PAIN KILLER PART2B
Вставка
- Опубліковано 14 лют 2023
- KESI IMEFIKA PABAYA/MAUWAJI YANAENDELEA
Pain Killer kila nikikumbuka hili neno nashindwa kuamini kilichotokea.Vifo migogoro na sheria ziliandama maisha yangu I Hemed Phd I Odama I Mzee Chilo I - Розваги
Nimefurahi kumuona tena Veronica hata ni yeye amefanya niwa follow I love her so much ♥ 💖 ❤ 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💯💯💥💪💪
Wa kwanza.... Kazi nzuri sana Hemend suleiman
Kuna wengi wamefungwa bila hatia mungu awatie nguvu ahsant kwa movie zuriiii😢😢
Ni kweli hii ni zaidi ya maumivu wow wow 👏👏👏👏tuwekeeni vyuma kama hivi sisi wapenzi wa bongo movie
Mmejitahidi mashallah mungu awaongoze jmn nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤
Kma Hamed ameshinda kesi Kali kma hii pia mm nko na Imani siku moja kaka angu atatoka jela inshallah 🙏 🙏🙏😭😭😭😭 part 3 jamani tuone mwisho wake
Pole Sana ddngu Mungu ndio tegemeo pkeee
Ooooh pole sana atatoka muombe mungu😭😭😭
Amin thuma Amin
Nitafute nakuomba sana
@@saidhassan7779 Nitakuona wp mm
Pole Sana Deborah Kwa maumivu unayoo pitia Mungu akutie nguvu 🙏🙏🙏
Hemed na aly yakuti safi sana ndio muruid kama zamani kama mlivyokuwaga na kanumba
Maumivu makali pole Sana Deborah Mungu akutie nguvu 😢binadamu wabaya Sana filamu iko n funzo kwakweli 😭💔
Nawapenda bure wakongwe wangu kwenye muv 😘😘😘
Movie safi sana lkn hbu tupeni part 3 plz😊
Yani huyu mwanasheria namkubali sn ..Yani yy Dr anaelekea kwenye Sheria ND usipimee...💪💪💪
Good and creative story
Maisha haya ni safari ndefu sana
Ulichenza vinzur sana Hamed
Nzuri sana
Jaman bongo movie mambo Gani haya sasa😢
Nzuri Atari ila ilivoisha sijapenda
Jengua mungu akurehemu..ndege alofiwa na mumewe Tena 😃😃😃
Waoga wa dawa tujuane hapa❤❤❤🎉🎉🎉
Poleni haya huwa yanatokea
Kwa mara yakwanza naona move tamu imejaa funzo
Kaz nzuri sana
muv nzur jaman ila inatia uchungu pole debora
Hapa ulicheza sana hemed
Mtuhumiwa anashika kitevu mbele y mahakama kuu dah kwel bongo mnajua kutupiga hamjui kucheza uhalisia
Vizuri
❤ wahoo
#hemedy phd THE GOAT🙌🙌
Amina mung atukuzwe
Asanteni washirika. NWapend buree
I like it
Unaomba pat3 tetetetete ndoimeisha hiyo huoni maneno ya mwisho walivyosema
Kumbe amefariki daud 😭😭😭😭😭😭😭😭hii ni kweli ni pain killer
Maumivu ya kuachwa na baba, pia ndungu!!!
Movie iyi inamafunzo tele
Mnzur kias chake
Tunaomba par 3 tuone mwisho wake
Mwanasheria una maneno mazima...
So amazing
Aise washiliki mumetisha kinoma
Ok
I miss veronica
🥰
🔥🔥🔥
Irudisheni tunu basi jmn
Tunaombeni part 3 tafadhari
❤❤❤❤❤❤
Part 3 tuone daud atavyokuwa
mafudisho masuli
Tunasubili 3 kunamengi yakujifunza
Toweni3
Powasan kwakazi
Pain Keller part 1,2a
Kaz nzur
I love u so much Veronica ❤❤❤