SIRI YA HUBA S2 { 3 }

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 834

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial День тому +75

    MUNGU AWA BALIKI NYOTE MNAO SUPPORT HI MOVIE GOD BLESS YOU 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @P-blackAlbino
      @P-blackAlbino День тому +2

      Much love from DRC🇨🇩❤️💙❤️💙

    • @Patricelasway
      @Patricelasway День тому +3

      Stuka KWA huyo maria hamna mke 😂
      Afu unakutanishwa na dem unaemjua 😂😂😂😅😅

    • @Leilaandrew
      @Leilaandrew 23 години тому +2

      Rk me nakupend tu❤

    • @GladysKarembo
      @GladysKarembo 18 годин тому +1

      RK love you

    • @AmosiSumay
      @AmosiSumay 4 години тому

      ❤❤❤❤❤❤

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande День тому +47

    Wanao mwamini mwenyezi mungu kwamba yuko nasi tafazari usipite Bila kumwaga mauwa 🎉🎉🎉 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏

  • @EverlyneKiginga
    @EverlyneKiginga День тому +92

    Wanaopenda RK wanipe likes yeye ndo anafanya niwe hapa 🎉🎉🎉

  • @افااقع
    @افااقع День тому +37

    Rk wewe ni mnyenyekevu sana mungu akubariki kama hivyo ndivyo ulivyo hata kiuhasilia basi wewe ni mwana ume mzuri sana❤❤❤

  • @Vanessamirabelle-r5c
    @Vanessamirabelle-r5c День тому +39

    Much love from Kenya 🇰🇪 ,RK ambia benlee aache kujichubua jamani anakaa kama mwenye amekaangwa 😅😅😅

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei День тому +77

    Leo nipo hapa nimewai wow nimependa team Ya R..K tujuane kwenye comment jamani R..k karundi I'm from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..guys🎉🎉🎉🎉

  • @JacreenObedy
    @JacreenObedy День тому +23

    Hahahaha jamani benly unantisha unajua hivi umejiangalia kwenye mirror lakin upo kama katuni unajua😂😂😂

  • @princeFella69
    @princeFella69 День тому +22

    Benlee my man plus RK from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipee hata like mbili

  • @PendoDavid-t4j
    @PendoDavid-t4j День тому +117

    Benly umeharibika usoni acha kutumia hayo mafuta kama unakubaliana na mimi like hapa

    • @Mariahkahind
      @Mariahkahind День тому

      Muache aendelee kujipaka atakuwa mziri zaid

    • @hellenmarco4714
      @hellenmarco4714 День тому +2

      😂😂😂 sjui anatumia mkorogo

    • @Mariahkahind
      @Mariahkahind День тому

      @hellenmarco4714 mkorogo tena ule wa kuchubuwa haswa......kubalin rangi zenu jamani

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik День тому

      Tena blich makutia dawa yanywele hata sijui kipiyuwatafuta

    • @Mariahkahind
      @Mariahkahind День тому +2

      @@MalkaNinik halafu rk naye ameanza kujipaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MeganProduction-o5w
    @MeganProduction-o5w День тому +17

    Rk nimepemda kazi zako..yaani unawahi 🎉🎉woow apo ni sawa sana... Wanaomkubali RK,wapi likes

  • @IbrahimMwamengo
    @IbrahimMwamengo День тому +33

    Leo Mimi wa kwanza naombeni like Zang wangu wa vidole viwili. Juu

  • @Shukuru2535
    @Shukuru2535 День тому +102

    Ikiwa unamwamini bwana yesu kristo kua bwana na mwokozi wamaisha yako basi like apo chini na Mungu atubariki

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 День тому +90

    Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ElizabethSiwale-mv5bu
    @ElizabethSiwale-mv5bu День тому +11

    Benlee uso umekuwa km ndizi choma duuuh,,, ila team rk nawapenda wote kazi nzuri

  • @JohnMhenga-c9o
    @JohnMhenga-c9o День тому +35

    Benson na Benlee wanaonekana kabisa hawana Nia nzuri na hizo kampuni

  • @AJIKATV-k4s
    @AJIKATV-k4s День тому +3

    Waoooo! Madam AMINATA a.k.a mama matutu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @KassimSalim-f4d
    @KassimSalim-f4d День тому +8

    Kazi nzuri sema dakika tunaomba mtuongezee mashabik wenu tunawapenda sana 👊👊

  • @Mariahkahind
    @Mariahkahind День тому +17

    Nimefurahia sana kumuona mamake rk kwa hii movies jamani❤❤❤❤❤

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD День тому +1

      Pia huyo mama'ke na Aisha make wa doc n yule anacheza kama mama'ke Lisa kwenye donta TV before I meet you kama unaamini n yy pita na kaua🎉🎉🎉❤

