Huyu Jemedari mbona anaongea studio kama muhuni yupo kwenye kijiwe hatumii professional yake kbsa, mtu unaweza husiwe upande wake lkn ukamuhoji maswali ambayo ya ki professional na kajua kbsa hapa nimeongea visivyoeleweka na ss wasikilizaji tukaona kbsa hapa mtu kapuyanga, Aache ujing Jemedari stick on your professionalism bro
Wewe Mangungu Acha kujipa sifa huna kitu unajua ushukuru team inafanya vizuri! Nguvu moja
💥💥💥
Ila jemedali unakejeli we msenge Daaah 😅😅😂😂
Tatizo la mangungu anabishana yaan anahasira za kalibu kalibu yaan majibu yake hata sisi mashabiki hatuinjoy
Kila kitu kinaende kwa mpangilio ikifika huko utajengwa tu uwanja mkubwa na mzuri
Huyu Jemedari mbona anaongea studio kama muhuni yupo kwenye kijiwe hatumii professional yake kbsa, mtu unaweza husiwe upande wake lkn ukamuhoji maswali ambayo ya ki professional na kajua kbsa hapa nimeongea visivyoeleweka na ss wasikilizaji tukaona kbsa hapa mtu kapuyanga, Aache ujing Jemedari stick on your professionalism bro
Mangungu anachekesha😂😂😂ety na sisi pia ni umma
SIMBA TENGENEZENI UWANJA WENU. ILI MUINGIZE MAPATO KWENYE TIMU YA SIMBA.
Ingekuwa rahisi kama unavyosema ingekuwa Tyr, ndo maana Kuna process
Jemedari ana maswali ya kuprovoke sana , 😂😂😂ukiwa na hasira unaweza piga mtu umu😂
raha yetu ni yanga afungwe tyu
Inaitwa kupatwa
Dogo kiza hatorudia tena kuquote sentensi bila full context ili aulize swali
NGUNGU BOY MUHUNI SAANA 😂😂😂
Na ni jeuri kwelikweli😂
Suala la kiwanja au viwanja bado litabaki siasa
ILA MANGUNGUUUUU
Swala la uwanja bado ni siasa na porojo
4 against 1
Ila mangungu anamajibu
huyo ndo mangungu uwezi kwenda kichwakichwa dogo wa kapero katulizwa
Maswali ambaho wanauliza majamaa ni kumpa mtu asira
Bado amjasema Huyu ndio Mangunguuu...Mmejichanganyaa kinomaaaa
uyo dogo mwenye kofia sio kwamba hana adabu tu, amekosa mpaka akili
Kbsaaa😂😂😂😂😂😂
Cjui amesoma wp....