Zari Mungu akubariki mwanangu, Mungu akupe Afya, una moyo wa huruma snaa nimefuatilia snaa Hii Habari. Umefanya SEHEMU kubwa sna na bado unawapambania Hao wazazi... Huna BAYA mwanangu zari🙏
Hawa wakijua wanatumia njia za magendo hata majina huwa wanabadilisha Hilo jina unalisema la Happy inawezekana sio jina lake halisi hawawezi tumia majina yao
Dada mwambie baba hatofungwa kwa uwezo wa mungu na wala asiwe na hizo fikira amuamini tu mungu yeye anaenda kwa ajili ya mtoto wake … please Mshauri sana baba akifika asipanik kwa hali yoyote atakayo kutana nayo juu ya manae na mungu yupo nae In shaa Allah yataisha salama haya watasahau 🤲🏻
Yaani kama ulikuwa akilini mwangu...mara nakutana na meseji yako...hata mimi nilitamani kujua issue ya rose alochukua yule mtt iliishia wapi@gracemsaki
Jipe moyo dada zari Mimi najua kazi unayofsnya nimkubwa sana MBELE yetu na MBELE za mungu usisikilize maneno ya kukukatisha tamaa ubarikiwe sana dada zari mengi mema umefanya na yakafanikiwa
Ss jamani atajielezea vp kwa wahindi wasiojua kiswahili ,ni bora serikali ingemchagua mtu mwenye anajua kingereza hata kinachoendelea atakua anatoa taarifa
Halo dada zari wahindi wana roho ngumu sana huyu mzee wa watu na muhurumia labda balozi wetu akamsapoti mzee bila sivo baba mage anakwenda kuishia ndani ningeomba balozi wetu apewe tarifa kuhusu safari ya baba
Ata ukuenda haisaidi kitu tulia alie kufa muache azikwe tu uzo pesa Bora zikusaidie tiu Kuna hotel Kuna chakula wewe unataka kujua India utajuta kwenda Bora acha azike yaishe ukienda hutosaidia kitu ila utazidisha kila mtu anamajukum angalau angekua mzima tulia uache mtoto azikwe
Pole dada Zari kwa kazi unayoifanya kusaidia watu Mungu atakulipa akuna kazi iliyokosa changamoto wazazi waliomba msaada kwenye chombo cha habri ipazwe sauti hili apate msaada kwa watanzania wenzake na nchi mbali mbali ss kosa ra dada Zari like wapi yeye Mungu atakulipia kwa kuwapambania wazazi wa Magederina
Yani unavyo ongea kama huyo Magdalena yy ajaleta wasichana huko india,huyo mgonjwa alipeleka wasichana kama 5 alikuwa madam kama hamjui na yy ndio mmoja wao wa kuleta wasichana
Wallah watt wanatukera sisi wazaz san mtuy unayoka TZ UNAENDA INDIA BILA KUJULISJA WAZAZI KWELI JAMAN UJASIR GAN HAWA WATT WASIKU HIXI ALFU MSIVHAN MKUBWA ANASHIDWA KUJIELEW KUWAELEW WAZAZI WANACHO SEM DUUH MUNGI WANGU
Pole sana mzee wagu daha inauma sana sana sio kidogo yani nigekuwa nauwo uyo mzee nige mdaidiya ila watu wamungu weye uwezo wamsaidie uyo mzee jamna daha
Kwa kwenda baba peke yake sehemu haijui wala hajui mtu mimi naona hayo mambo mungeshilikisha ubalozi kuliko uwamuzi munaochukua baba huko atapata tabu hana pa kulala hana pa kula hana pesa ya kutosha hili suala linataka umakini sana
Ndugu zangu wadogo zetu na watoto wetu .sisi wengine ni watu wazima tumesoma South India miaka mingi tena miaka 3 na ni engineer sasa naomba niwaeleze hakuna kazi India msijidanganye ,narudia tena hakuna kazi India zaidi ya umalaya na madawa ya kulevya kwa watu weusi na wanhindi wanachukia sana hii tabia na watawauwa kweli kweli
Wahindi hapa Arusha ni wengi sana ila nilichojifunza kwao hawana ukarimu kabisaa na tena kama ni matajiri wana roho ya kimaskini sanaa na huwa hawachangamani ni wabinafsi sanaa
ila mama kunakitu anaficha uyu haiwezakani toka 2017 mtu aonekani na apewi ata ela ila wamekaa kimya saiv matatzo ndo wanajitokeza nakwann ulipo mwambia mage kafa alikuwa analia nisamehe mwanangu?mi nais aliijua safr ya mage ila hakujua kama nikaz yakujiuza
Na mara nying mama ndo anafichaga sir za mabint zake tena mama mwenyew uyo mpole apo ivo uyo alkuwa najua kabs bint yake alipo ila akaona ni kawaida 2 mtt wangu yupo kazin hana shda sa hiv awez kuwa waz na baba pengn alkuwa ajui lolot man anaonekana ni mkali sana