  • @IucyMathole
    @IucyMathole День тому +19

    Kazi nzuri from Kenya 🎉🎉

  • @TundaJuma
    @TundaJuma День тому +17

    Allah atujaalie mwisho mwema insha Allah 🤲🤲 ❤️❤️❤️

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys День тому +3

    Nawapenda sana ss niwatazaji na pia niwachunguzaji benly uachane na mafuta unatumia sahii kijana mzuri sahii uso umekua mweupe jikubali babaa ww ni handsome ss hatusengenyi apa live bila chenga much love from Kenya 🇰🇪🤜🤛🫂💐😊

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 День тому +28

    Allah atujaalie mwisho mwema insha'Allah 🤲🤲❤️

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 День тому +6

    Hongeren sana jamani Mungu awaongoze kwa kazi nzuri sana ❤❤ nawapenda sana from Kenya

  • @Safimediamovies
    @Safimediamovies День тому +86

    Watching from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sijawai pata hata like moja ama n venye Mimi NI mkenya

    • @RosalineWakina
      @RosalineWakina День тому +2

      Wakenya bona lazima turaramike😂😂

    • @dantez_keys
      @dantez_keys День тому +2

      Watu wa kasongo tujae humu😂

    • @Dorice-s6v
      @Dorice-s6v День тому +2

      Mbna tupo Tena kwa wingi mno❤❤❤

    • @maryhare-pv6bx
      @maryhare-pv6bx День тому +1

      😂😂😂​@@dantez_keys

    • @MagretAndeka
      @MagretAndeka День тому +1

      Kumbavu zangu kachelewa😏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Fatma-t3h6z
    @Fatma-t3h6z День тому +7

    Rk hii song ilio ss haiko tam km iyo ya mwanzo❤iyo siiilaa 😢na siri huba iko poa sna

  • @GOVERNO-t5x
    @GOVERNO-t5x День тому +10

    Nawakubali sana nyiee wote minafanya viziri

  • @malyajmpondompondo381
    @malyajmpondompondo381 День тому +3

    Wawooo mama Rk yupo nawapenda sana move nzur hamjawahi feri

  • @SalmaMachozi
    @SalmaMachozi День тому +18

    Rk kaka mungu aku baliki kazi nzuri brother 🎉❤

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 День тому +6

    😂😂😂😂benlii na kakako rk na mamake waaah kazi IPO 🎉🎉🎉

  • @farajikiberiti486
    @farajikiberiti486 День тому +3

    Mwambieni Benlee aache au apunguze vipodozi..atafute mafuta ya nazi natural atakuwa poa sana Mwamba!💪

  • @EdwinMgandi-l5n
    @EdwinMgandi-l5n День тому +20

    Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa День тому +6

    Duuuh benly na mwenzie wanawaza mapenzi tuu jaman duuuh 😅😅

  • @AlbertoMzwanas
    @AlbertoMzwanas День тому +7

    safi sana ngoma imetoka mapema sana

  • @Official-naynah-tz
    @Official-naynah-tz День тому +15

    Jaman RK unaongea vizuri wanaume wote waongee ka RK 😊😂😂

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary День тому +6

    Ben hujakoma tuuh mpenz wa rk huyo jichanganye 😂😂😂

  • @mussajumaa1875
    @mussajumaa1875 День тому +4

    Tusisahau kumuomba mungu ndugu zangu dunia ni mapito tuombe mwisho mwema na tufe tukiwa shahidi

  • @LapsonManuel-g2y
    @LapsonManuel-g2y День тому +16

    Wakwanza kutoka mozambique ❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 День тому +3

    Ndio kwanza game linaanza,vigagura vinakabidhiwa makampuni😂😂😂...twende nalo # alafu aisha alioleka vipi akiwa mamake hajui😮

  • @MosesNiyonzima-f4g
    @MosesNiyonzima-f4g 23 години тому +1

    Kwa kweli leo nimechelea sana lakini hapa tuna wapenda sanaa kutoka Uganda kampala,🎉🎉 Jamani ataa like 2 tuu nitashukuru ❤❤❤🎉🎉🎉😂

  • @NadzuwaAmina
    @NadzuwaAmina День тому +5

    Usijali R k utapata wakuendanaye more ❤❤❤broo

  • @RamadhanDieudonne
    @RamadhanDieudonne День тому +5

    Hongereni nipo congo Niko na nyinyi mpaka mwisho🇨🇩🇨🇩

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 години тому +1

    Kazi nzuri sana RK🇹🇿

  • @SamouOman
    @SamouOman День тому +6

    Napendaga nikuone rk wangu

  • @PETERMWANIKI-m8r
    @PETERMWANIKI-m8r День тому +3

    Kenya tuko we are tuned na RK jua nakukubali sana

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina День тому +13

    Benlee simuoni vizuri na hizo campuni,,lazima watafurugana na kakake benson

    • @kamarhelo
      @kamarhelo День тому +2

      Yani sijui itakuaje na kila mtu ni mjanja kushinda mwenzie

    • @kamarhelo
      @kamarhelo День тому +2

      Nakumbuka Benson alitaka kumuua kaka ake kwa ajili ya Ile nyumba sijui itakuaje kwenye kampuni 😂😂😂😂

