MASHABIKI SUGU WA STEVE MWEUSI. AND NDARO Tz. BASI TUJUANE KWA COMMENTS NA LIKE. PLEASE GUYS LEO NIPENI HATA LIKE MBILI TU? ZINA TOSHA ❤❤❤❤ TEAM MWEUSI FAMILY ATUPOI PIA ATUBOI 😅😅😅😅
Naweza kuigiza sana2 kama sitevu naomba anisaidie uwezo ninao pssss😢 nakipaji lakini cna uwezo wa kushot saporty tatizo nikiongea mnasoma2 nakuangaliaa kunisaidia aaah aaah😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂steve ❤❤❤ from kenya alafu ndaro mungu anakuona
I'm from Rwanda Kigali, we love very very ..... So much Steven Moses . He has a good talent.
Tunao mkubali ndaro tujuane 👍🇨🇩
Tupo
Much love from Kenya guys like back ❤😂
Daaaah ila ndaro na steve mnaniua mbavu nakubali xana mpewe tuzo❤
MASHABIKI SUGU WA STEVE MWEUSI. AND NDARO Tz. BASI TUJUANE KWA COMMENTS NA LIKE. PLEASE GUYS LEO NIPENI HATA LIKE MBILI TU? ZINA TOSHA ❤❤❤❤ TEAM MWEUSI FAMILY ATUPOI PIA ATUBOI 😅😅😅😅
#mweusi family AkA shady from kenya❤❤
Huyu bossi yuko sawa kabisa kwa ku acti, anakubalika kwenye kipindi, Steve na Ndaro muendelee kumshirikisha🥰
anamupenda steve hapa gonga like tuwondoke
TEAM MWEUSI FAMILY TUJUANE JAMANI LEO MIMI NDO WA KWANZA 😂😂😂❤❤❤
Mm wa 2
Sema mdada ana mshepu huyoo duuuh 😊🎉🎉
Steve Na ndaro mtakuja kutuwua nyinyi
Nawafuatilia kutoka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Noma
Duh! aisee nimecheka mpaka machozi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti tukaongelee pembeni hahahahahaha steve na ndaro 🇹🇿🖐️
Huyu jamaa walieigiza na kina Steve na ndaro nae anajua aisee,katembea na biti sana
Nyie mtatuchekesha ,kazi bora kwenyu
Hata upewe watoto kama stevu na ndaro buree utawakataaa😂😂💔
😂😂😂😂😂😂😂 ndalo umetisha adi masega unaysjuwa 😂😂😂😂😂😂😂 umetisha
I like it😍🥳
Yani Steve n'a ndaro mungu anawaona😂😂😂😂😂
Boss unaruhusu kuua hapa ofisini steve mikwala
Asante sana Steve na daro,,,,mnatubamba vzr huku 🇰🇪
Wew hauna akaa😂😂
Wa kwanza from Kenya 😂😂😂😂
Munanifuraishaa sana 😂😂❤❤
Dada mrembo sana sana❤❤
one day i will work with this guys ama in kenya❤❤
First establish your acting prowess in Kenya first,get known then think of working with them
@@RKBro-jr1ts i think my abilities are enough i have been in acting not less than 5yrs now give me a hookup and see
Ndaro mbona unamzaba customer? 😂😂😂😂😂😂
Watching from Nairobi City🥰
Boss awa watu wawili watakumiza kichwa
Naweza kuigiza sana2 kama sitevu naomba anisaidie uwezo ninao pssss😢 nakipaji lakini cna uwezo wa kushot saporty tatizo nikiongea mnasoma2 nakuangaliaa kunisaidia aaah aaah😢
😂😂😂😂😂 pambana Mathias pambana
😂awasomagi coment so pambana na hali yako 😅
Unataka ubebwe utoboe bila kuhangaika. Pambana mzee simu unayo. Tafuta jina, fungua UA-cam, Tick tock na Instagram+Facebook. Tafuta dogo mtaani awe anaRecord skit zako. Jifunze editing n.k. Ukilia lia tunakuona mzembe.
Tafuta uigizaji wako usiokuwa kama wa steve.
