Me nawza kusema kwamba unasema ukweli na hata yote sii ya kweli lakini viongozi wetu waangalie tu kwa kuenndelea kupoteza mechi wachunguze ili kubaini maovu yalio ndani ya timu imeimarika
Mzee wa kilinge bhana umeongea ukweli kabisaa bacca siyo wakucheza vile kweli kunakitu hapo mlio karibu na uongozi muwaombe baka asicheze hapishe upelelezi kwanza mwamnyeto yupo twende nae huyo bas
kweli kbs mzee wa kilinge, yule bacca na Azam kuna jambo kati yao, za ndaani kbs azam wamesha muahidi bacca kumsajiri kwa dau kubwa, na za ndani kbs ile mechi ya yanga na axam bacca alipewa pesa ya maana afanye makosa maksudi ili azam ishinde na walifanikisha
Mzee wa Kilinge hongera sana Kwa kupasua jipu inauma sana,Asante.
Me nawza kusema kwamba unasema ukweli na hata yote sii ya kweli lakini viongozi wetu waangalie tu kwa kuenndelea kupoteza mechi wachunguze ili kubaini maovu yalio ndani ya timu imeimarika
Kuna uchunguzi unatakiwa, tusichukulie mambo kiuwepesi.
Mzee wa kilinge bhana umeongea ukweli kabisaa bacca siyo wakucheza vile kweli kunakitu hapo mlio karibu na uongozi muwaombe baka asicheze hapishe upelelezi kwanza mwamnyeto yupo twende nae huyo bas
We ni kolo tu,mbona nakujua!
Chanel za wapi hizi ??🤣
hapo mazee wa kilinge umeongea baka sio yule kuna kitu.kwa ss tulio soma Cuba kuna..................
Hili lakupigia kelele haswaaa kama vipi hata dilisha dogo wamuache ili liwe funzo kwa wachezaji wengine au hakae bench kuanzia sasa
Maana sio yule wafwatilie sm yake na maongezi yake na ataendaje mazoezi na cm alafu cm anaiweka kwenye bukta kweli
Mimi nilisema toka mwanzo baka kwenye mechi na azam alifanya makusudi lile kosa toka hapo yanga inayumba naomba viongozi wamchunguze yule mchezaji baka
kweli kbs mzee wa kilinge, yule bacca na Azam kuna jambo kati yao, za ndaani kbs azam wamesha muahidi bacca kumsajiri kwa dau kubwa, na za ndani kbs
ile mechi ya yanga na axam bacca alipewa pesa ya maana afanye makosa maksudi ili azam ishinde na walifanikisha
We ni kolo
We umevimbiwa na maharage yako ya buku, Maharage yamepandisha gesi kichwani 😅😅
Mim mwenyewe najua baka ndio festi anazugawakati wA kukaba