    • @LettyLussi
      @LettyLussi День тому +1

      😂😂😂

    • @RosalineWakina
      @RosalineWakina 22 години тому +1

      @@kamarhelo hii ni moto,,acha tutegee mambo ichemke

    • @RosalineWakina
      @RosalineWakina 22 години тому +1

      @@kamarhelo alafu huyo dem lazima wampitie wote 😂😂

  • @JanethMgoly
    @JanethMgoly День тому +2

    Mapaka wawili wamepatan ni noma sana hongereni wote

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 День тому +233

    Jaman Benly Acha michubuo umekaa kama chui duu😂😂

  • @Frank-l2k
    @Frank-l2k День тому +3

    Waaa Rk Yuko juu sana , halafu Benly na Benson kumbe mko na kampuni na hamjui lahaulah!!!🎉🎉

  • @BrownMichael-n1k
    @BrownMichael-n1k День тому +5

    Kumbe benlii mkiungan namwenzio mwapendeza sana alafu inaugural pw mnaichangamsh move

  • @MADUHUSALU
    @MADUHUSALU День тому +4

    Daah! Baada ya mwamba RK kurejea sasa S2 imechangamka😮

  • @dantez_keys
    @dantez_keys День тому +4

    Benlee anatafuta kua mweupe 😂

  • @TamimukassimuTamimukassimu
    @TamimukassimuTamimukassimu День тому +5

    Mnajitahid kuwahisha episode zingne congratulations for that

  • @phanicemochama6574
    @phanicemochama6574 День тому +2

    Asanteni sana kwa kuongeza watu wengine❤❤❤much love from Kenya ❤❤

  • @pozehlight
    @pozehlight 11 годин тому

    Napenda vile mmejaribu sana kwenye production yenu na pia madhari mema zaidi,,,,, inavutia zaidi❤❤❤❤napenda hiii❤❤

  • @KeristiStel
    @KeristiStel День тому +5

    Benlly na Benson hizo campuni mwaziuwa hata sio kitambo😅😅😅😅😅😅mambo yaa ma PC Tena badama muhangaikie hisa

    • @VeronicaRugoyi
      @VeronicaRugoyi День тому

      😂😂😂😂😂wazee wa pc kali

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 День тому

      ​@@VeronicaRugoyi😂😅😂😅😂😅😂😅

    • @FatmahHussein-o9o
      @FatmahHussein-o9o 23 години тому

      Basiiii Benson anamchezea benly ...atakuwa wa mwanzo kuuza campuni zote

  • @DokaSwamwel
    @DokaSwamwel День тому +3

    Kizi ni 🔥🔥🔥 big up sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsiaAthuman-r5m
    @AsiaAthuman-r5m День тому +4

    Eee kk una jichubua 😢😢😢 jamon acha😮

  • @JoyceSindibu
    @JoyceSindibu День тому +6

    Nimependa Sana kaz yenu❤❤❤❤

  • @ifferallen8051
    @ifferallen8051 День тому +8

    Nawapenda team.Rk🎉🎉🎉

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi День тому +72

    Wanao angalia movie hii wakiwa wamelala na hii baridi tujuane😂😂😂nipitieni maana baridi inaniua😢🎉😂😂😂

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv День тому +5

    Mapema sana❤🎉🎉

  • @neemamichael-iv3jp
    @neemamichael-iv3jp День тому +5

    Duuh Rk kazi unayo duuh kzn umekutn na vibwaga mama ako na anatk umuoe dem wa belson

  • @SaumAli-q7n
    @SaumAli-q7n День тому +9

    Samahani ila kurumbembe ni mwanaume anaejichubua🙈🙈😂😂😂,,,na mnipee like 😎😎🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy День тому +8

    Iyi movie Kali ukiifatilia unapata funzo
    Apewe TUZO 👇
    RK

  • @SABURIMUTRA
    @SABURIMUTRA День тому +1

    Team rk mungu atulinde jumatatu yaleo atupatie kila hitaji la moyo,kama unamuamini mungu sema ammiinaa💕

  • @EuniceKayila
    @EuniceKayila День тому +4

    Jaman wanao enjoy siri ya huba kama mimi tujuane 🎉🎉 Rk team big up sana 🙌

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula День тому +6

    Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪♥️♥️

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 4 години тому +1

    Yaan benlee na benson wamekutana pipa na mfuniko alfu me nilijua benlee atakuwa kajifunza lkn kumbe badoo😂😂😂

