Sijambo la kufurahia jammani unaempenda mwanamke halafu huna pesa kivilee ghafla anatokea mwenyepesa mtu na nusu maumivu yanakuaje swali Kwa wanaume wenzangu.dah tudisahau jammani kama Atadinu tudanu.ukimfanyia mwenzio nawe utafanyiwa dah dulah pole muachie mungu na Allah atakupa mtakaependana Kwa dhati insha Allah.
Hili liwe funzo kwa dullah na wanaume wote muache viburi ikiwa mumemuingiza mwanamke ndani mwanaume akioa anajifanya ashamueza mwanamke anajua Hana pa kwenda Sasa kamuacha akategemea atapata shida na atarudi kumbe mwisho was siku kaumia yeye mwenyewe muache viburi ndio haitaki kiburi Wala majigambo
@Millard bana eti ndoa ni jambo zuri afu anaongea ajihamini na rafiki zake wanacheka sanaa, Frida anasema I don't know lakini (cheki dakika ya 13 na sekunde 14 na kuendelea)
X anateseka, ndo mjifunze kuwa mwanamke akikupenda amemaanisha na siku akiondoka utajuta hapo tayari Ana Homa ya kuachwa atulie, Kuna mda mateso mnayataka wenyewe kwajiri tayari vichwa vyenu vishakallili ukimuoa ndo basi tena. Mwanamke anataka kueshimiwa na sio kumletea umaarufu wako
Wee dula huna aibu hujamove on na huwezi kufanya maana ulijiona kidume kumbe kipaka tuu iloooooo hujui mapenzi kajifundishe kwa bugati kuleeee cha uso kimekuuma 😂
Dulla Ajaongey Kibaya Kweny Wimbo Wake "Furahi" Amewapongez Na Kuwapa Ushauri Tu🤣🤣🤣🤣
Kwann sasa amtaje jina mzungu!!! Kutupa jiwe gizani sio
😮😅Ndiooo_🤦🏿♀️ 😅😮
😊o to order😊😊 otoh op😊😊😊😊@@abubakarykhaji8164
@@abubakarykhaji8164phoneoipo
HaSWAAA
Nafkiri dulla ndio mshindi aliyekuwa anatafutwa na bugate apewe mil 50 zake yy ndio mshindi wangapi wanakubaliana na mimi jamani😂😂😂😂😂
I have started to accept singeli music through dula because his anger has been able to turn it into a business, congratulations to him.
manara anatakiwa ajiandae kisaikorojia maana huyo mwanamke anatamaa
Sura ya frida leo inamaswali mengi Sana hady natamani nimpe huge..... Deep huge......
Huyu dada, namkubali sana, Yuko vizuri.
Ni kweli kbsa huo wimbo hajamuimbia zai na manara, ila mmi ulininywea p2 huyo mzungu mzalie.
❤❤Milad kaka mmoja hiv uko smart sana.❤❤❤❤nakupenda bura❤❤❤❤
Sijambo la kufurahia jammani unaempenda mwanamke halafu huna pesa kivilee ghafla anatokea mwenyepesa mtu na nusu maumivu yanakuaje swali Kwa wanaume wenzangu.dah tudisahau jammani kama Atadinu tudanu.ukimfanyia mwenzio nawe utafanyiwa dah dulah pole muachie mungu na Allah atakupa mtakaependana Kwa dhati insha Allah.
I love Frida's choice of words na utulivu. Keep up girl.
Haina comeback hyo ngoma lazima ipande kwa Trend #KingofSingeli
Ndo uweke li link la li wimbo wako libaya kwanza 😂
Ila nikweli ukiachwa unajipa matumain atarud tu ila ukisikia kaolewa au anaoa hapo ndo hapo
Mkumbushieni Zaylissa akumbuke anaemuoa ni BUGA asije mtaja MANARA maana hapo kaulizwa yuko tayari kuolewa na BUGA nae kajibu ndio
Aisee! Bonge la point. Ila naona kama kuna mtu tutakuja kumkosa. Maana gharama zinazotumika nikithamini na muda wa ndoa zenyewe! 😢😢😢
Ni mipango tu imegongana mfano maandamano na usafi sem dy dullard yuko sahihi manara yuko sahii tatizo ni dy tu
Hili liwe funzo kwa dullah na wanaume wote muache viburi ikiwa mumemuingiza mwanamke ndani mwanaume akioa anajifanya ashamueza mwanamke anajua Hana pa kwenda Sasa kamuacha akategemea atapata shida na atarudi kumbe mwisho was siku kaumia yeye mwenyewe muache viburi ndio haitaki kiburi Wala majigambo
Kweli kabisa âme umiya saaaana
Dullaaah acha mi pia ni furahi
Mim namuelewa dulla jaman mm nilisha wahi kumuacha mtu nilikua nampenda San na faham uchungu wakuchwa. Ila Sasa kwann dulla uimbe mzungu
Kwani Manara mzungu
Dulla aminia mwana....Nimekukubali
Dula ajaongea vibaya jamani dula unapenda walio shindikana wewe ebu njoo kwangu mimi jamani shamba girl😅😅😅😅
Dulla makabila alikuwa anampenda zaylisa ndio maana kamuimbia wimbo
Loho inaum jamani😂😂😂
Tunataka Millard Ayoo uoeee jmn na Frida uoleweee tunahamu na ninyi tuwaoneee mtakavyo shine
