Rigathi Gachagua: Mimi ndio nililetea Ruto kura za Mlima Kenya
Вставка
- Опубліковано 27 вер 2024
- Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Rigathi naona akiondoka na kura zake kama ndio anaona za maana sana. Huyu ana akili fupi sana.
Kachaqwa drama is nothing short of the Last kicks of a dying Horse... shenzi sana 😜😜
HillaryKoech na mtangojaa sanaa
Wote waende nyumbani , wamechoka nakudumia wananchi.
Ndoa imevunjika hapo. Imebaki wapeane talaka😂😂😂😂😂😂
Wewe Gachagua vuruga pia ruto aende we need fresh blood nyinyi mmeshiba sasa
Hapo kweli
The truthful man can make a good Governor NOT a DP
PRIDE COMES BEFORE A BIG BANG FALL.....RIGATHI BIG FALL
Gahcagua ww ni deputy ya kenya wote ama ni deputy wa wakikuyu, mbana unasunguka tu Central peke, thise darty politics
Wakati mwingine tumia akili .nia yake nikungoa ruto kutoka kwa mlima.
No work just politicking. This govt has failed Kenyans
But pia mimi hushangaa hizi ng'ombe huwa zimekuja hizi mikutano huwa zimekula nini nkama robots tu
most of them are mobilized and paid so that they can attend the road shows
How I wish Kikuyus had listened to Uhuru
Wagikuyu vichwa ngumu na waliambiwa tu
Wacha ukabila. Ruto will win with or without a particular tribe. Hii Kenya ni ya gen z going forward.
In the next 4 days atakua raia😂😂😂😂
Kiti ilikuwa ya Professor.
Why sweat when you have the whole mountain behind you......
Resign instead, then come with those numbers in 2027........
That is the only way to show us how many people voted because of you........😂😂
KK would still have gotten the same number if not more in any of the Murima people was to take up running mate in KK.........😂
Wewe resign.badala ya kuchujwa, come show us these your numbers in 2027..... Wacha kuogopa na uko na watu 7milion.......😂😂
Let Gachagua speak all this in another region and then we'll see what next..
True
Anawaaibisha wakenya muondoeni iyo ngombe iliyo na akili ya ukabila tu😮
Kazi gani unafanya ukabila mjinga
Ina maana hii kenya yote haina maana hizi kaunti zote hazina mara kabisa katika nchi ya kenya lakini nchi kaunti yenye mana ni mount kenya hey kama sio kabila huu wenye mlima na mountain
Atoke haraka na awekwe ndani arudishe mali ya uma......hata ruto tokeni nyote mmeshindwa na kazi........ useless.
Again and again the people of the mountain will always making everything political tribalistic. I am surprised how long this has worked but i will give one thing, he is right that if he goes Ruto should also go.😅
Gachangua akiteuliwa kama running mate , Ruto had already won the hearts of mt Kenya people.
True kama Mimi
Huyu mtu hujiona sana..hizo sympathy votes tafuta tu huko murima
Hapa Kenya tutapumzika tu mbinguni😅
The truth is hakuna kura Gachangua alileta kwa Kenya kwanza . Gachangua was even not the choice of Mps
Gachagua mkabila anasema nini.
Enda ongea hizo ukabila kwingine kando na Mt Kenya if indeed ur a national leadr¬ a tribal begot.
Ukabila aende
But its true 👍 if not for this man
ADANI ANGEKUJA KENYA
Thats the way to go.They should go together.IRiggy G is 🔥.
Piganeni wakati ndio huu sasa 😂😂😂mngetengeneza uwanja mkubwa maana vita nivikubwa mno😂😂😂
Rais Ruto ndiye aliyetuletea Gachagua ,not the other way round, tungempigia Rais Ruto bila wewe
mimi sikuchagua ruto juu ya gachagua infact i prefered kindiki but i do not care about politics wakarangane wenyewe
RUTO APEWE VOTE OF NO CONFIDENCE!!!! WOTE NYUMBANI
We around the mountain voted Ruto because of Gachagua. So no Gachagua no Ruto. Wote waende
Kazi gani munafanya inatanjika mwende wote. Shida tupu ndiyo mumeletea wanainchi mtoke hamunafàida. Kwendini kabisa
Gachagua utakuja lini pia Nyanza ,sisi pia ni wakenya na Kuna Milima pia huku please tembea
Tuesday uko Nyumbani
Kwani Hawa watu ndio walipiga kura pekeyao
Shut up Mimi nlichagua ruto not bcoz of u ... Huyu jamaa ata anatuchocha sasa atukome
Nani ataniongeza unga kwa meza yangu either atoke asitoke? GeN Z ndo walikua waninusuru kwa hali ngumu napitia kama wanjiku lakini hauku i support
Wananchi wagani wa mlima ama
Wasiguz mrima . Hapana hio
Muendelee kupendana 😂
But not my vote. I voted Ruto independently. Please being tribal. You are a national figure. Am sorry but we need a a statesman not a tribal warlord. This village mindset is detrimental to you big brother. We don't need kings in this time and age. Jesus is our king and Ruto is our President please respect that then seek for apology but telling us ulituleta kwa Ruto is an insult and a lie and you know that. We choose Ruto cause we decided.
Wewe na nani? Wacha kuongea kama unatumia bakuli kama akili
Kojoa ulale mbwa
Jinga
Hujui at kenye unasema. "Ati I voted for Ruto independently."
😮😮😮 self hate is real.
Uongo!Gachagua ulikula vya bwerere
Gachagua kwani we una kura gapi?
Uliza ruto ni ngapi?