🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • 🔴#Live: KIMENUKA KAHAMA! MAKONDA ATINGA KWA KISHINDO - ANAJILIPUA AKISIKILIZA WANANCHI...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 16

  • @DavidMalimbegu-dq8tp
    @DavidMalimbegu-dq8tp Рік тому +1

    Kwa kweli makonda Mungu akulinde sana maana unakutana namajabali du!!! Utalipwa na Mungu usipo zimia moyo utavuna duniani na mbinguni ukavune

    • @DanielTumaini
      @DanielTumaini Рік тому

      Ni kweli Mungu atamlipa kama alivyomlipa magufuli

    • @DanielTumaini
      @DanielTumaini Рік тому

      Ndio maana Magufuli saivi anafagia nyumba za malaika

  • @jjjohn3988
    @jjjohn3988 Рік тому

    Mheshimiwa Rais Samia, kumteua Makonda kua katibu muenezi ulimtendea HAKI kazi anaifanya kwa moyo mweupe Mungu amuongoze nasisiwanachi tumemkubali sana. Kazi iendelee.

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 Рік тому +1

    Yaan jmn swala la kujifungua msilifanyie masihara jmn mtu anaumwa uchungu harafu mnamuomba hela km hana hamumuhudumii vzr na au kuwatesa inaumiza kusema ukwel

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 Рік тому +1

    Mh,Makonda hiyo ndiyo Tanzania yetu Wanyonge hatuna haki, Ukiwa mkweli ndo unakandamizwa zaidi hata unacholalamikia utanyimwa hata kama una haki.

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 7 місяців тому

    MAKONDA unapo ongea kinyumbani unatueka mataani, please tumia national language (swahili) or english at least

  • @amarually5457
    @amarually5457 Рік тому

    Mama yetu rais wetu watanzania tuna onewa sana na viongozi uliowapa dhamana ya kutuhudumia angalia mkuu wa mkoa yupo mkuu wa wilaya yupo lakini shida za watu hazitekelezeki mkurugenzi anapata wapi jeuli ya kupinga maagizo ya mkuu wa mkoa tunaomba hawa wakurugenzi wazembe uwawajibishe

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 Рік тому

    Hi nchi tukifahamu hu mchezo hawatatusumbua akili

  • @HeriMohamedi-p6g
    @HeriMohamedi-p6g Рік тому +1

    Watanganyika mambumbumbumbumbumbu huyo makonda yangu ameanza kuzurura amefanua kitu gani cha maana kama siyo anacheza na akili za watanganyika

  • @sulemanmagesa2181
    @sulemanmagesa2181 Рік тому

    Watumishi na viongozi mikoani hawatimizi Majukumu Yao. Wanaingia Ofisi za Umma kutengeneza deal za upigaji TU.

  • @amarually5457
    @amarually5457 Рік тому +1

    Mh mwenezi huyo mkurugenzi hafai muonekanowake tu anaonekana jeuli

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Рік тому

      Sio kwel Msumba n peace sana ila Hawa wa chin yke wanamuangusha na akiwagundua hawaachi

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Рік тому

      Makonda anatuonyesha, sisi ni nani upendo tunaojidai kuwa nao ni unafiki tu.

    • @KipajiMgalula1
      @KipajiMgalula1 Рік тому

      Makonda unatukumbusha bali mungu atapigana nao wanakuchukia ww na aliyekutuma mama sasa anavaa kiatu

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Рік тому

    Haya matatizo yanastahili sheria na mahali pake. Kwa hali hii huwezi tatua matatizo ya ardhi nchi nzima. Tukiri kuna shida katika uongozi. Na uongozi nchi nzima ufanyiwe kazi ili matatizo yote ya ardhi yaishe. Ni mapungufu ya kiserikali nchi nzima. Hii itakuwa njia sahihi. Si hivi.