaidie
Nakukubali Papa mafidooooooo. Safiiii sanaaa
😂😂😂😂uyu jamaa akili zake nizahatari saana isia zake zinampeleka mbali saana hapendi tv kwakuwa kaona vitu vimerekodia 😂🤣🤣🤣uyu jamaa nibalaa papa mafindo saluti mkubwa nimekukubali
Nimejifunza chanel yenu nyie mnatafuta kiki
Anakura vitu reality😂
Nani kaona mtangazaji anafanana Na belly 9 twende Sawa like apa
Belle 9 au goolluck gozbet
hili chiz mzee
Nyie waandishi wasenge! Hicho kichwa cha habari kinamaanisha nini sasa mnatisha?
Mtu anaengalia tv anakula recoding , , Aise mafido nomaa🤣🤣
Papaa mafido kutoka United Stars of Arusha.
🤣🤣🤣 Kaz ya mama na baba nikukuleta duniani
🤣🤣🤣🤣🤣
Big up sela wewe ni wapepo
Nakubali baba ulichokiongea
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anajielewa sana
Huyu jamaa si kasema apewe pesa zake za rambi rambi kabla hajafa😆? Toweni hela kabla sijafa toeni hela😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
High tronics una maana gani?
Kweli wewe ni papa mafido
Nakukubali mika 10000000000000
Bwana Papa unasoma neno la mungu kama unavyo soma gazeti
"Anaka na mavitu ake" ani kma umeskia iyo gonga like apa👇👇
Namkubali saana papa mafidoo bas tu wenye nafas zao hawampi nafasi
Huyu jamaa anaakili sana , bangi na stress za maisha zinamchanganya ,Anahitaji counseling nzuri sana na company ya maana....angalieni asije akajiuwa ...dalili zake sio nzuri
Ndio anatumia bangi
Mnakera sa mbona mnaandika vilio vya tawala unaaribu chanel kwa janjajanja
Achimbe na kaburi anunue na jeneza kabisa
Umeua
uyu jamaa nampendaga kinyama ety CEO wa BSS papa mafido kumbe umesoma na quroan kaka hongera sana
Mafido ww ni profesa
HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAH 😂😂😂😂😂😂😂
Aya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mtangazaj pole san huyu jmaa kumuelewa n ngum
Hizo bange
Kwahiyo mina kula record ya kumsikiliza
uyu jamaa bang zake bhana 😂😂😂😂😂😂😂 anaishi na msalaba ndan ety mungu ni msela wangu
Msenge ww
Sgala kubwa niatali sana
Dah u HV gah some concepts papa mafekeche
Vipi kuhusu jeneza ushachonga??
😂😂😂 tutaona mengi kwakweli
ALLAH akbar...wewe PAPA; ACHA UPUMBAVU mm ni chukue nafasi hii kukumbusha Qruani haikamatwi na mtu asie na udhu kwaiyo tunakuomba sisi waislam;; usikamate hicho kitabu bila UDHU.
Papa mafiwiseeee dah dis guy ana misemo mizito sana.
Huyu kaka Anaimani kubwa saan allah akupe mwisho mwema akufanyie wepesi kakaangu maisha ni safali ndefu ila usikate tamaa kaka
Namichora aliyokua nayo
Hilo background beat!!
Uyu kaka nimemuelewa sana yaani imefikia wakati Akaona hakuna mtu wa kumkimbilia zaidi ya Mwenyezi co hajinengenezea njia Ata Akija kufa leo roho yake iwe sehemu salama🙏Mungu Ambariki sana
Rip
Bangi
kula high tronix au cyo
Mafido unajua unalaana ya kpaji dingii
😂😂😂😂Kanishinda tabia
Nikaamua kujitengenezea KOMBE langu 😂😂😂
Jamaa anangima nyingi sanaaa
Ngoma nyingiiiii
Mm nashkur kujua thaman ya kuran
PAPA MAFIDO the wise man
Ukovizur sana uko mbali
Wee mafido mwenyezi mungu akuongoze na akuponye tafadhali ondoa quran hapo tafadhal quran wapi na wapi na uchafu huwezi shika ukiwa huko tohara mwilini ebu acha mara moja
Rausa Bani dah inasikitishaa sana
Wanafikiria kuwa kitabu cha mchezo
Jabali lingepasuka kwa utukufu wa quran
Swadakta qur,an kitab takatifu
Rausa Bani ww mwenyewe unazambi nyingi tu hunaakili
Ila umenikela
Duh
Classmate nakubali mkali ngoma yako ya salua itupie kwenye mtandao mkuundembe
Iyo sauti 🥰
Roho yamauti ipo ndani yake.anamuhitaji YESU.
Kabixaaa papa Hamso huyo Anaitaj Yesu mnooooo
When you're full ov faith, you gon' be hated by too many human beings but keep it up bruh tho you livin as if you dead already😭😭😭😭😭
Safi lakini Anahofu ya Mungu, "Abarikiwe". #wami sababisho fb.
KWELI
Huyu chizi anachezea Quran ole wako unachokitafuta utakipata
kumamanina zenu mnashika ms haf mjaijua iyo mnakamata kamatu pumbavu nyie wasaf😡😡😡😡
yani nyie mukome kuishika Qur.an mnaifanya kama iyo bibilia yenu wajinga wakibwa nyie sheenziii
Fathy.. Sorry naomba nkwambie kitu dadaangu isifike wakat utukane kwaajil ya kitabu ambacho mmpka mtu kanunua nikwasabb anakithamin na anania ya kukijuaa hio niiman yake yakipekee ss ww unapotukana unaonekana kidog unashindwa kujitambuaa mwombe mungu wako pekeako na kwa siri so kilamtu ajuee sasa umetukana maanayake unachakulipa huko uendako jitaidi kuepuka adha za kidunia umezingua sana apo papa mafido saf sana kwa iQ yake kua kubwa na kukariri yotr hayo inawezekana umewashinda ata hao ambaoo wanaifanya din kua kivuli cha maov yao .... Naomba ubadilike fathy hakunamkamilif dunian .......
Yupo sahihi me mwenyewe nimesoma sana bible amna jambo
Papa mafido ni mjanja si Fala kama vile wengine wanathania
Kaaa
Hytronicx🙃