Mtangazaji unachanganya mada, mwanzoni umedai amitha alikuwa na ndoto ya kuwa injinia lakini baadae unasema mara baada ya kuajiriwa kuwa dalari na kupata gari lakini hakuipenda kazi yake na hivyo kuikumbuka ndoto yake ya sanaa, jitahidini kuwa waangalifu na taarifa zenu...
Kama unapenda huyu kaka wa story book anavyoelezea na hunapenda haendelee gonga like yako hapo.
Elizabeth mimi nakupenda wewe
Kris brown
wallai uyu kaka anaeleza KTU unaelewa kbsa good boy
Aisee napenda sana kusikiliza iz story
Elizabeth Rogath nakubali tuma nomb yako E
anaeikumbuka filam ya amitha batchan iitwayo andhaa kanoon agonge like apa twende sawa
Sio yake ileee alishilikishwa
Sio yake ileee alishilikishwa
@@musakhamis6906 aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaààaàaààaaàaaàaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaààààaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaà
Amita the legend, i love hindustan movie.
Kama haujawahi kupitwa na hiili pindi gonga like tujuane
Vp
Wow,such a great Actor...Napenda filamu zake
What a voice ..you rock!
Sauti yako ipo vizuri mbaka story hata kama sio nzuri utasikiliza tu wewe eee eee
Kazi kazi Wasafi Nakubal kazi zenu
WASAFI tuko vizuri sana Amina
Wa pili jaman naombeni like zenu👍👍
za nn sasa manina
Kessy Emmanuely hapo sasa
Nimependa stor
Mungu amwongezee maisha 🙏🙏🙏binadamu wanatoka mbali angekuwa Tanzania 🇹🇿 angeambiwa ni Freemason
from Kenya the story book iko sawa sana naomba utupee the story book ya marehemu Steven kanumba
Amazing...
Keep up!
Asante sana my brother from another mother ubarikiwe Sana mpaka ushangae
More fantastic story , I like this story . #KITUA
Masha allah 😍 nampendaga sana ❤️❤️
Nimewahi like zangu wazee
Munguakuzidishie
He is a great actor in Indian and I love his family and their movies
Wewe ktk kuoa chukua mwanamke ktk instagram like na comment na utatembea na sabuni mfukoni mwa suluwali bila kujielewa maisha yako
Kali sana
Nampenda sana Amitah ..amiin inshaallah
Big kiukwel wasafi siwapendi ila kusimulia na swaga 👆 unazo na unajua Big Bang
🤣🤣🤣🤣Jmani
Asanteeeh sanaa
Tunaoburudika na story za WCB FM naomba like zenu
jamal. mtiga.juu sana mpangilio wa story uko vizur kaz yenu iko vizur
Allah akupe maisha malefu sana mtigaaa🙏🙏🙏
You are a great orator
Nim penda sanaaa sauti yako kak 😍😍😍😍😘😘😘
ofsa upo vizuri
Him and shahrukh Khan are my best actors in Bollywood......
Nice story
Am in love with this voice 😋....baaaaas ni hivo Tu
Nataka nikipe namba zake
Aminaaa....
Huyu Mzee ninooma miepia ni shabiki wakweli saruutiii" Amita
Amazing story
Upovizur sana
Zuri sana nimeipenda
Hongera sanna tunajifunza vitu vingi ktk history hiyo
Tamu zaidi 🔥🔥🔥🔥🔥
Anaweza
Uyu mzee Amitabh bachan akiakti kama baba nampenda sana kama baabul, EkRishta na zingine za love story namkubali sana..
Baghban pia
@@husnatgamaah1335 zipo nyingi
Kama unamuona amitahbhachan hands ome. Gonga like 💗
Itapendez stor book imwangukie Diamond
Wooow story nzuli sana
Nimekipenda jamani hii stori
😍😍😍😍💜💥
Wasafi tuko vzr
Ulibuni kitu kizuri Kaka hongera
Mi citak like zen ila natak like za mtangazaj
Story nzuri
Daaaaaaah huyu ndio star ambaye namkubali balaaaa ipo poa lete story ya star anayeitwa ajey
Govinda, story yake huitaki?
safi sana
Amina baba
Duuu hatari sana Kukata tamaa kubaya sana sitokata kamwe hata nianguke zaidi ya mala 100
inshaaallah
Saafi sana
kazi nzur
Osama jaman
Osama nae munzungumzien🇹🇿
Nzuri sanaa
Amittah Bachan mzee wa Andaah Kanon
Amina
Favourite actor
Watatu leo kokoment so like zenu wandgu ha ha da huu msemo wa kuomba koment nooma sn
Mtangazaji unachanganya mada, mwanzoni umedai amitha alikuwa na ndoto ya kuwa injinia lakini baadae unasema mara baada ya kuajiriwa kuwa dalari na kupata gari lakini hakuipenda kazi yake na hivyo kuikumbuka ndoto yake ya sanaa, jitahidini kuwa waangalifu na taarifa zenu...
Bulaya Confidential hata mm hapo kaniacha hapo maana ka mix huyu.
Bulaya Confidential mungu anakupa unachostahili hakupi unachotaka
Ukiona hivyo hana uhakika na maisha ya huyu mtu
Wewe ulichokuwa unawaza ukiwa mtoto ndo ulivyo sasa
Shida ni pale wanasema eti ni mwigizaji bora wa karne ya 21 wakat hatujafika hata robo ya karne ya 21, kivip kwa mfano?
duh Istagram bay bay nisije tembea na kipande cha sabun mfukoni 👏😂😂
Napenda unavyotangaza hot voicee
_nakubali sana story zako_
Tunataka istory ya shah rukh khan
Ni muigizaji mzuri sana mard sholay hum adhakanoon
Nzuri sana
Story Ya Osama Binladen Please 🙏🏻
Please 👍👍👍
Kwakwel??
@@fatmamwinyi8102 hhhhhh
bachani noma sanaaa👊👊👊
💥💥💥
👏😘
kafanana na mwanae sana mwanae nae mrefu sana pia ss kazeeka masiki
Najua Sana sana Mkoga kusimuia
Tunataka history ya Osama biladen??????
Mbna ishatoka kitambo tu xachi utaiyona
Wiliam juliasi ipo iko wapi bhn wewe acha miyeyusho bado hajatoa
😂😂😂😂😂
Nickson Daniel;;Mm niliickia lkn ilikuwa ni HMG na sio wasafi labda ndo kakusudia hukoooooo kama cjakosea.
Imetoka nyinyi
Good
Big bachaan urefu
Osama
Yap
Pa1
Ameen
Matangazaji hujui kumalizia story, hukueleza ana watoto wangapi.
Pamoja sana
🎉🤝💪💪
million 1 movie moja
Amiin
Hiii ndio maana ya Never give up hakubali kushindwa kweli
yaaaani ww jamaa unajua sana mpaka unaboa...
Namkubal san jamaa
Nimeipenda sana hiyo tutatembea na mche wa sabuni mifukoni nwetu nyie wasafi mnafurahisha sana🙉🙉🙉
Mtigaaaa leteeee na xtory kumuhuxu jack chan
Sawa
toa story yngu hebu
Ameen🤲
👏
Eti utatembea na sabuni kwenye suruale😂😂
Ntamwita mwanangu amithbh