Lava Lava - Maji (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- Download The Song👇👇👇
lavalava.lnk.t...
For Bookings: iamlavalava@wcbwasafi.com
Follow Lava Lava On:
Instagram:www.instagram....
Facebook: / iamlavalavapage
Twitter: ia...
#wasafi #lavalava #amazingfacts
Daaa hiii nyimbo ni hatariii kinoma.....
Mi wa kwanza félicitations Artistes lava lava l m followers from Congo drc🇨🇩
Jamaa anajua Sana hii Ngoma klub zote ni nyimbo pendwa tatizo sasa, Sisi shabiki zako hua hatu fatilii mitandao ya jamii "tukutane club mwanangu "🎉 maaji maaaji
From 🇨🇩 nipo makini nawe mr lava, ongera
Jamn tunao mkubali mwamba please please naombeni hata like tano please
Hili Amapiano ni kali saaana, naombeni likes za Lavalava na producer wake MR LG 🔥🔥🔥🔥🔥
Namimi wa kwanza kutoka ZIMBABWE 🇿🇼🇿🇼
Wa kwanza kutoka Kenya lkes zenu pliiiz
Una pigwa muwa ww
@@SebastianDaniel-mb4nl sikuelewi broo
nimwakwambia uwache kiherhere
Oky😅😅
worl wide song we simbaaaaaa 💥💥💥💥💥
JAMANI kama kweli unaitani tuzo kwa lava lava tupia like Hapa tujuane
Wakwanza mimi like please
Unapigwa muwa ww
@@SebastianDaniel-mb4nl shobo tu kuoga haaaa
@@Eagle_Sound like za nn sasa bweg ww usikut mtoto w kiume kabs utashonwa😀
ua-cam.com/video/bcAhdBBAm-o/v-deo.htmlsi=6EEeE8_zBiTzFEyi
Llllllsondg😊😊😊😊😊@@SebastianDaniel-mb4nl
Nipeni maji nkunywe❤❤❤❤
Barry Gingel ft lavalava. 2028🔥🔥🔥
Wimbo bora amapiano bora wa mwaka wala sio siri tunakupenda❤tuna ku aminia na tunakupenda saana
Umetisha video kali
Mwaka maji tucheze kama lavalava ❤ like zangu ni mimi
Lava lava greatest of all time......🎉🎉❤
Kama unaamini lava lava kabadilika kwenye muziki saiv Yuko vizuri gonga like apa tujuane
Usipo mkubali lava lava uwedibinguni 🙌🙌🙌🙌🙌
Pantho kingdom kenya tumepitisha #maji maji @likes hapa ukiikubali❤
Wakwanza 😢mimi nipeni like zangu
Maskio yako mazuri sasa hivi, uliskia nyeeee hivi umeskia kiu 😂😂😂😂😂😂😂😂 kudos bro ngoma kali . Toka Somalia nakukubali Sana. Wasomali like zenu ziwe hapa 👊
Kenyans we love this jam
My favorite lovely lava kipenzi changu hii imeenda kichupa kari 😊😊😊
Wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda lavalava champion 🇨🇩🇨🇩
Kazi zuri mdg wangu 😊 upo ki yesu yesu
Huu mdude kumamamake 🔥🔥🔥
Video Kali ya mwakaa Pablo 🎉🎉🎉🎉🎉
Sema lava anajua San sema amumzingatii
Lavalava sku❤❤ zte hatari
Njameni mimi nakuwaka wa kwanza kila Siku lakini sinja waii patanga hâta 1k plz 🙏🙏🇨🇩
lava lava hii ngoma ni kali sana... nimesikiliza sana nimejua uzur wake
Wcb wasafi tujuane apooh ndugu zanguni 🥰🥰🥰🥰
Lava lava unafeli wapi mzee kama VIP toka wcb atakupoteza😂😂👍
Nyieee Kwani Lava kawa mssa
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ngoma ya motooo hii 2024
Lava lava ni fire sinabudi kukupa mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Hit baada ya hit💯
Nouma mzee wang lava🏆🎧🥂🍷
Uko juu lavalava
Goma kali sana Love Bite
Nakupenda sana kaka
Nakubar sana,,🔥🔥🔥
Jama anajuwa sana🎉
Je viens de la RDC 🇨🇩🇨🇩 je te féliciter beaucoup mon artiste préfère lava lava
Ivi sasa lava lava kajipata binge la nyimbo
Hili goma 🙌🙌🙌
Amapiano imeharbu content na. Mashairi yenye mafunzo kwa wasanii wabongo,,, ila nyimbo nzuri kaka. Lovebite,, maji to the world ❤
🎉 Kula chuma hicho 🎉🎉🎉
Bongo fleva super star
Kubabakeeeeeee bonge la video mjuku wa mzee BUKUKU KIGOMA MOJA 😂😂😂😂
Combination ya love ❤ bite na mr LG inakuanga tofali❤
Tulisubilia kwa ham kubwaaa
❤❤❤❤❤❤much love from kenya 🇰🇪
All way from Ghana 🇬🇭 love you lavalava❤
Sina mengine Léo team lava lava Naomba 🎉 like zangu 😮😮😮😮ata tatu mimi nashukuru 😮❤
Nimeamuwa kuwa wakwanza ❤ebu tukusanyike sote apa
Pablo hashikiki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂
Video director 🙌🙌🙌🙌🙌
Lava this is a hit 🔥🔥
maji ya teargas mwagaaa kenyaaaaa my people ingine ndio hii
Nice song Mr lavabite
Nomaa sana livbite
I like it. Bless ya from Slovakia 🇸🇰
Mama uko vzr congrats❤
Kuimbaa ty kuvumaaa aaah
Unajua ukiangalia hii ngomo kama mtanzania unakua uko proud kuwa mtanzania...simba anatuwkilisha ...
Rest in peace magufuli
Aidia Kali Sana ya video 💥💥💥
Ungempa diamond hii sngekua star dunia nzima
No 1 here
Unajua lavalava 🔥🔥🔥
Big up love bite.....🎉
My Kenyan people 🇰🇪💪
Hatali sana 💯🔥🔥
Mr. Lovebite🔥🔥🔥
Dah ulipotea bro
Tunao mkubali Lava lava tuyuane hapa Kwenye Like Nasubilia Nione Like nyingi kwa Lava lava 🎉🎉🎉
we pablooo hushikikiiii🔥
kazi nzur kaka 🎉🎉🎉
Khaliii sanaaa Lava mohlove as kutoka 254
Huku Kenya tunakunywa na ruto bna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
WCB WASAFI ❤❤❤❤❤
Nice song keep it up brother 🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥254 representing 💥🔥
Kaka umeuaaaaaa hiiii ngomaaa🙌🙌🙌🙌
Wakwanza mimi KUTOKA inchi ya Congo 🇨🇩
Nipeni MAUWA YANGU JAMANI
Pachaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
First artist from Tanzania
wa kwanza from Tz
From Congo 🇨🇩 I like it
noma sana🔥🔥🔥
Wcb team 🔥🔥🔥🔥
😂😂 ngoma kali kikumaaaa
Hit song video imepoza Sana Alikiba tafuta wabunifu wa video
Maji ya kati tamu maji maji tamu😂😂🇰🇪🔥🔥🔥
weweeeeeeeeeh iyooojee kunawakupingaaa
Director kauwa🔥🔥🔥
Wa 81 jaman mbaliii ila tia like kenge nyie😂😂😂😂
ngoma Kali sana
keep it up mi bruh 🔥🔥🔥
Eeeeh lovibite 🎉🎉🎉