PONGEZA ZA MSAJILI TNMC KWA WALIMU WA KADA ZA UUGUZI NA UKUNGA
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- MSAJILI TNMC AWAPONGEZA WAZAZI NA WALIMU KWA JUKUMU LA KUSHIRIKI KATIKA UANDAAJI WA WAUGUZI NA WAKUNGA NCHINI
Bi. Agnes Mtawa ameyasema hayo katika Mahafali ya kitaaluma kwa wauguzi na wakunga CHUO CHA SAYANSI SHIRIKISHI DODOMA.
Katika Mahafali hayo Mgeni Rasmi ni Msajili Baraza la UuguzI na Ukunga Tanzania (TNMC) Bi. Agnes Mtawa