JINSI YA KUPIKA KASHATA ZENYE LAYER YA CHOCOLATE / PEANUT LAYERED CHOCOLATE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @shamzone388
    @shamzone388 21 день тому +1

    Mash allah nakupenda sana na kama ulijua kama leo natak kupika kashata
    Nitajaribu kutia chocolate in sha Allah tupo pamoja❤❤❤

    • @Aishasfood
      @Aishasfood  21 день тому

      @@shamzone388 Tabaraka’Allah, nakupenda pia 🥰🥰 Inshaa’Allah natarajia utapata matokeo mazuri sana

  • @farhatmakame4125
    @farhatmakame4125 18 днів тому

    nimejaribu lkn ssa unga umekuja km donge shida nn na je nikitka peanut nusu maji yanakuaje

    • @Aishasfood
      @Aishasfood  18 днів тому +1

      usiukaushe sana shira hiyo kisha wakati unapika punguza moto ili isipelekee kuwa donge, peanut nusu maji weka kikombe 1 na robo

    • @farhatmakame4125
      @farhatmakame4125 17 днів тому

      @@Aishasfood ahsate

    • @Aishasfood
      @Aishasfood  16 днів тому

      @@farhatmakame4125 karibu sana