PART 1: JIONEE ALIKAMWE ALIVYOWAZUNGUMZIA PACOME, CHAMA, AZIZ KI NA DUBE/ WASILETE TIMU ZAO UWANJANI
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz - Спорт
Wa kwanza naombeni like zenu
Yanga inatumalizia mbz acha ituue tumeipenda wenyewe 😂😂
Huu ni wakati wa club ya yanga kuleta kombe la club bingwa Africa hapa Tanzania maana kikosi kinasadifu. Kikubwa tuwaombee jamani ktk mpambano wa msimu ujao.
Mashaallah semaji la kimataifa Allah muondoshee Khusda Inshaallah
Kamwe big up katika kujibu maswali ya mitego kiufasaa. Nimeipenda hiyo.
Ali ni kichwa mnoo alivyopangua ishu ya Dube
Saaaanaaaa huyu jamaa ana kipaji kikubwa
😂😂 msemaji wetu jamani 💚💛💛💛💚
Mwenyekitii ❤
Prince clatous key pakamwe😂😂😂❤🎉
Prince clatous Kii Pakamwe😂😂😂😂Raha sana🎉
Welcome home Duke Abuya
Mwenyezi Mungu alikuwa na makusudio ya kutuumba ili #Tumuabutu#Tumlilie#Tumsifie.
Bina damu tuna haiba subira na maarifa. Langu kwa timu ya yanga ni subira ili timu yao isitoboe makundi ktk Club Bingham Afrika. Inshaallah, Mwenyezi Mungu nizidishie afya na upendo wako.
Kamwe bana daaah😂
Icons za football kwa wachezaji ni kweli ziko Jangwani hususan msimu huu, kazi iliyoko mbele yetu ni kublend na kuleta matokeo chanya.
Gonga like kwa semaji
18 on trending hongereni sana Crown 👑 media
Daaah naona kama ligi inachelewa
Ali max pia ungeunganisha kwenye jina lako
Yanga ni Bonge la dudeeeeeee 🎉🎉🎉
Crown 👑 media mpo vizuri sana .
Msemaji tunae
💚💛💪
Mpaka watuombe radhi hao makolo maana tabu IPO pale pale
Majcyo mpira Kaka chunga kauli zako
@@user-vq4pl2ov6z nashukuru kama umelitambua hilo mana anayesajil vizur ndio anakuwa Bora siku zote huwez ukawa Bora kama hujasajili vizur fatilia hilo nenda Madrid au man city utagundua hicho kitu
Ukweli mchungu😂😂😂
@@FirdausyAbubakary-bl2wo umeona hawataki ukwel
Akili kubwa sana hongera kaka
Jina lake naniii😂
HUYU NDIO MWENYEKITI WA WASEMAJI WOTE WA CLUB ZOTE BARANI AFRIKA!! HUYU NDIO MSEMAJI NI BURUDANI HATA UKIWA UNAMSIKILIZA.HONGERA SEMAJI LA WASEMAJI WOTE BARANI AFRIKA!!
Thanks Kenyan
Duke🙏🙏🙏🙏🙏🙏
DAPC itakuja kuua mtu (Dube Azizki Pacome Chama)
Hiyo imekaa DAPC
napenda sana
semaji la klab bingwa 💚💚💛💛💚💚💚💛💛💛💚💚
Usikivu mzuri Sana kwenu studio.
💯📌
Asante Sana
Mashallah
Prince key cloutus pa kamwe 😂😂😂nimeipenda hiyoooo,,,,
Crown naomba mzingatie backsound iwe ya kiasi tu,ikiwa kubwa kama hyo inaharibu
Ali 😂😂
Nice
Backsound punguzeni
Yanga inaenda kuitikisa africa nzima msimuu unaoanza anaebisha asemeee,,,,,
🔋🔋💚
👍
Safi sana semaji umejibu vema sana issue ya Dube
Semaji La Mabingwa Wakihistoriya💚🇹🇿
❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂 saw Semajiiiiii letu
Alikamwe alitaka kusema cross nyoko😂😂😂😂 dakika ya 19
Kabla hamjaanza intervew yanga africa yangapi mbona bando limeisha
Kwakweli wala hatumiii kusikiliza issue za Yanga acha tufurahieee❤
Mbona Geof Lea kanuna?
Allah akbar
Aii🙏🙏🙏🙏🧡💛💚💚💛
Haahahahaaa🎉🎉🎉🎉 Pakamweee🎉🎉🎉Semaji la FIFA🎉🎉🎉
GSM!!!GSM!!!GSM!!!!GSM!!!!💪💪💪✅💛💚💚💚
Leo yanga wanatabulisha national?
TRENDING
Ulisema simba watapoteza mechi nne na kweli ikawa vile
Msemaji ni msomi ayo maswali wasemaji wengne wangaingia chaka
Mwiko nyuma
Yanga
Yanga no klabu kubwa mchezaji mwenyewe anavutika kuchezea Yanga.Mayele anajutia kuhama Yanga lkn ameyamwaga.Azizi hajali pesa nyingi anaumia na Yanga
Kuna watu wamenuna umo
Naichukia simba miee?😡😡
Inatisha yanga
🎉🎉apewe mauwa yake alikiba tunakubal
Ilo juma ayo ( )
Semaji la mabingwa
Prince pacome kii pakamwe
Hilo liloinama ni aibu au
Pokes Maua yako Ali Kamwe una uelewa was kutosha ktk fani yako were no msemaji kweli.umejibu vizuri kuh.suala LA Dube. Hivi ndivyo anavyodekea fani yako.
Mifumo au shape bado nitatizo
Kila la kheri prince cleotus ki pacamwe
Huyu c yule anaeropoka kwa jiran bl fact comedian tu yule hamn kitu
Kamwee. Umewapata. Kweli wambea. Midia. Umewajinu. Short. Cut. Hasaa
Semaji letu linatisha
😅😅😅😅😅hapo kwa boka Cross dongo dube atakoma
tabu iko palepale
Waandishi. Wakinongo. Sikuzote. Mnabezi. Saana. Kwa. Makolo. Mmesema. Sanna. Uwongo. Mwingi. Ila.ujuwe. Mwisho. Wa. Ubaya. Ni. Fefheha. Tuuu. Leo. Nyie. Simnajuwa. Kila. Kitu. Munamuuliza. Nini. Msemaji. Wetu. Mstaarabi
Muda gani kipindi
Wa-Tanzania wanapenda sana kudanganywa ndio maana hata hawa viongozi nao ni waongo mno. Ukimsikiliza huyu asilimia kubwa ya maongezi yake ni uongo mtupu
kaongea uongo wapi? tuainishie huo uongo
Huna akili. Na wew ni mmoja wa wanaopenda kudanganywa
Kumamako
Kumamako
@@user-zd8lf5xj3n hata mama ako anayo hiyo. Mjinga mmoja. Unashindwa kua na stara na kinywa safi unaropoka mitusi tu akili utapata saa ngapi. Kafie mbele huko na stress zako
Ety pazul San mbna mnamlazmshaa hapasifie kizul kna jiuza WCB 4life
Alikiba hama uko njoo upate rahaa uku kwetu yanga bingwa adi 230