Watumishi wapya 82 TFS wapewa Mafunzo ya awali ya uelewa wa kazi (Induction

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2021
  • Watumishi wapya 82 TFS wamepongwezwa kwa kupata bahati ya kupata nafasi ya kufanya kazi na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS na kutakiwa kufanya kazi kwa moyo wa ujasiri, ukakamavu, nidhamu huku wakizingatia weredi mkubwa katika kuhifadhi misitu, kuongeza maeneo ya uhifadhi sambamba na kusimamia matumizi endelevu ya misitu nchini.,

КОМЕНТАРІ •