Nampenda saana Bi Chao kafanana saana na marehemu mamangu hata akizungumza sauti yake na Ukali wake ni sawa sawa na mamangu marehemu namkumbuka marehemu mamangu saana
Kazi hizi haziwezi kujirudia tena zamani kulikuwa na watu wenyeuwezo wakuigiza sasa hivi kunawaigizaji wakujionyesha ndio maana utamu unaouna kwa sasa huupati hapa gsm ndio tumeanza nae hapo
@@lilyg2134 ndio tena unawambia marafk zako wakikuchokoza hauji kwetu🤣🤣 kucheki kaole group wanakuomba msamaha yani ww mfalme kitaa🤣🤣🤣 zamani hadi raha jamani
Nampenda saana Bi Chao kafanana saana na marehemu mamangu hata akizungumza sauti yake na Ukali wake ni sawa sawa na mamangu marehemu namkumbuka marehemu mamangu saana
Pole sana dada yang sisi hatuna wa maman wangine nazura zawo hatuzionaga
Pole
Pole sana kipenz ❤❤❤
Mm pia yatima wa mama😢😢
Asante sana mpendwa kwa movies nzuri we need more za mzee small na Bi chau please
Yaani jamani filamu hii haishi utamu jamani
Nimeona tik tok
I love this movie so much, R.I.P mze small.
The best swahili comedian
mzee small mungu akulaze pema
Mungu akuepushe naadhabu za kabur mzee smoll 😢😢😢
Bi chau kunyanyasa mzee small..apumzike kwa Amani mzee
good movie
👍👍nimecheka sana Kingwendu eti anapenda ngono kama Maasai na mkuki
Yaani kingwendu noma Haahaaaahaaaaa kanifurahisha sana na kukatika kwake👍🙏🏼😍
Hii movie haijaishia mahali nzuri
Chau mkorofi sana
Hakika filam hiyi ni ukumbusho wa meeengi tulio yaishi miaka mingi ilipita... Tume shkuru sana
Side boy.... 😂😂😂😂😂Bi Chau jamani... Sauti tuuh burudani... Mtuleteee.. Movies nyingine tena za zamanii... Kina nyama yao na muhogo....
Kajawaliwa mashalla
Jamani tupatupa anapatikana pande zp mana kimya sana yoyote ambaye anaweza nijibu na anijibu
Kazi hizi haziwezi kujirudia tena zamani kulikuwa na watu wenyeuwezo wakuigiza sasa hivi kunawaigizaji wakujionyesha ndio maana utamu unaouna kwa sasa huupati hapa gsm ndio tumeanza nae hapo
Move za sasaivi huezi ata kukaa nawazee ama watoto ukaangalia kazi yao kwenda uchi tuu
kingwendu noma Haahaaaahaaaaa🙏🏼😍
Nawapenda wote wasanii mashaalah Bi Chao hongera jamani
Jaman hii movie hadi raha
Jamani nilikuaga simjui bichau 😂😂😂😂✔️✔️✔️✔️✔️
bi chau rud kwenye gem unaweza sana
M
Jamani Bichau...mtoto mkumbwa kijana mzee ....
Bi Chau hata mwenye ezi mungu humwogopi
Part two yake iko wap?
Duuu. Hi mov imenichekesh ila bi chau kibokoo...daaa kwer dar ya zaman ilichangany wat
Ile part 2 yake majuto mganga wa kienyeji iko wap
Naomba part 3 jaman 😆😆😆 nzur
Bi chau alikua kiboko zamani hairudi
Nice
Namba 3 mutupe
🤣🤣🤣🤣🤣 Makaburi ya kwenu mpaka Kuku,Hakujuwa waisubiria kwa hamu hiyo talaka.Allah akurehemu mzee Small.
Aamiin
@@binthassancollection.6308 Àamiin.
Amiin
Et nimekuacha wew namakabuli yakwenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtakuja Kutuua kwa cheko
Khaaa we bi chau muongo hatarii
Tupatupa. Long time.
