ni sawa but you have to stay the sama kwa kuimba kwako, maana ukiiga you may get lost forever, so take care bro. However keep it up and congratulations
hata kama anasema amekuja na style nyingine ya music, eba sisi tunataka awashe tena bujumbura! yani enzi zao bujumbura was on fire kabisa na huko rwanda ilikuwa kimya tu. Piga nyimbo kali sana sana za kiswahili ili tuingie tanzania, kenya ka congo!! kiswahili lugha ya kwanza ambao inatumiwa na watu wengi Africa!!
Kazi kazi bwana mkubwa kauli zako nazi sapot sana maana ume ongeya ukweli ambao ume ni fanza niwe happy kbs black acha ni ongeye kuusu ngoma za kiswahili mi niko pamoja na wewe kama uta anzisha mziki wa kiswahli niko pamoja na wewe na mimi pia tarudi kwenye GAM soon tuu tu papbane na ngoma za kiswahili pamoja sana baba
Ngoma poa sana😊 very good song 🎵 😊 well done 👏🏿 Black G and big fizzo 👊🏿🫵🏿🇧🇮
Hongela saana Kaka tulikua too na ku miss❤❤❤❤❤❤
Big up saana brother watayemwo💣💣💣💣
Interview nzuri izi interview tulizipata wakati wa avec ismailNyokuru
Welcome back g rakini video n muhimu sana na rudi na kirundi field now n tofauti na zamani
Africano 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌welcome back Young Legend
Black g Come back na wimbo mbovu
Wimbo mkali sana 👊💯
Black G🔥🔥
ni sawa but you have to stay the sama kwa kuimba kwako, maana ukiiga you may get lost forever, so take care bro. However keep it up and congratulations
Come back brooo
We support home fest much love ❤ byz ❤
All in all respect blanc africa
hata kama anasema amekuja na style nyingine ya music, eba sisi tunataka awashe tena bujumbura! yani enzi zao bujumbura was on fire kabisa na huko rwanda ilikuwa kimya tu. Piga nyimbo kali sana sana za kiswahili ili tuingie tanzania, kenya ka congo!! kiswahili lugha ya kwanza ambao inatumiwa na watu wengi Africa!!
Ngom iko pow pamban mzee baba
Well comeback 🎉🎉🎉🎉
Kazi kazi bwana mkubwa kauli zako nazi sapot sana maana ume ongeya ukweli ambao ume ni fanza niwe happy kbs black acha ni ongeye kuusu ngoma za kiswahili mi niko pamoja na wewe kama uta anzisha mziki wa kiswahli niko pamoja na wewe na mimi pia tarudi kwenye GAM soon tuu tu papbane na ngoma za kiswahili pamoja sana baba
Kaka safi sanaa
Real talk-show Real G 😈💯
🎉🎉🎉🎉
Black G🔥
❤❤🎉🎉🎉
BrackG mwanae Dj Pro
Ase aye njo mwanzo mwisho saluti kabisa naikubali
Nakubali
Mungu akurahisishie 🙌
watupe video sasa
Swahili nationale
Ok 👍👍👍
Video nimhimu sana Black
Shaa Nipo Nyuma Yako Hadi Ikukere😂
Ako kagabo karatera Inda cane !
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Iyo 🎙️ ni fimbo
Unyama🥷🏿🦍
Tangia kitambo huyojama tunamkubali saana
Ivi akirudi kukakimya myezi mitatu tunamgeuka sisi
ulipewaga nyimbo na SMART JABA ukashindwa kulipa,huna nyimbo yoyote.lipa pesa ya Jaba.
huna shukurani wewe.