Watu 17 kufikia sasa wameuawa kwenye mapigano ya nchi ya DRC
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Ubalozi wa Kenya mjini Kinshasa katika jamuhuri ya kidemoresi ya Congo umevamiwa kwenye mapigano yanayoendelea kusambaa kwa kasi nchini humo. Hali imeendelea kuwa tete katika taifa hilo la Jamuhuri ya Congo ambako mapigano haya yamesababisha vifo vya watu 17. Waziri wa mashauri ya kigeni Musalia Mudavadi akilaani shambulizi hili la punde huku akisema Kenya inajizatiti kusaidia kurejesha amani nchini humo DRC
Ruto must go
✌️🇰🇪
😂😂😂
Wavamiyetu, kamawakohuko na hawasaidii wakongo wanakufatubire
Hi genz hii kitu lini kenya
Namiss maandamano sana
Ipeleke kwenyu
Kubafu wewe.
Kenya pia hakuna Amani,, ruto anatupiga cold war
Nyamanzeni nyinyi nyote munaunga wazungu na Rwanda kuangamiza Congo na sote ni wa africa lakini kuna ichi zinaumiza congo natunazijuwa africa
Kwani wa Tutsi wa Goma sio wa Congo? Fatshi anashinda kutaka warudi Rwanda yet ni raiya wa Congo. Kati ya Kagame na Fatshi who promoting genocide?
Hio madini niyetu sisi sote wa Africa Steven Leto bt wakubwa wetu tunao wachagua ndo wanadanganywa na wazungu tuuwane wenyewe kwa wenyewe nahakuna faida, tuichie Mungu mwenyewe😂😂😂😂
Sasa Kenya wanaingilia wapi kwa vita ya Hawa watu? Watu wa Congo wako rigid kushinda jiwe Hawa kuwasaidia ni ngumu. Wapigane Hadi wachoke wakitaka msaada ndio wapewe 🤦
Kenya pia wanachangia kwenye hili tatizo la congo na uchomaji wa ubalozi wa kenya unamaanisha pakubwa sana
Uzuri ya sai human rights have no power even international
Kenya is a funny Country.
Majority are youths. Africa must rise to levels of offering its youths justice, fairness and space for self-development. Just that, we don't ask much.
Kenya itasaidia kuleta amani DRC😂😂😂😂na kenye moto inawaka na abduction
We are happy not saddened all Kenyan embassies are dormant they don't help
But in congo, wajirahumu wenyewe sababu walikataa kusaini mkataba 😳 na east Afrika
@@erickmironga8374Wali sign .uko Dunia Gani wewe
RUTO MUST GO
✌️🇰🇪
Kwan Congo police hawana marisasi ama😊
Congo sio kama kenya jeshi la cngo pia linaona yawa matatizo ndo maana hawataki kudhuru raia
Kenya imeshidwa n kwao n uko watasaidia
Kenya walienda ku Saidia then Waka ingia pande ya rebels.ruto is a traitor, betraying someone who called you for help isn't good
Hapo wananchi wa kongo hawamtaki shisekedi huo ndio ukweli
Ruto leave office
✌️🇰🇪
👀😷🚗
😮😮😮
where is AU? what is their role? why did we go to haiti yet our neighbors need us? Africa wake up and do so me housekeeping
Mambo ni kizungu mkuti
HAWA SIO GEN Z HAWA NI VICHWA VIBOVU
Everything ruto touches disasters
Who attacked Kenyan embassy in Kinshasa? It cannot be M23 be factual
𝐃𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐚𝐦𝐚 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐦𝐰𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐦𝐰𝐞𝐦𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐭 𝐰𝐨𝐰𝐨𝐭𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐬𝐨 𝐀𝐋𝐋𝐀𝐇 𝐅𝐎𝐑 𝐆𝐈𝐕𝐄 𝐔𝐒 🙏😭😭 𝐭𝐮𝐣𝐢𝐭𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝 𝐤𝐰 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐦𝐬𝐚𝐦𝐚𝐡𝐚 𝐚𝐭𝐮𝐩𝐨𝐤𝐞𝐞 𝐯𝐲𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐣𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐞 🤲😭😭😭