Bro na dai uni chape ka interview ndani ya kipawa show podcast,,,bana naka Vasho na mm ni upcoming artist,,,na uki ni show ni kam,,Haina mambo me nita kam through na fare yangu man,,,,,Ina semekanaga msanii ni bidii,,Sasa mm Niko ready ku kam uko kanairo,,,na nita ji lipia fare🔥💥💥💥💯🙏 follow back hii account yangu ya UA-cam uta cheki kazi zangu,,hadi PINGO OFFICIAL ana ni nauwo
Mtakuja regret mbaya *sana* . Na hii si mchezo. Na keep it real 💯. Hii ni biz. Opportunity ya kuchange life zenu, familia na watu wengine. Beef ni ufala sana time mngekuwa mnawork hadi doo ianze kuingia. Ju mkifiika kitu 40 years mtalia vile mlikuwa na opportunity mkawaste, saa hizo mkitafuta mboka yoyote mjifeed na watoi, mpeleke familia hosi etc. Ongeeni na ma OG wa hii game kama akina Abbas Kubaff, Mejja, Jua Cali. Pia study watu wa majuu. Akina Jay Z. Na pesa haikujangi immediately. Mtastruggle mpaka muone ni kama vitu mnado haziendi mahali. Lakini mvumilivu hula mbivu. Patience.
Watu wakue kimoja ..Gota ni Wazing watrue Waki practise kua True..mnaeza Do hii kitu ...Alafu pia fuatilia apa Vile tu nilikushow😃..No disappointments 😁 sasa ndio hii Episode 5😛🔥🔥Go watch full entertainment like share and Sunscribe for more💯💖👇👇👇❣️ua-cam.com/video/9zwRUlvm_bE/v-deo.html
stop the beefing ......fighting isnt real.........stoopid boy is a real disapointment............big up lytin madocho and the rest.........na mshikane muimbe ady na mbogi genje ......ata OG anarespectiana na OCTO,,,,
Madocho ni simple mbaya ....... napenda uyu mseee ... stupid bana io bif choreeni za unyonyo bana talanta mnayo , me nadai beat na verse zile za kiujamo 💌💌
This gota city wangekua tu na respect walah wangekua mbali sana... They are so talented walah
True 💯
Liyetin nampenda coz the dude is always humble mehn heshima sio utumwa big lovulovu
Usiraisiwe na single mother na ukufe ukipigania baba stoopid boy uve nailed it😂😂😂🔥🔥
Leyitin you way ahead of the crew...if the group is dragging u behind please just do your thing...uko nare ukiwa solo 🔥
Noma sana, kipawa kazi fity, happy to see the reunion
GOTTA CITY without Liyetin is kinda weak. He's the most talented artist in this group.
I did agree. Each if these duo are a force. Together they become a wave.. creative levels another level
Lyetin is grown up ........ atoke qwa hii group manzee coz walimuattack na a move on
He's with GOTTA CITY because of many reasons
Liyetin na pingo
Mad Talent ayyayaaii. Big up Gotta City🔥🔥. Mob Love. We Love you together. Madocho manze wewe ni Icon. Super creative. Keep doing. Mob Love.
Liyetin na Pingo wako humble bana,marespect💯
Embakasi to the fullest. Watu wangu wa Emba, GOTTA CITY to the top..
Kweli masomo husaidia kwa life juu stupid boy ni fala ajab😪
Bro na dai uni chape ka interview ndani ya kipawa show podcast,,,bana naka Vasho na mm ni upcoming artist,,,na uki ni show ni kam,,Haina mambo me nita kam through na fare yangu man,,,,,Ina semekanaga msanii ni bidii,,Sasa mm Niko ready ku kam uko kanairo,,,na nita ji lipia fare🔥💥💥💥💯🙏 follow back hii account yangu ya UA-cam uta cheki kazi zangu,,hadi PINGO OFFICIAL ana ni nauwo
Hawa ma boys me nawa tambua ile mbaya,,,🤟💯🙏💥🔥
Kali sana, gotta waingie studio watupatie sisi sio wanawake😂😂😂😂😂😂stoopid utoa wapi hizo verse
Liyetin man you're on another level you alone
Don't waste yourself na crew
Bigup Laytin +254 your wise Man ongeza volume a
Thanks fi bringing them together ❤️👊, that was my wish, onelove.madocho kasema la familia
We all have to agree that liyetin would do better alone
Absolutely
Exactly 💯💯 atoke qwa hii group
Unity is strength 😂😂ama tuwache speech
Walai 😅😅
Mtakuja regret mbaya *sana* . Na hii si mchezo. Na keep it real 💯. Hii ni biz. Opportunity ya kuchange life zenu, familia na watu wengine. Beef ni ufala sana time mngekuwa mnawork hadi doo ianze kuingia. Ju mkifiika kitu 40 years mtalia vile mlikuwa na opportunity mkawaste, saa hizo mkitafuta mboka yoyote mjifeed na watoi, mpeleke familia hosi etc. Ongeeni na ma OG wa hii game kama akina Abbas Kubaff, Mejja, Jua Cali. Pia study watu wa majuu. Akina Jay Z. Na pesa haikujangi immediately. Mtastruggle mpaka muone ni kama vitu mnado haziendi mahali. Lakini mvumilivu hula mbivu. Patience.
