Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Water World, Dar es Salaam, Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лип 2021
  • Water World, Dar es Salaam, Tanzania

КОМЕНТАРІ • 42

  • @nelidagarcia3717
    @nelidagarcia3717 3 роки тому +3

    Me gustan mucho ver como se divierte el niño se ve muy feliz un abrazó

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  3 роки тому

      Hola Nelida, sí, a Oliver le encantan los parques acuáticos. se divierte mucho.

  • @happinessbalama6178
    @happinessbalama6178 Місяць тому +1

    Alafu ongezeni funs kwa ajili ya watoto

  • @AdaYakobo-fy4ip
    @AdaYakobo-fy4ip 3 місяці тому +1

    Kawe karibu na Iko kwenye round about kushoto kunduchi juu ndo Water world

  • @jothamekisoukejojo514
    @jothamekisoukejojo514 2 роки тому +1

    Aaah looks so nice

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  2 роки тому

      Yes Water World is a lovely location on Mbezi Beach and a fun place to have a day out on some water slides and in the swimming pool.

  • @Chima-pe2ss
    @Chima-pe2ss 4 місяці тому +3

    Kiingilio shinngapi

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  4 місяці тому

      Habari, sikumbuki bei haswa, kwa sababu nilienda 2021. Lakini haikuwa ghali - fikiria kitu kama Shilingi 10,000 za Tanzania kwa tikiti ya mtu mzima na nusu ya hiyo kwa mtoto.

  • @mamanelaoualyfaouzane4559
    @mamanelaoualyfaouzane4559 3 роки тому +1

    Waou

  • @Naimakiwi
    @Naimakiwi Місяць тому

    Ipo Wapi Embu Tuekekez Vizuli

  • @JulianaMhina
    @JulianaMhina 2 місяці тому +1

    🎉

  • @irenewilliam3640
    @irenewilliam3640 7 місяців тому +2

    Kiingilio bei gani

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  7 місяців тому +1

      Hi, I can’t exactly remember the price, because I went in 2021. But it wasn’t expensive - think something like 10,000 Tanzania Shillings for an adult ticket and half that for a child.

  • @saidhashim5745
    @saidhashim5745 2 роки тому +3

    Iko wap hyo

  • @ZuleykhaKhamisi
    @ZuleykhaKhamisi 4 місяці тому +1

    Elfu 10

  • @GodfreyNyahende-ep8in
    @GodfreyNyahende-ep8in 8 місяців тому +1

    Hivi water world ipo sehemu gàni

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  8 місяців тому

      Hi, Water World iko Mbezi Beach, Dar Es Salaam.

    • @marriammsabila7544
      @marriammsabila7544 4 місяці тому

      ​@@TheDockraysna kiingilio ni kias gani

  • @NasmayManeno
    @NasmayManeno 4 місяці тому

    Ipo sehem gan?na kingilio sh ngap?

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  4 місяці тому

      Hi, I cannot translate the message. Can you comment in English please?

  • @cgdoctor8241
    @cgdoctor8241 5 місяців тому +1

    Ivi inafunguliwa na kufungwa saa ngapi

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  5 місяців тому

      Hi, I found this on Google:
      Opening hours
      Saturday: open 08:00 - 21:00
      Sunday: open 10:00 - 21:00
      Monday: open 08:00 - 21:00
      Tuesday: open 08:00 - 21:00
      Wednesday: open 08:00 - 21:00
      Thursday: open 08:00 - 21:00
      Friday: open 08:00 - 21:00

  • @anitajohnsson102
    @anitajohnsson102 2 роки тому +1

    Karibu Tanzanias aknamatata

  • @AshuraKanyakanya
    @AshuraKanyakanya 2 місяці тому

    Ipo kunduchi

  • @carolinekakwezi5042
    @carolinekakwezi5042 Рік тому +1

    chakula bei gani. au menu yenye bei ndogo na ni sh. ngapi.

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  4 місяці тому

      Habari, chakula kilikuwa bei nzuri. Siwezi kukumbuka haswa lakini sio ghali sana.

  • @benedictgogogo7626
    @benedictgogogo7626 8 місяців тому +1

    Naitaji kujua hili eneo lipo Dar es salam maeneo gani

  • @photiadancecrew7404
    @photiadancecrew7404 2 роки тому +3

    Natamani kufika Water world ila sijui ntafikaji maana nipo Temeke na sijawahi kufikaga hapo! Contact plz🙏

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  2 роки тому

      Habari, Ulimwengu wa Maji upo Dar es Salaam. Natumai utapata kutembelea siku moja. Nimetafuta tovuti yao na mawasiliano ya Water World ni: +255 713 360 467

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 Рік тому +1

    KIINGILIO shs ngapi?

    • @TheDockrays
      @TheDockrays  4 місяці тому

      Habari, sikumbuki bei haswa, kwa sababu nilienda 2021. Lakini haikuwa ghali - fikiria kitu kama Shilingi 10,000 za Tanzania kwa tikiti ya mtu mzima na nusu ya hiyo kwa mtoto.

  • @user-jo7fb7hv8y
    @user-jo7fb7hv8y Рік тому

    habali kingilio shingapi

  • @jessiemgaya1227
    @jessiemgaya1227 2 роки тому

    Sehemu gani mbezi au

  • @ZuwenasalumIkondo
    @ZuwenasalumIkondo 4 місяці тому

    Tun tak tujue bei

  • @faudhiafadhili7694
    @faudhiafadhili7694 4 місяці тому

    Ipo wp

  • @NasmayManeno
    @NasmayManeno 4 місяці тому

    Ipo sehem gan?na kingilio sh ngap?