Kabisa wakuu hawakumbuki wadogo😢😢.
Yanaweza Sana haya
😂😂😂😂😂 Steve kakimbia 😂😂😂
Uyu dada mzuri❤❤❤
Steve nakubali mpaka chechi inabaki
Niko congo
😂😂😂😂😂ndaro nakupenda walah
😂😂😂😂😂 boss unaruhusu kuua hapa kazin
Huyo anajua sana kucheza cinema
Huyo ni boss au
daah! nyie steve na ndaro mtatuua jaman👍👍 7:48
😂😂😂😂daaaaah nyie watu
Wapi likes za wakenya tukisonga 💯☑️☑️💯
Ndaro na Stivu 😂😂mnavichwa vibovu kwakweli
Amnaaa kaziii apo!!!!
Steve tu vas me tué de rire😂
Boss Ako na kibarua kweli
Ana kazi mbili kuangalia kazi yake na wafanyazaki
😂😂😂😅 ila nyinyi😅
Eti alama za gereji😂😂😂😂😂
Kuniangalia tu kuoga aaah..😂😂😂😂😂😂😂
Hauna akaaa😂😂😂
Vraiment Steve 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kazi iendeleeeee
Mimi namkubali sana Steve mweusi
Ndaro stev 🔥🔥🔥
NIMEINGIZA LIKE IMEFIKA 3.1k asante sana
Kazin Kuna kazi😅😅😅
😂😂😂alama za garage
Hauna ahaaaaaaaaaaaaa aka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hla.ndaro
Ww dada jieshimu ujistiri mwili wako ukienda Kwa Mungu utatoboa kweli
😂😂😂😂Boss unaruhusu kuua kazini 😅😅😅Steve wewe kweli
Rim Allignment duh Mamae Ndaro😅😅
Jaman steve ananchekesha sana
Jama.noma.sana
Nawakubali sana
Kazi mzuri sana💪💪💪
Steve wewe unanipasua mbavu ukiwa na ndaro 😂😂😂
Tu mukate Steve mushahara wake😅😅😅😅😅😅😅
Ndaro my all time crushiee😊
Ahaha ndalo na steve
😂😂😂😂😂 kofiya na vi rasta hawajuwiii lolote kuhusu mambo ya garage 😅😅😅😅
Nawakubali sana Steve na Ndaro
Wa5 lik zang wadau
Mr fire 🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😂😂katufananishaaa Steve'
@Highlight🔥🔥
Noma sana
😂😂😂😂😂😂 njaaaa we nani akatwe nani😂😂
Jamani mimi naomba mugonge kwa picture tu mukipendezua na videos zangu munisaport na sabo ahsanteni🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naombeni tafadhali Steeve mtuletee Amad Kijiicho bro
nimechoka kununua band jemeni 😂😂😂😅😅😅😅😂
Ndaro na stive safi sana
Kaka nawakubari
Tokooos
Kuchonganishana tu, Kuoga Aaaaaah!!!
Na Mimi kuigiza na weza lakin sina sapoti😀😃😄😁🩷😼
Hio Kofi ya mwisho ilikuwa personal 😅😮
Dah hawa jamaaa dah😂😂😂😂😂😂😂😅
masegaa
“Kuoga ahhhhh 😂😂😂😂😂”
” umeskiaaaa?”
Mm nipo apa Qatar 🇶🇦 🎉lakini nampa hii
Mtaniuwa nyinyi 😂😂😂
Et lim alliament😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahah dah aiseeh nime pnda sn
Wakati steve kamfuata huyo dada kuna majamaa walikuwa kwenye boda, wamesikika wakisema wee umecheki mzigo huo
Part 2 🤣🤣😂😂😂
Steve na ndaro ongera San mungu awape nguvu san
😂😂😂 nakuuliza dada hauna hakaaaa
Ouma from kenya migori county
Mafundi wavituko sana😂😂😂😂😂
Etiii kuniangaliaa tuu kuogaaa aaah😂😂😂😂
Mimi nampendag uyo dada tu ananyama za makalio kinoma