КОМЕНТАРІ •

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 місяці тому +14

    Tatizo kanisa linamega sana hizo hela !!

  • @manasehi
    @manasehi 3 місяці тому +3

    Private hospital nyingi zina matatizo yanafanana, uongozi usio na ubunifu, na kutojali ndio mnafikia hapo.

  • @jeffmap4038
    @jeffmap4038 3 місяці тому +6

    ELCT nini tena na ufadhili mlionao. Tanzania hii tuna shida kubwa. utadhani tumelogwa.

  • @rahmamukhtar521
    @rahmamukhtar521 3 місяці тому +3

    Duhhh
    Miezi 6 watu wanaishije na familia zao
    Sasa hapo likitokea ujue issues wao kwa wao
    Aibu aibu Aibu Aibu
    Aisee Hospital nzima ilibakia na walinzi 5
    Hapo wakipata lawyer mkali Aiseee pesa mdefuuu mnooooo

  • @VictorKivuyo
    @VictorKivuyo 3 місяці тому

    KWELI HALI NI MBAYA, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 3 місяці тому +3

    Alaf wanatutoza pesa mingi duh kumbe hospital ya matapeli😢😢😢

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 3 місяці тому

      Mh usiwaite hivyo ndugu hiyo nayo ni biashara ukiweka dau la juu lazima ukose wateja issue ni hospital haina wateja 😢😢 watu wanaenda mahali wanapata huduma nafuu

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 3 місяці тому +3

    Kamanda DEOGRATUS SHABANI nakupatabvyema kama mwenyenzi mungu awalinde na ninawaombea kwa mungu mlipwe fedha zenu amina

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 3 місяці тому +6

    Pamoja na kuwaumiza wananchi kwenye bili za matibabu Bado wanawarusha walinzi

  • @GosheSecurity
    @GosheSecurity 3 місяці тому +3

    Asante ifikie hatua walinzi wathaminiwe maana KAZI wanayoifanya ni ngumu sanaaa

  • @beatrcidavid3318
    @beatrcidavid3318 3 місяці тому +1

    Bado wafnyakz wengne Sasa 😂😂😂😂😂 hongeren sana

  • @marcoakyoo760
    @marcoakyoo760 3 місяці тому +1

    Mbona wanatuchaji gharama kubwa hivyo wanashindwa kulipa walinzi?
    Sitasahau walivyotuambia tundoke na mwili wa mama yetu😢😢 la sivyo tulipe laki kila siku na kafia hospitalini kwao😢😢😢

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 3 місяці тому +1

    Seliani mnakwama wapi?..........

  • @JOELMUNUO-oz3eq
    @JOELMUNUO-oz3eq 3 місяці тому +1

    Wanakera sana hiyo DAYOSISI,

  • @marymgonja7388
    @marymgonja7388 3 місяці тому

    Kumbe ndo maana Jana nimeenda hospital nashangaa hakuna wagonjwa wengi Kama nilivyozoea na doctor alikuwa mmoja tu😭😭

  • @Techsociety255
    @Techsociety255 3 місяці тому +3

    Nani amempa mlinzi presha hivyo 😂😂

  • @givennoel4671
    @givennoel4671 3 місяці тому +4

    Pesa wanapeleka wap matibabu ghali kama nini ole wenu mtuchangishe kanisan uongoz mbovu

    • @aluneanthony3468
      @aluneanthony3468 3 місяці тому +1

      🤣🤣🤣🤣kuna wenzio watachanga😂ila jaman hela wanakula wengine afu waumini ndo wachange dah washawaona watu vitega uchumi

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 3 місяці тому

    Serikali Wachukue hiyo Hospitali, Makanisa Mengi kuendesha Miradi ni Changamoto kwa sababu kila mtu amekodolea macho hela zinazoingia.