Na hapo kuna kula na kulala. Kule wahindi chakula chao kikuu ni mikate, asubuhi, mchana na jioni, menu zao ni mikate, na mapilipili yao yale kwenye kila kitu mpaka mayai unawekewa pilipili. Ukiomba lunch, mkate na chai, jioni mkate na chai! Unajikuta hujui asubuhi wala mchana ni upi!😢
ZARI❤wasikutishiye hao wanata kuzidisha umaluuni hindia hawana kazi kazi zao kujiuzi hao Malaya Sana usiwasikilize Zari hap Malaya wanajiuza .ppd .kazi yao ya ppd.👌👌👌👌
Baba mungu akusaidie akupe moyo wa subira naona uchungu sannna umasikini ndio unatuponza sisi wa masikini. Na nnvyo juwa wahindi hawana huruma hata kidogo wala Havana utu wa kuona hali ya mtu haliyake
Nyingi umalizagi zari mamb yako mengne ayaelewek, sas baba ajuh kingerez ajuh chochote ataend huko ataanzia wapi?? Kwann msiombe msaada kwa baloz akahakikishe kule hospital, then hzo ela mtume kwabaloz zpelekw hosp, drama drama drama drama . Polen wazaz wa mage Mungu awatie nguvu.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Zari Mungu akubariki mwanangu, Mungu akupe Afya, una moyo wa huruma snaa nimefuatilia snaa Hii Habari. Umefanya SEHEMU kubwa sna na bado unawapambania Hao wazazi... Huna BAYA mwanangu zari🙏
Pole sana brother sina kitu lakini tuamini Mungu yote yanawezekana
Huo mtandio Zari umekupendeza sana wala usiwache kichwa wazi sasa😘😘
Huyu dada Zari anapambana sana Mungu akubariki dada
Poleni sana baba na mama pamoja na mtangazaji zari tabu ya njas
Watu bwana hawanaga shukrani we fanya kazi tu dada Zari
Bora dada zari na wewe nenda na baba maginalena ukamsaidie muwe pamoja
Kweli kabisa
Kweli aende naye huyo baba
Mwanangu Zari Allah awabariki wote familia ya global kwa kupaza sauti ya kuwasaidia watu wenye uhitaji.
Dada kipenzi mwenyezi mungu akupe subra usipanki Dada yangu
Happy atafutwe na wale wote wanaowasafairisha ma binti!!
Hawa wakijua wanatumia njia za magendo hata majina huwa wanabadilisha Hilo jina unalisema la Happy inawezekana sio jina lake halisi hawawezi tumia majina yao
Masha Allah Zalia wapendaza sana ukijitanda hivyo..Allah akuzidishie ❤❤❤
Dada mwambie baba hatofungwa kwa uwezo wa mungu na wala asiwe na hizo fikira amuamini tu mungu yeye anaenda kwa ajili ya mtoto wake … please Mshauri sana baba akifika asipanik kwa hali yoyote atakayo kutana nayo juu ya manae na mungu yupo nae In shaa Allah yataisha salama haya watasahau 🤲🏻
mtangazji happy anaitwa happy nassary au alikuwa ni rafiki wa mage tangu aldersgate
Duu hapa Mbona tofauti maongezi 😢
Zari nikuombe unijibu kuhusu ile kesi ya saud wa zanzibar na rozi tunaumuia atujui mwsho wake nikuombe sana san asant
Yaani kama ulikuwa akilini mwangu...mara nakutana na meseji yako...hata mimi nilitamani kujua issue ya rose alochukua yule mtt iliishia wapi@gracemsaki
kwa kwel me mwenyewe nataman kujua hii issue ya Sauda jamani
Zari allah akujaalie kheri, unajitahd xn nx xn , allah atakulipa in sha allah
Mungu akutangulie dada zari kwa kazi yako nzuri na baba pia mungu amtangulie na safari yake
Mungu akubark zar❤❤❤❤
Jipe moyo dada zari Mimi najua kazi unayofsnya nimkubwa sana MBELE yetu na MBELE za mungu usisikilize maneno ya kukukatisha tamaa ubarikiwe sana dada zari mengi mema umefanya na yakafanikiwa
Poleni sana sisemi kwa ubaya Mmeamua kumpeleka mzee wa watu nae akafe na mwanae mimi sijqpenda mngeachia ubalozi ushughulikie mpaka mwisho
Dada zari I love u 🥰🥰mungu akutunze dada yake 🙏🙏🥰🥰akuepushe na kila husda halafu dada zari India machagudoa wapo wengi sana dada yake 😊
Pole sana baba Allah atakusimamia utafaulu tu
Ss jamani atajielezea vp kwa wahindi wasiojua kiswahili ,ni bora serikali ingemchagua mtu mwenye anajua kingereza hata kinachoendelea atakua anatoa taarifa
Kingrza au khindi?