Simjui Zailisa lakini nikama mwanamke mzuri kweli mbona Amina anamlilia sana
Hata dulla mwenyewe kamlilia 😅
Kula chuma hicho
Jmn huyu dada mzuriiii ....❤ Hlf unafiki mwing usoni mwake
Kama hapelekewi moto kumbe anaenjoy mbaya 😂
Mbona wao wametoa wimbo wao na nandi
Dulla kaza but haya ni maisha tu
Kwa jinsi ninavyopenda joto kuliko baridi natamani hata tubadilishane hali ya hewa..Maana huku nilipo baridi mpk najihisi kuganda. New Delhi India
Haji ataoa tena maana anaona sifa kuoa oa😢😮
@Millard bana eti ndoa ni jambo zuri afu anaongea ajihamini na rafiki zake wanacheka sanaa, Frida anasema I don't know lakini (cheki dakika ya 13 na sekunde 14 na kuendelea)
X anateseka, ndo mjifunze kuwa mwanamke akikupenda amemaanisha na siku akiondoka utajuta hapo tayari Ana Homa ya kuachwa atulie, Kuna mda mateso mnayataka wenyewe kwajiri tayari vichwa vyenu vishakallili ukimuoa ndo basi tena. Mwanamke anataka kueshimiwa na sio kumletea umaarufu wako
🎉❤frida nakupenda ❤❤
Nawapend sana zai omani
Nakufwatilia sana mido kutoka zambia shiku nikiza tz nitakutafuta bro
Unaweza kutembea ukahisi harufu ya mishikaki kumbe pumbu zinaungua
Imekuchukua muda gani kufahamu kuwa Ayo na Frida wamefanana sana
Mbona kama Frid kinakitu kimekugusa😂
Wabongo kutwa kufatilia mambo ya kimbeaaambeaa
aaaah...! dulla kwan hamunjui ni mtu mmoja matata kwenye uimbaji na ni mtaan sana viongoz wote tz wanamfahamu ni mtaan tu
Na kwenye ndoa dulla tunataka nyingine mashabiki zako
Huy kak macho yake mm❤😊😊
Roho inauma aiseee co poa
Acha mwanangu kuna kavibe cha maumivu kanapitaga kwa moyo haswa uachwe afu mbaya zaid umuone akidate ,,,, damn,,,,
😂😂😂Eti twiga wambagara
Sema frida nahuo mwanya mie hoi😂😂😂😂😂😂
Zai n drama queen 2 hamalizi mwaka
Atatulia Inshallah
Bado ajasema lazima aseme😂😂
Nakuomba utulie unaolewa na mnzungu utulie.unaolewa.na.mnzungu umzalie 😂😂😂😂😂😂😂 Mara na zai😂😂😂😂😂
Kwani manara mzungu au zeruzeru jamani mbona mnataka kumonea dulla
😂😂😂😂😂😂😂
Maneno ya mkosaji ndio hayo....
Makabila kaa kama Mwanamme Kwani peke yako ulokataliwa ????
Unatilisha aibu kama wewe na Mwanamme...
Frida ni mrembo sana alhamdulilahi kabisa! lips kama cjui nn vile
Hujaona mwanya ww🤦🏻♂️
Spend mwanaum waiv mnaachan hlf anaanz maneno,,kwann uskae kimy km wengn jmn
Milard 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
*nataman umeme ungelikatika mazima ilimtengeneze mkimaliza muwashe mkikata tukutane 2025 kuraaaaa*
😅😅😅
Manara ampe zawad yake
Mirad ayo sauti tu 😂😂😂😂hoi😊
😂😂😂😂😂😂😂😂niko sambamba na dulla 🤝🤝 atoe nyingin ya kumuombea kuachan na uyo mzee
VIDO NAWEWE UNAOA LINI😂😂😂😂😂
Kamuimbia zaylisa wewe😊😅
Media kubwa ina report upuuzi
Wee dula huna aibu hujamove on na huwezi kufanya maana ulijiona kidume kumbe kipaka tuu iloooooo hujui mapenzi kajifundishe kwa bugati kuleeee cha uso kimekuuma 😂
Mh unaemsifia sasa!!!
Tzd Amna joto njoo.oman utajua ujui
Mamaye 😂😂
Vido naww lin
Dulakavurugwa
Kadamnasi😂😂😂
Shida sio kutoa wimbo ,kwann amuimbe zai?tatizo la wasanii mnaigiza sana mapenzi alafu mnaumia,😢sasa kwani lazima kuoa msanii mwenzako.
Labda sijauskia vzr.😂😂😂 mbona kama hakuna jina lolote
Sema vido Vidox una ka unafk kwa mbaliii😂😂😂
😂😂❤😂😂😂😂nihatar wataacana
Arusha joto lipo lakutosha acha
Dulla kamuimbia zai kama sio zai kwa nn amtaje mzungu halafu aseme huyo mzee anatatizo la kuzimia
Utajuahujui😊
😂😂😂
Ni mzungu wa kwenye wimbo sio huyo unaemuwawaza😅😅
😂😂😂😂kumbe manara ni mdhunguu😂😢
Tafuta pesa
Wewe millard Ayo utaoa lini? na wewe dada utaolewa lini??sio mnachambua ndoa za watu tu lol!!!
Eti hein 😂😂😂😂
Twiga wa mbagara
Kwan vijana tunafeli wap mbona wazee wanatuzid kete kila siku wanachukua pisi zetu
Mapenz hayataki ubabe achani ubabe
Pesa
Ndio Muache mashauzi
Na kuna wazee wanachukuliwa wake na vijana😂 akina baba wanafell wapi nao?
Pesa mtu wangu😂
Huu wimbo dulla amerusha makombora kwelikweli
ua-cam.com/video/JC840H6TLj0/v-deo.htmlsi=W6COQIN_M40lU2Uo