Pingo uko bingo 👏Big up kwa that Fahm de everything nah quarrels
Hio apology man hapana ,, hakuna respect hapo
Watu wakue kimoja ..Gota ni Wazing watrue Waki practise kua True..mnaeza Do hii kitu ...Alafu pia fuatilia apa Vile tu nilikushow😃..No disappointments 😁 sasa ndio hii Episode 5😛🔥🔥Go watch full entertainment like share and Sunscribe for more💯💖👇👇👇❣️ua-cam.com/video/9zwRUlvm_bE/v-deo.html
Kipawa you've mispelled the name liyetin Even after him saying it😅
😂😂😂 Akiyanani
Ngumi ni zako love that energy 😂😂
Pingo looks like a bright guy. Doesn't say much but akiongea ni stuff za maana.
#liyetin live ur lyf achana na Hawa wasee ...
It was heartbreaking though 😣
Ni stori za la familia hatukatai but kuna madharau flani iko hapo. Liyetin apewe heshima zake. period
Leytin ww ndio king Broo nakutambua siku zote 👊🏾
Ghany boy sniper hapa
NGUMI NI ZAKO
Lytin🔥🔥umefanya poa
Liyetin is de real deal...focus us a group reason mbaya ...we need music banaah
Mnatufukuza manze na vile mmetoka far
lytein ni mnaree🔥🔥
liyetin should go solo
Lyetin to the fullest hao wengine mafala
It's tyme gotta city waache kufake uganster coz they have a great future in the music industry
Uyu stoopid hananga lines zingine 😂😂😂😂
Gotta City manzee one love peace manzee sarane za kimbwakni
Ngumi n za mwenye anaonyesha😂😂
stop the beefing ......fighting isnt real.........stoopid boy is a real disapointment............big up lytin madocho and the rest.........na mshikane muimbe ady na mbogi genje ......ata OG anarespectiana na OCTO,,,,
Upload hio beat tufanye freestyle nayo🙏
Liyetin vibes uwa top sana. I rank him mbaya.
Ngumi ni jamo🔥
Azimio siku zote
🤣🤣🤣🤣🤣Weeeeehhh!!! N kubaya joh
Madocho alienda wapi jameni??
Mwanamuke😂😂
Respect muhimu
Liyetin uko sawa uko mpole i love you bro
Madocho ni simple mbaya ....... napenda uyu mseee ... stupid bana io bif choreeni za unyonyo bana talanta mnayo , me nadai beat na verse zile za kiujamo 💌💌
🤣😂 Kaliiiii
Big up sana real safaraz👏👏👏
Liyetin u can work alone n succeed coz this guy stoopid has no respect kiburi sana so do u hata kaa ni job dnt take in disrespect
Wasee n wakali most......liyetin😂
Sana
Ngumi ni mbwegze 👊👊 hamna content manze pull up your socks guys mbogi genje nawa rank👊👊
Music haraam
KIPAWA🔥🔥
#MC Atem 💞
Ngumi ni jamo👊
Lyetin alikuwa fiti kw crew bila yeye aiwak
Riyetin
Liyetin is the best Kwa io group
Nawalove wote maze🥰🥰🥰
Lyetin hata ndo mkali lyrically..ni fact tu si chuki
Lyteni ni mbaad kwa lyrics
Muko Poa Saa!! Eshimiane!! Beef Chini ya Maji!!
Bhangi ile iko kenya walai
Wagwan 👊
Pingo Official
Khaligraph need to sign liyetin
Liyetin chorea iyo mbogi. We ni mzii ukiwa loso nigga🔥
Ati akuna venye ...stoopid boy
mbona vybe zenyu ni mbaya
We need to create a partition to get leiyten out of this group....there is no future
Liyetin ndo natambua
Liyetin ni G big up bruh
Achane izoo
STOOPID MEDI HUKO MWISHO🥵🔥🙉
PINGO OFFICIAL 💥🔥👊
Vile ina suppose sasa👊
My only advice is for Lyetin to work hard and move out of this group. His character doesnt fit there
Gotta wote ni manyonyo @beaf ndo zao ngumi uaga mbili
I agree. Negative people always drag him down.
I agree. Negative people always drag him down.
Stoopid boy kiburi ndo ako na most
They don't respect each other
Manze guys woiye I've been hoping mtani invite hapo I'm the only NAKURU driller manze ua-cam.com/video/4AWOljpgPvU/v-deo.html
Jones pea liyetin collabo🙏🙏🙏🙏
Stupid akona kihere here afai kuwa kwa io gang👊👊asare unyonyoi
Muache beef mabro
Uyu stoopid..n stupid tu..,ako na kiburi mingi sana..
Madocho hawezi make sense ni abelu
Stupid hana respect bure kabisa
Stoopid n m stupid tuuu wa kawaida😭😭😭
Mbafaku kwegda
Stoopid boy weni malaya akuna vile uko
NGUMI NI ZAKO