BUNGE LILIVYOMSHAMBULIA MWIGULU, MBALAWA NA BASHUNGWA/WASHAMBULIWA VIFUNGU VILIVYOKOSEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • BUNGE LILIVYOMSHAMBULIA MWIGULU, MBALAWA NA BASHUNGWA/WASHAMBULIWA VIFUNGU VILIVYOKOSEWA
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 7

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 3 місяці тому +1

    Sasa kama nyie Bunge mnaona serikali ni kigeugeu na ina dalili kuwa mradi huu wa EPC+F umegubikwa na rushwa, si mchukue hatua maana Bunge lina uwezo wa kuiwajibisha serikali?

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 3 місяці тому

    Kwanini tutengemea kukopa tu,
    Wakati tuna maliasili nyingi za kupata hela zetu wenyewe.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому +1

    Mwigulu anatufanya sisi wanainchi wapumbavu kabisa. Na anaona anaweza kutufanya kweli wapumbavu kabisa. Mpaka anaona yeye peke yake anajua Kiingereza. Kwani yeye bungeni anaongea Kiingereza? Huyo ni mwizi tu mkubwa. Mwigulu anawaona hata humo bungeni pia anawaona wapumbavu kama anavyotuona sisi wanainchi.

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 3 місяці тому

    Watanzania tunapigwa na Hawa mawaziri.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому

    Ukisaini mkataba mpaka alafu unakaa na hiyo mikataba alafu mnakaa na hiyo mikataba mnakaa nayo miaka 2. Mbarawa yuko kutupiga tu na amaisha tuona mahali pa kuiba ni Tanganyika. Mbarawa huyo huyo ameshiriki kuuza Bandari na sasa anayoyaleta tunaibiwa kwa sababu Mbarawa.

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 місяці тому +2

    Shida kweli kweli

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 місяці тому +2

    Mwigulu kwa nini anaamini kile anachoelewa yeye wengine wooooote hawaelewi, wakati vitu hivi yeye siyo mgunduzi, na yeye kabisa kwenye vutabu