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 3 місяці тому

    Mm mwezi tu naenda kulima

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 місяці тому +1

    Ndo tatizo ra mabosi wengi ni mataperi na kuzurumu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 місяці тому +2

    Shehani la mgomo linachungulia nchini kila selta mgomo mgomo

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 місяці тому +3

    Kuonyesha ulichofanya sio sahihi..umezidisha sifa...ndo na geti likataka likuuwe kabisa

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 3 місяці тому +1

    Hyo hospital inaomba wagojwa waongezeke et

  • @lilylema5292
    @lilylema5292 3 місяці тому

    Yani na wanavyotibu ghali Sasa kama hii ni kampuni ya ulinzi wafanyakazi wa hospital watakua hoi

  • @ConfusedMountainLandscap-cw3vj
    @ConfusedMountainLandscap-cw3vj 3 місяці тому

    Seriani inadaiwa sana jaman wafanyakaz nao wanaandamana kila siku

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 3 місяці тому

    Walipwe ela zao bana ulinzi ni mgumu sana lindo kulihudumia masaa 12 sio mchezo bana

  • @DaheerK
    @DaheerK 3 місяці тому

    Mh haibu kubwa hii selikali yenu😊

  • @gabrielolotu6857
    @gabrielolotu6857 3 місяці тому

    Duuuh 😢

  • @aggylukumai4458
    @aggylukumai4458 3 місяці тому

    Hivi hawana hata aibu.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 місяці тому

    Tatizo la Dar km auna pesa usiweke walinzi

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 3 місяці тому

    Wassenge kumamae kama awataki walipe pesa alf walinde wenyewe malizao. walinzi wanalaumu kampun yao kumbe wateja hawalip je malizenu zikipotea mtaelewa achen kujar matumbo yenu

  • @wakykundy6016
    @wakykundy6016 3 місяці тому

    Charges za huduma kubwaa halafu hawalipi madeni looh

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 3 місяці тому +1

    Inaenda kufa hii hospital Asant sn sikuwez kupata kazi hapo

    • @Flynndiamonds
      @Flynndiamonds 3 місяці тому

      Pole sana small mind kukosa kibarua sehem haimaanishi ndio mwisho wa maisha jifunze..huwezi kuwepo sehemu isiiyo kustahili na kama ulikua na video basi wakati wako hauukua bado learn to grow up

    • @Flynndiamonds
      @Flynndiamonds 3 місяці тому

      Sorry si video nlimaanisha vigezo

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 3 місяці тому

    😂Hela zote izo za matibabu

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 3 місяці тому

    Kwahiyo kwa mwez mnalipwa7000000

  • @JaneWalter-m7l
    @JaneWalter-m7l 3 місяці тому

    Katibu mkuuu vipi, ingieni ubia na serikali msiumize watu Ni dhambi

  • @CharlesZuma
    @CharlesZuma 3 місяці тому

    Makonda yupo tena kila mtu analianzisha lake

  • @nzuna5049
    @nzuna5049 3 місяці тому

    Kampuni ya ulinzi mfuate utaratibu sio kutumia hasira, vinginevyo mnaweza kuingia kwenye tatizo kubwa zaidi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 3 місяці тому

    Matapeli hao kumbe hospital ya silian Arusha

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 3 місяці тому +1

    TUNAOMBA TAARIFA ZA MABADILIKO YA MANUNUZI YA LUKU

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 3 місяці тому +5

    Hao ni walinzi tu wafanyakazi lazima watakua na madai pia

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 3 місяці тому

      Wafanuakazi wanamadai yakutosha!