Ilo ndo la kuhimu hapa tz wapo wamchukue mkaliman mno waende huko awe anajua kihindi na kingereza vizuri hiyo itasaidia
Yaani huyu Zari nampenda sana yuko vizuri kusaidia watu Mungu alibariki sana
DADA ZARI ALLAH AKUPE NGUVU YA KUPAZA SAUTI NA AKULINDE NA SHARI ZAO
Da zari mungu akupe maisha marefu kwa kweli.
Halo dada zari wahindi wana roho ngumu sana huyu mzee wa watu na muhurumia labda balozi wetu akamsapoti mzee bila sivo baba mage anakwenda kuishia ndani ningeomba balozi wetu apewe tarifa kuhusu safari ya baba
Yana roho mbaya ndo mana yanachomana moto bila huruma
M mawazo yangu hivohivo atawekwa ndani
Zari namuomba aende nahuyu baba kwanza hana uzoefu wa safari jmn😢
Poleni sana pole baba yangu mola yupo pamoja nanyi .
Daaah jamani pole baba nimesikia uchungu, Mungu atakufanyia wepesi
Pole Zar wefanya kazii mungu atakuripa
Zairi mungu atakusimimia katika kazi zako
Sema zariii wambie kiukweli inaumiza
Dada kazi nzuri ubarikiwe na mungu
Poleni sana ndugu zangu,
Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi
Ata ukuenda haisaidi kitu tulia alie kufa muache azikwe tu uzo pesa Bora zikusaidie tiu Kuna hotel Kuna chakula wewe unataka kujua India utajuta kwenda Bora acha azike yaishe ukienda hutosaidia kitu ila utazidisha kila mtu anamajukum angalau angekua mzima tulia uache mtoto azikwe
Nje huko maisha magumu sana jamani mungu awasaidie tu warudi tz
Mmmh hapa Kuna kitu juu ya happy na mamaake na magdalena
Pole dada Zari kwa kazi unayoifanya kusaidia watu Mungu atakulipa akuna kazi iliyokosa changamoto wazazi waliomba msaada kwenye chombo cha habri ipazwe sauti hili apate msaada kwa watanzania wenzake na nchi mbali mbali ss kosa ra dada Zari like wapi yeye Mungu atakulipia kwa kuwapambania wazazi wa Magederina
Polenisana mungu awapenguvu
Pole san baba Mungu ata kufanyia wepes
Poleni sana wazazi
Dada usikate tamaa kama umeamua kusaidia watu wenye uhitaji fanya hivyo kwa ajili ya Mungu,yeye ndiye atakulipa
Pole baba
Matusi hayaandikwi usoni ulinzi wa mungu unao
Mungu akubariki saana mtangazaji kwa moyo wako wa kujitoa
Nimejifunza huyo kaka daudi alotoa ushauri mimi km bint nimemwelewa sana na itanisaidia endapo nikija kuwa mzazi inshaa'allah 😊
Akifika baba .muhimu akaripoti ubalozini
Ubariki san dada zari
Mung akufikishe salama baba,mungu akusimamie,sasa najiuliza bab anaelew lugha ya kule au hata English ya kuweza kuwasiliana
Dada zali munguakuzidishie unapambana mengi utasikia kwabinadamu usijali tunawashukuru grobo inauma sana
Poleni sana Wazazi Allah atafanya kitu InshaAllah ila inauma sana
HUYO MZEE ASENDE INDIA PLEASE 🙏 ATAKUFA HUKO INDIA.😢!
