MZAZI AKIFA LEO BAADA YA SIKU 3 GAWANENI MIRATHI, NDUGU WAMETANGAZIANA UBAYA UBWELA KISA MIRATHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 4

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 дні тому

    ,wote mnamfamu na wengine aliwaleleawatoto waolakini Leo yatima wake wanazalilika kwa maisha magumu Allah

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 дні тому

    ,mnachokiongea tafauti mnavyo Fanya nyingi mashekh wote mnajua alichokifanya barahiyani na genge lake kuwazulumu mjane na watoto wake watano na kumshtaki mjane mahakamani na kafungua kesi nyingine ya fidia janjira aliwakosea nini answer muizalilishe familia yake aliwaamini kwa kanzu fupi na midevu mashekh ndio wanaongoza kwa zulma tunawashtakia WA hakimu WA haki allah

    • @KHIDMAONLINETV350
      @KHIDMAONLINETV350  4 дні тому

      Kama kweli hilo jambo limetokea basi ligemezwa kwa aliyetenda kosa hilo na sio kuwahukumu Masheikh wote Muogope Allah

    • @Mauya23
      @Mauya23 2 години тому

      Naona umeandika kwa hisia sana, inawezekana ukawa unalijua hilo kutokea lkn sio sawa kuwa unganisha Masheikh wote ktk kadhia ya mmojawapo, taratibu na jazba zinaweza kukutia dhambini.