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq День тому +3

    Asante sana RK na chinga media Kwa ujumla

  • @KingKEPeter
    @KingKEPeter День тому +9

    Wakwanza jamani siri tamu kutoka🇰🇪

  • @ENOCKRAJABU-j5y
    @ENOCKRAJABU-j5y День тому +4

    ❤ bigger up maoni ya Rk🎉🎉🎉

  • @Drsweetheart2020
    @Drsweetheart2020 День тому

    Tupeleke Kwa Irene na mimba ya doctor buana msitubabaishe nataka kujua hatma ya DNA 😂😂. I love you RK❤

  • @KawaidaMatano-k6w
    @KawaidaMatano-k6w День тому +6

    Benlee alikua handsome lkn Sai ATA nyege aziwezi panda sura iko na Rangi km tano 😅😅😅😅

  • @NadzuwaKilaga
    @NadzuwaKilaga День тому +4

    Rk tayar huyo kapenda mhuni benlee 😂😂😂😂

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz День тому +4

    Kazi nizuri sana😂😂😂😂

  • @AdiminMbughi
    @AdiminMbughi День тому +14

    Mungu akubaliki wewe mfwatiliaji wa sili ya huba❤❤

  • @Benti-f3o
    @Benti-f3o День тому +5

    Benlee utakufa na hizo pisi😂😂😂😂

  • @FdggfgGfhy
    @FdggfgGfhy День тому +3

    Hiiii movie itafanya nije kukatiwa wifi na waiguru ,,,,team strong ooyeee. ,,,bola nikatiwe wifi lkn sio kukosa movie tamu kama hiii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @HappySanga-t3c
    @HappySanga-t3c День тому +4

    kazi nzuri

  • @maximiliankadawiibalaja2198
    @maximiliankadawiibalaja2198 День тому +2

    Rk Umeongea point sana Kadri siku zinavyoenda watu wanabadilika miyoyo na fikra

  • @PatriciaJoseph-x2l
    @PatriciaJoseph-x2l День тому +3

    Hhhha benreen.....kawa mbaya

  • @simiraizy
    @simiraizy День тому +3

    Wazii Rk umeweza kwenye kipindi

  • @PedwassDaRufina-k8k
    @PedwassDaRufina-k8k День тому +5

    RK Sasa ndo unatufanyia aki mashabiki wako Kazi Kazi Kazi mwamba 🇲🇿🦾🦾🦾🦾🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 День тому +5

    Safy sanaa

  • @zacharyGichana
    @zacharyGichana День тому +7

    Wa kwanza kutoka kenya likes zangu ❤❤❤🎉

  • @erickkipyegon2858
    @erickkipyegon2858 День тому +3

    Hello team siri ya huba,,yenyewe home is best😂😂😂f

  • @MgeniSaidi-q5b
    @MgeniSaidi-q5b 15 годин тому

    Sema mwanngu benlee wajua 😂😂❤ big up broo unyama xana

  • @NiyonzimaTantine
    @NiyonzimaTantine День тому +8

    RK mtafute Jack ndo umuoe🎉🎉

  • @sabatoager
    @sabatoager День тому +4

    mapenzi yanaumiza sana

  • @PaschaziaPaul
    @PaschaziaPaul День тому +1

    Benlee vipako vimekukataa...unatishaaaaa alooooh😂

  • @DalamaDaud
    @DalamaDaud День тому +4

    Kunawa wasimamizi wa kampuni kweli

  • @زينه-ل4ح
    @زينه-ل4ح День тому

    😊jaman sir ya huba imekuw zur san kabisa❤❤

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 18 годин тому

    Kazi nzuri congratulations team RK.

  • @NchaganoBusiness
    @NchaganoBusiness День тому +7

    Wa kwaza 🇲🇿🇲🇿

  • @DeboraNasari
    @DeboraNasari День тому +2

    Aaaah bib mbona atajuta😂😂😂😂

  • @VicmorrisWahema
    @VicmorrisWahema 21 годину тому +1

    Kazi zuri Sana kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤

  • @MekiAli-ub4ld
    @MekiAli-ub4ld День тому +2

    Mungu nipe uzima nizidi kkuomba Kila siku inshallah 🤲🤲

  • @MamadembeleLadouce
    @MamadembeleLadouce День тому +3

    ❤❤❤ nawependa San

  • @reginahsyombua
    @reginahsyombua День тому +2

    Siri ishaanza kua siri sasa big up guys🎉

  • @SamuelOchieng-e4e
    @SamuelOchieng-e4e День тому +3

    Much love from kenya❤