Mungu akubariki sana
Poleni sana na mapito haya
Umaskini mbaya sana 😭😭😭 mana hata huyo mgonjwa sijui nimwili mana wanatuweka njia panda sana unahitajika uchunguzi sana usikute wameshamtoa mafigo
Nakupenda kwa ajilii ya allah dada zariii allah akupe nguvuu
Huyo mama mage kuna kitu juu ya happy,anasema amehama picha zake hana aisee kuna kitu kwa huyo mama.
Usilie baba, Mungu atakuongoza na utapata msaada usiotarajia.
Mwana kulitafuta mwana kulipata kwani huku hakuna kazi niuvivu tuu MUNGU awafanyie wepesi wawe salama
Nife tu katka nchi yanguu wallah
Inamaana ubalozi wa Tanzania huko India hawafatili wananchi wao na kusaidia jamani.
Tusilaumu ubalozi ngoja nikwambie huku watu wanavoishi wakifika kila mmoja na anavojitambulisha yy ni wa wapi
Mungu ingilia kati 😢kama msaada wameomba sana ila Mungu ingilia kati
Dada zar kusema kwel nakupenda sana kwajil ya allah pole fanya kwajil ya allah mungu atakulipa binadam ni watu wa lawama tu usirud nyuma
Zari you are doing the best my love. Wewe una upendo sana. Mungu akutunze
MUNGU akulinde dada zari kwa kuokoa kizazi chetu
Huyu mama jamani anapitia hali ngumu mnoo😢😢😢
Pole san ndug Allah atakulipa inshaallah
Pole sana
Usipaniki Zari watu wasikushushe na usikubali ufike huko fanya kwa ajili ya Mungu na M/Mungu atakulipa tuu kwa wema unaoufanya
Yani unavyo ongea kama huyo Magdalena yy ajaleta wasichana huko india,huyo mgonjwa alipeleka wasichana kama 5 alikuwa madam kama hamjui na yy ndio mmoja wao wa kuleta wasichana
Tobaaaa tobaaaaa
Itakua unamjua vyema kama ndio hivyo😢
Wallah watt wanatukera sisi wazaz san mtuy unayoka TZ UNAENDA INDIA BILA KUJULISJA WAZAZI KWELI JAMAN UJASIR GAN HAWA WATT WASIKU HIXI ALFU MSIVHAN MKUBWA ANASHIDWA KUJIELEW KUWAELEW WAZAZI WANACHO SEM DUUH MUNGI WANGU
Dah!!! MUNGU tusaidie.
MSS! ZARY TAKE CARE OF THIS ISSUES" PLEASE 🙏
Subhana Allah atakuwalipa hawawalipi jmn yani bora wajeugauibuni kufanyakaz zanda utakula nakilamwezi unapata elayako ya halali
Pole sana mzee wagu daha inauma sana sana sio kidogo yani nigekuwa nauwo uyo mzee nige mdaidiya ila watu wamungu weye uwezo wamsaidie uyo mzee jamna daha
Zari kwanini usiombe nauli kipenzi naww uwambatane nao kwenda INDIA kipenzi naomba uwende nao🤲😭🙏🏽
Kwa kwenda baba peke yake sehemu haijui wala hajui mtu mimi naona hayo mambo mungeshilikisha ubalozi kuliko uwamuzi munaochukua baba huko atapata tabu hana pa kulala hana pa kula hana pesa ya kutosha hili suala linataka umakini sana
Utakufa kwaahadi Yako dada zari
Jamani huyo alishafariki. Hizo bill wanazichaji tu ili wapate hela, wanadanganya kwamba hajafa. Ameshakufa huyo inavyoonekana
Wana fanya utapeli lkn kashakufa so wanacheza na maiti
Baba piga moyo konde mungu akutie nguvu uweze kwenda ukamchukue mwanao😢
Ndugu zangu wadogo zetu na watoto wetu .sisi wengine ni watu wazima tumesoma South India miaka mingi tena miaka 3 na ni engineer sasa naomba niwaeleze hakuna kazi India msijidanganye ,narudia tena hakuna kazi India zaidi ya umalaya na madawa ya kulevya kwa watu weusi na wanhindi wanachukia sana hii tabia na watawauwa kweli kweli
