MWANAUME AMENIFANYA NIWE NA MAISHA HAYA |ANAPENDA KULELEWA|KATOA LAKI MOJA ANATAKA NYUMBA|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 роки тому +6

    Mama hongera sana kwakweli, umenichekesha , hapo uliposema angekuwa na maisha yake ningejua , lakin analelewa huwezi jua , wewe ni mpambanaji na hongera tena

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +2

    Wanaume nidili nao tu usiku Wa manane sio kuchangia kujenga nyumba na vitu vingine. Mmmh Dada pole Sana. Tujifunze jmn wanawake

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому +3

    Hongera sn Dada yangu kwa kupambana,ila Ulikosea sn kumwamini Mwanaume kwa kumwamini hadi kumwandika jina Wakati pesa yk

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 роки тому +1

    dah mwanamke mpambanaji jaman, ana maakili, unajua saa nyingine ni mtu ulie chagua kuishi nae ndie anakutia umasikin au uan kukwamisha kufika malengo yako, chagueni kwa makini na muombe allah akuezeshe.

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 2 роки тому

    Pole sana mimwezio niliishia kufyatua tofar tu nikachinji nilibomuona ananiletea za mkwaju toka 2006 kudadeki mpk leo hata chumba kimoja hana tofar kauza kimebaki kiwanja tu nishamjengea mamaangu naninamjengo wangu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому +2

    Pole sana dada Mungu ashindwi na jambo kama umeandiwa kuwa na nyumba dar utaipata tuu ipo siku

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 роки тому +2

    Yapo mapenzi upofu wa Akili sio macho! Wanawake tupende kwa kiasi tu! Hawa upande wa pili sio kabisaa baadhi yao.

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 роки тому

    Pole sana dadake mungu atakulipia inshallah kweli kbs baadhi ya wanaume sio waaminifu mradi una viungo vyako na bado uko hai rizki yako bado ipo

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 роки тому +2

    Pole Sana ujenzi mgumu alafu mtu anakurudisha nyuma inauma.

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 2 роки тому

    Polee Sana dadaa,na hongera kwa matatizo

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +2

    Hongera sana mama unaudongo mzur sana unaonekana bado mbiichiiii

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Рік тому

    Hao mashemeji na madada wavunjaji nyumba zawatu wajue kesho ya mbele za Allah watajutaa

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +3

    Tumejifunza wanawake.

  • @fatumanditi512
    @fatumanditi512 2 роки тому

    Wanaume hawa mungu anawaona ila jamii haijifunzi kabisa watu weng Bado huwaamin waume zao lakn mm Sina roho ya kumuamini Mt anaeitwa mwanaume mm nimenunua kiwanja na nimeandika jina langu

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 роки тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻maximum najifunza👌

  • @maryamedi9141
    @maryamedi9141 2 роки тому +2

    Yaan wanaume Mung anawaona daah

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 роки тому +1

    Mwisho wa dhulma ni huo sasa huyo kaka atalelewa mwishoni atakosa hata pakukaa

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому

    Daah maisha haya kweli wanawake tujifunze jmn mtu ana watoto lakin akusamin duuh

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +1

    Alipata mwanamke mzuri lakini mshakaji ndimu

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому +1

    Mpangaji bora,

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 роки тому

    mama hongera sana jamani Mimi hampana

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 роки тому +1

    Mie mwanaume simuulizi kilasiku eti ulikuwa wapi.ushaona ndo tabiayake sasa unamuulizanakujibu nini

  • @marthaelipoti1195
    @marthaelipoti1195 Рік тому

    Nimejifunza kitu

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 2 роки тому +2

    Ukinunua uwanja bora uandike majina ya watoto

    • @basilsawewe1712
      @basilsawewe1712 2 роки тому +1

      Ukiandika jina lako halisi kuna ubaya gani?
      Kuandika jina la mtoto ni kumrithisha mali zako ungali hai, nalo hilo ni kosa la kiufundi.
      Andika jina lako halisi hata ukifa warithi wanafahamika.

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Рік тому

    Usijalimpendwa iposiku itarudi ombamugu yalinipatahayo nasasa imerudi nipo mbande usijali

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 роки тому

    dada pole sana jamani

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому +1

    Simbachawene upooooooooo

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 2 роки тому

    Anataka msaada au

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому +1

    Japo una humri wa mamaangu lakini nakutukana . Wewe mama mpumbavu tena mjinga kabisa.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому +1

      Mpumbavu

    • @lesusi7872
      @lesusi7872 2 роки тому

      Pia na mamako atatukanwa hta usijali

    • @moanamohammed1406
      @moanamohammed1406 2 роки тому

      Makabila ya singida weng wao akili hamna kbc cjui kwa nn

  • @babymalisa3259
    @babymalisa3259 2 роки тому

    Duh

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 2 роки тому +1

    Dah nimejifunza

  • @SalsabeelLtd
    @SalsabeelLtd 2 роки тому

    Anasema analelewa lakn ndan yake anamaumivu

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 роки тому

    Yaani hela umekopa wewe mama umenunua kiwanja unaandika jina la mume hivi una akili au matope kichwani akisema chake akutoe inakuwaje hapo uhangaike serikali ya mtaani mahakama

    • @tatuaamuuinyi9633
      @tatuaamuuinyi9633 2 роки тому +1

      Si ndo alikuwa anajipendekeza rabda mume atatulia?

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 2 роки тому

      Wanawake wa zamani hao wa sasaiv subutuuu yani mama umekosea sana mungu akupe zaidi ya izo

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Haya mambo mazito sn mm wala sisemi😪ila Allah atanifanyia wepesi kwa yalionitokea mpk sasa kama jasho nitalipata na kama si langu basi Allah aniepushie nalo😭😭

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому

      @@kiehbhzh7044 km ni jasho lako la halali usipo lipata hp duniani akhera inakusubiri dear 💖😢😢

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      @@ruqaiamohammed345 Amin

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 роки тому

    Macrimu yamekutaa achakukiji koboa

  • @yuriaudi9746
    @yuriaudi9746 2 роки тому

    Ach kilimu dad

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 роки тому

    Mpangaji bora,