😂😂😂😂best
movie of all time 😂😭🤣
Hahahahaaa mwanamke shujaa haogopi talaka 😃😃😃
muendelezo pls
sha baby girl shambuwa hahaha
sha baby girl shambuwa
Hapo MTU tano tu small wangamba,bichau,tupatupa,pembe,steve...ujumbe 100%
Nabii mswaili
Haha ha
Bi chau 🔥
Hii miguu uiondoe😂😂😂😂😂😂
Huyu chau Jamani 😂😂😂😂unatisha mama 🤣🤣🤣
mwendelezo please
Kweli noma
Kumbe mzee alikufa miaka inne jamani RIP mzee small
Chau fire weye😂😂😂
Chakoli
Mwanya kama uchochoro
Jameni namtizama bichao pekeee hehehehehehehehehehe haloooooo
Matuc huwekwa kwenye dictionary gani kwani....oooh!
Imeishia pazur
Hongera san bi hindu
Faudha Ndaluko X-ray Da
Fire
😂😂ila chauu
Mama yako yupo kiparang'.anda😅😅😅
Rest in peace small wangamba
Restinpeac
Tuekee ya marehemu max na zembwela
Bi Chau kiboko vijuice kiroho juu😜😜😜😜😜😜😜😜
😂😂😂😂😂 Bi Chau muongo duuuuuuh maj ndo sababu hhhhh
Mama wajishauwa kumbe TV zavitumbo tuu nilidhani ni flat screen 😐😐😐
That’s 2004 flat screen ilikuwepo wap?
@@lilyg2134 n enzi hizo ukiwa nazo ww tajiri 🤣🤣 Tv z chogo zamani zilikua moto si mchezo n deki ukiwa nazo balaa
@@getrudamartin2409 kabisa yani mtaani unaonekana wa maana kisa kwenu kuna tv 📺😂😂 tena ya kichogo!
@@lilyg2134 ndio tena unawambia marafk zako wakikuchokoza hauji kwetu🤣🤣 kucheki kaole group wanakuomba msamaha yani ww mfalme kitaa🤣🤣🤣 zamani hadi raha jamani
mwendelezo
Unakifu kizur
mmmh yamiaka tangia utawala wa mkapa 😩😩😩
Assalam.aleyikum
eti mpaka kuku
Dah kitambo na hazichuji
Hahahahhaaa Uswahilini kukimbia sio lazima ufike
Nimecheka Leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
robby issack
🤗🤗🤗🤗
bi chauuuu kiboko
Ngedere wanavuta harufu ya mtu wa shamba😆😆 ww umetokapi
🙊🙊🙊🙊matusi unayatafuta kwa dictionary huyaoni jamani
mama kibokoo uyuuuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 hatari
Hahaaaa! Jamani kz hataki kufanya anawatia.aibu wandengeleko wenzie wacha wee bi Chau huyoooo
Bi Hindu anasubir kwa huyo bi chau
Muhibu kesh hahahahahaha
R.l.P😭😭
Ile juice iko pale pale naenda kuinywa😂😂😂😂😂😂😂
Ģģģģģvvggg
😁😁😁😁😁😁ngedere wavuta harufu ya shamba
RIP small wangamba
Bi Chau weeeeeeeee 😂😂😂😂😂😂
Bi chau kiboko
Khaaa
Eti harufu ya ngedere inawafanya wanyama warudi mjini hee Rest ln Peacefully Mzee Wangamba
Bi chau wacha uongo
Hahahaha kavutwa bila kupenda
😁😁😁😁
Ziwe zikirudiwa hizi za zamani tuburudike
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃
🤣🤣🤣🤣
Kitambo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu
Bi Chau shikamoo🤣🤣🤣🤣
Hawa ndo waliokuwa wanafaa kupewa tunzo...
,😂😂😂😂😂
Ngedere😂😂😂😂😂😂
😀 😀 😀
kingwendu na fashion zake😅
Hahhahahaah daah embu tuwekeni yote
Bichau😂😂😂😂
🤣🤣
hahhahha Et Unaniomba Nini Tena
Hahahah dah
🙄🙄🤔😂
🤣😂🤣🤣🤣🤣
Mobutusesekoinnocent1997
Nice
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