Wahindi hapa Arusha ni wengi sana ila nilichojifunza kwao hawana ukarimu kabisaa na tena kama ni matajiri wana roho ya kimaskini sanaa na huwa hawachangamani ni wabinafsi sanaa
Sasa hao wanaompigia baba anakiasi gani wanaongea lugha gani na huyo baba mbona vinaumiza kichwa
ila mama kunakitu anaficha uyu haiwezakani toka 2017 mtu aonekani na apewi ata ela ila wamekaa kimya saiv matatzo ndo wanajitokeza nakwann ulipo mwambia mage kafa alikuwa analia nisamehe mwanangu?mi nais aliijua safr ya mage ila hakujua kama nikaz yakujiuza
ndio
Na mara nying mama ndo anafichaga sir za mabint zake tena mama mwenyew uyo mpole apo ivo uyo alkuwa najua kabs bint yake alipo ila akaona ni kawaida 2 mtt wangu yupo kazin hana shda sa hiv awez kuwa waz na baba pengn alkuwa ajui lolot man anaonekana ni mkali sana
Pole sana baba,inabidi ujaribu kwa wasafi pia diamond jamani kwani hawezi kukusaidia hiyo ni pesa ndogo sana kwake
Na hapo kuna kula na kulala. Kule wahindi chakula chao kikuu ni mikate, asubuhi, mchana na jioni, menu zao ni mikate, na mapilipili yao yale kwenye kila kitu mpaka mayai unawekewa pilipili.
Ukiomba lunch, mkate na chai, jioni mkate na chai! Unajikuta hujui asubuhi wala mchana ni upi!😢
Huyo mama mage anatia asira sana, kwanini asiseme ukweli wa happy anaficha nini sasa wakati mwanawe anaumia uko kwenye nchi za watu.
Hapa Tanzania kuna balozi pia wa India kwa nini msiende hapo mkapata mkapata ufafanuzi
Vijana wetu jamani mnatesa sana wazazi!! Nihuruma sana kwa wazazi!!
ZARI❤wasikutishiye hao wanata kuzidisha umaluuni hindia hawana kazi kazi zao kujiuzi hao Malaya Sana usiwasikilize Zari hap Malaya wanajiuza .ppd .kazi yao ya ppd.👌👌👌👌
Washirikishe na ubalozi kwnn huyo mzee asafiri wakati ubalozi upo?
@@YonnahKokanhapo sasa hiyo ni moja ya kazi ya ubalozi
Kwanza hata kuandika hujui
Kwahyo ni mzma huyo dada hajafariki mbna sielewi😢
Tunkuombea mzee wetu usjl Allah akufnyie wepes ufike salama na utarudi salam bora serkal inajua uondkaji wako nna imn utafanikiwa
Mama mage mwanzo alisema anamjuwa happey na kwaoo anapafahamu sasa sielewi anavyo sema thena hamjui
Narudia tena huyo mama anajua kila kitu
Hata mimi naona ni hivyo
Anajua kila kitu
Pole sana mzee
Wanaokutukana nikwamba wanafanya iyo biashara zakujiuza paza saut dd naujumbe umewafikia na Allah atakulipa
Baba mungu akusaidie akupe moyo wa subira naona uchungu sannna umasikini ndio unatuponza sisi wa masikini. Na nnvyo juwa wahindi hawana huruma hata kidogo wala Havana utu wa kuona hali ya mtu haliyake
ANOMCHAGIYA HUYO BABA ANACHANGIYA MAUTI YA HUYO MZEE"!😢! BADO MBATAKA KUMPELEKA PEKE YAKE! DUUUH"!😢!
Kwahiyo huko.India kunatumika wizi
Nyingi umalizagi zari mamb yako mengne ayaelewek, sas baba ajuh kingerez ajuh chochote ataend huko ataanzia wapi?? Kwann msiombe msaada kwa baloz akahakikishe kule hospital, then hzo ela mtume kwabaloz zpelekw hosp, drama drama drama drama . Polen wazaz wa mage Mungu awatie nguvu.
Oa waindi.walivyo ja ziki mtihani oman wamejaa kibao
We Daudi uliepiga simu usiseme ivo ww vitu vote ulivokuwa unafanya wazazi wako walijua mtoto akishakuwa uwezi kumkotroo usijifanye unajua kulea