    • @giftwandi3918
      @giftwandi3918 3 місяці тому

      Sio poa hapo,nina ndugu yangu anafanya kazi hapo analalamika sana

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 місяці тому +2

    Siku hizi tunakunywa muarobaininhqtiendi mahospitalini

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 3 місяці тому

      Duh ulivoandika Sasa 😂😂😂 Nimeambulia siku hizi na Mahospilini 🤸

    • @elizabethkikoti7265
      @elizabethkikoti7265 3 місяці тому

      😂😂😂

  • @Mzawaoddszone
    @Mzawaoddszone 3 місяці тому +5

    Kuna MTU anacoment miezi sita tu mmefunga....hivi unahisi wanacheza hapo watu wana familia wana tegemewa unahisi wanakula NN??....ya sanitas Dar ilianza hivyo mpaka sasa wamekimbia maboss watu wanadai hela mishahara+ NSSF za zaidi ya miaka miwili just imagine

  • @MaryLyimo-s5n
    @MaryLyimo-s5n 3 місяці тому

    Huo ni ubabe angevuta subira

    • @IssaTayari
      @IssaTayari 3 місяці тому

      Alf walinzi unawalipa wewe

  • @lobikopayana
    @lobikopayana 3 місяці тому +3

    Ni aibu hospital kubwa kushindwa kujiendesha

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 3 місяці тому

      Haiwez jua kama wafadhili wame sepa au laaah maana hiyo hosptali niya kanisa siyo ya serikali

    • @lobikopayana
      @lobikopayana 3 місяці тому

      @@OnesmoEphrata kama wafadhili wamesepa ni vyema wangeomba msaada serikalini (PPP)

    • @judithgodfrey6503
      @judithgodfrey6503 3 місяці тому

      KKKT🤭

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 3 місяці тому

    Nyie mtafungwa jela kwahyo wagonjwa wanaoletwa apo wataingiaje ndani

    • @Khadija-ne8ul
      @Khadija-ne8ul 3 місяці тому +2

      Wakatibiwe na nani?? na huko ndani staff wote ndo walioanzisha mgomo

    • @TumainiSawee
      @TumainiSawee 3 місяці тому +1

      Watafungwa,?kwahiyo wenzako wakale wapi miezi6 looooo wagomeme mpaka kieleweke alaaa

    • @HOTGOSPELSONGS-gy9ug
      @HOTGOSPELSONGS-gy9ug 3 місяці тому

      mbona hospitali zipo nyingi tuu Arusha

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 3 місяці тому

    Hawalipwi ng'oooo, na kesi ikienda mahakamani itakuja kuisha 2050

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 місяці тому

    Mamasamia raisi wa ajabu sana

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 3 місяці тому

      Hizi simu kila mtu kuwa nayo nalo ni tatizo

    • @EPIFANIAMWENDA
      @EPIFANIAMWENDA 3 місяці тому

      @@isaacmwaseba9972 kwani naye yupo kanisani?

    • @shuwenaghandi9253
      @shuwenaghandi9253 3 місяці тому

      Sasa mama Samia hapo kaingiaje na wewe ,mbona vitu vingine vya kufikirika tu

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 3 місяці тому

    Miezi SITA ndo mfunge mageti

    • @PendoNaftal-o1b
      @PendoNaftal-o1b 3 місяці тому

      Ulitaka afanyaje wewe kuweza

    • @ShazilMohamedi
      @ShazilMohamedi 3 місяці тому

      Just imagine ni ww hujalipwa miez 6 ungeishije usiongee vitu kwa sabab c ww

  • @Saidchogo-f1r
    @Saidchogo-f1r 3 місяці тому

    😂

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 3 місяці тому

    Ujinga tu we unafanyaje kazi miezi yote hiyo hulipwi

  • @AloyceTz762
    @AloyceTz762 3 місяці тому

    𝗜𝗬𝗢 𝗛𝗢𝗦𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗨𝗛𝗨𝗦𝗜𝗞𝗔 𝗔𝗧𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗡𝗧 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗪𝗔𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗔 𝗡𝗔𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗘 𝗠𝗡𝗜𝗞𝗔𝗕𝗜𝗗𝗛𝗜 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗔𝗨 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗠𝗡𝗔𝗡𝗜𝗨𝗭𝗜𝗔 𝗠𝗡𝗜𝗨𝗭𝗜𝗘