Ni ukweli. Baada ya kuangalia kisa cha Safira na Anania, ni vigumu sana kutathmini njia bora zaidi ya kutoa.Ndiyo maana tunafaa kuomba msamaha katika maombbi yetu kila wakati kwa sababu hatujui wakati huwa tumemkosea mungu katika matoleo. Barikiwa sana
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki watumishi wa Mungu kwa huduma yenu ya kutulisha chakula cha kiroho.
@@simonbundala6382 amina.
Ni ukweli. Baada ya kuangalia kisa cha Safira na Anania, ni vigumu sana kutathmini njia bora zaidi ya kutoa.Ndiyo maana tunafaa kuomba msamaha katika maombbi yetu kila wakati kwa sababu hatujui wakati huwa tumemkosea mungu katika matoleo. Barikiwa sana
@@joashmbegra9458 barikiwa kaka.
Baraka tele
@@LETSDISCUSSTHIS24 pokea baraka sufufu mjoli.
Mbarikiwe sana
@@DeborahMakwela-w1h barikiwa nawe.
Mnanibariki sana watu wa Mungu,kila week lazima nisikilize hiki kipindi,fom Tanzania
Barikiwa mjoli.
Vyema kwa lesoni ya wiki hii
Amina.