Ngoma ya Kibati kutoka Nungwi Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @mohamedalirajabu4034
    @mohamedalirajabu4034 6 років тому +1

    Asante hiii ndo ngoma ya kwetu nakumbuka bibi zangu ndo waliimba

  • @perezally7014
    @perezally7014 5 років тому +1

    Na hata waimbaji hawa sio wa Kwetu Nungwi. Muimbaji wa ngoma ya Mkurungu alikuwa anaitwa Mzee Kombo Ali Perez na ndo chimbuko la wimbo wa kombo kanipe mapesa yangu (mzee huyu ni babu yangu mzaa baba) na mwenziwe mzee Dodo n.k

  • @ussihadji2248
    @ussihadji2248 Рік тому

    Asili yetu ❤️💜

  • @perezally7014
    @perezally7014 5 років тому +2

    Nungwi hakuna ngoma ya kibati. Ngoma ya kibati ni ya kisiwani Pemba. Nungwi tuna ngoma ya "Mkurungu"

  • @abdallashauri941
    @abdallashauri941 4 роки тому

    Si kibati, huu mkurungu

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 5 років тому

    Nice

  • @tatujuma2074
    @tatujuma2074 6 років тому

    safiiii

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 років тому

    Nilidhani ni video!

  • @sakinamuadhini1181
    @sakinamuadhini1181 5 років тому +1

    miss sana. nyumbani

  • @parisz
    @parisz 5 років тому

    Alhamdulillah

  • @ladyubuyu4797
    @ladyubuyu4797 10 років тому +1

    Asili haipotei ....!

  • @hamisiamigo7296
    @hamisiamigo7296 5 років тому

    long time

  • @zulfasuleiman9004
    @zulfasuleiman9004 7 років тому +1

    Jasiri haachi asili